Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mkinichagua nitaongeza mshahara wafanyakazi

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mkinichagua nitaongeza mshahara wafanyakazi

Kutesa kwa zamu.
FB_IMG_1596970740939.jpg
 
Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.

Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
Huu ni uongo tena ni kejeli kwa watanzania!
 
Jichanganyeni mumchague muone rangi yake halisi zaidi
 
Tutamchagua Magufuli inyeshe mvua liwake jua...tumeamua kumchagua Mzalendo mwenzetu.

October 28th ni Magufuli tuu.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Magufuli aliondoa FAO la kujitoa na kudanganya ameondoa.

Wafanyakazi sekta binafsi Ni wengi mnooo, na hapatti kuraa.

MKAPA na Kikwete walikuwa wanalipa FAO la kujitoa.

Kwa Nini Magufuli aondoe?
 
Huo ni uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Magufuli aliondoa FAO la kujitoa na kudanganya ameondoa.

Wafanyakazi sekta binafsi Ni wengi mnooo, na hapatti kuraa.

MKAPA na Kikwete walikuwa wanalipa FAO la kujitoa.

Kwa Nini Magufuli aondoe?
 
Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.

Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
Kwa sasa meko kapanic anajiropokea tu alimradi amalize kampeni kwa matumaini huyu mzee ni mwongo na ni tapeli tu wa kisiasa,oct28 ni lisu
 
bora ukose MALI upate AKILI ..hakuna kitu kibaya kama kufanywa mjinga ilihali una akili
 
Lies: The Tool of Tyrants and Dictators (Part 1)

Growing up in the 70’s and 80’s, I remember watching TV and seeing two-bit dictators of banana republics, surrounded by sycophants, lying blatantly and openly while everyone around him nodded in silent agreement. The thing that stood out about those lies was that they were obvious lies. Easy disproved. Exaggerations to the point of absurdity. Lies about the big and lies about the small. But there he stood proclaiming this “truth” as though the mere proclamation would make the statements true.
pia muogope sana mtu ambaye anasema "niko kwa ajili ya masikini"
"tanzania ni nchi tajiri"
 
Akamdanganye Bashiru huku.
1.Sipangiwi nilichukua mwenyewe fomu
2.Siongezi mshahara hadi nimalize miradi mikubwa
3.Huwez kununua ndege halafu ukaongeza mshahara
4.Mshahara tutaongeza kimya kimya ukiongeza kwa kutangaza kutatokea inflation
5.Siwezi kuongeza mshahara bado tunafanya uhakiki wa vyeti feki.
6.Hata mimi mshahara haunitoshi ,mnapenda kuongezewa ongezewa mtaongezewa hadi wanawake
manina walahi
leo hii anawwapigia magoti
 
Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.

Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
Kumuelewa meko lazima uwe mbogamboga mana hawana akili,hata akicheka wanashangilia
IMG_20201022_095738.jpeg
 
Asante Rais Magufuli hata usipoongeza sisi tunaradhika na tunachopata

Tunajua Nchi ipo kwenye ujenzi wa miradi ya kimkakati wa kiuchumi
angalia wagonjwa wa akili hawa
embu tuambie wewe na nani mmeridhika na mlicho ridhika nacho ni nini
au umeridhika na umasikini ulionao
 
Huo ni uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Kwa hiyo Chadema ndio Wana mafao psssf na NSSF?

Kwa hiyo rais aliposema kikokotoo Ni mpaka 2023, anajua Pesa Ni za Chadema?

Kwani Kabla ya October 28, Chadema ndio walikuwa na Serikali?

Magufuli ndio aliondoa FAO la kujitoa 2018 au Ni Chadema?

Nenda kwenye Ofisi za NSSF na tukutane na Wafanyakazi wanaodai Haki zao.

Kumbe wafanyakazi nchi Nzima Ni Chadema?

Mbona Sasa Jiwe ameahidi kuwaongezea mshahara?
 
Uongo wa Chadema mwisho wao ni October

Mmewanyanyasa sana Watanzania kwenye majimbo

Back
Top Bottom