Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mkinichagua nitaongeza mshahara wafanyakazi

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mkinichagua nitaongeza mshahara wafanyakazi

Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.

Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?

Labda kama ng'ombe ananenepa siku ya mnada.
 
Hili linahusu watumishi wewe house girl wa Bashiru halikuhusu.
Huyo kibaraka wenu hatoshinda na analijua hilo tarehe 18 December anakula kona unaachwa kwenye Mataa.

October 28th ni JPM TUU.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kwanza si ndiye yeye Rais sasa huo mshahara unaodanganya watu wazima unatoa wapi....acha ulaghai
 
Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.

Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
Duh!

Kweli Duniani kutegemeana, usimdharau mtu.

Hawa wafanyakazi wa umma wamenyanyaswa, wametishwa na wamedharilishwa kwelikweli.

Nakumbuka wakati mmoja siku ya wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mmoja wa wateule wa Rais, mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akiwatambia wafanyakazi kwamba angewachapa bakora kama wangebeba mabango au kuandamana kudai haki yao siku hiyo.

Toka wakati huo wafanyakazi wa umma hasa walimu wameendelea kudharauliwa. Wengine inafikia hatua wanachapwa bakora kwelikweli.

Leo hawa wafanyakazi wanapigiwa magoti, wanaliliwa na wanaombwa wakawape mamlaka watu wale waliowanyanyasa awali. Kipindi hiki cha uchaguzi wafanyakazi NDIYO mabosi!

Wafanyakazi tumieni haki yenu ya kupiga kura vyema, chagueni watu wanaotambua umuhimu wa watu wote katika jamii ikiwemo ninyi wafanyakazi wa umma.

Kura yako heshima yako.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.

Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
Huyu dikteta mburula kweli yan,hata haelewi mahitaji ya hadhira zake....yuko babati kwa Wakulima, badala azungumzie Kilimo yeye anazungumzia Mishahara ya Wafanyakazi, Kwani alikuwa akizungumza na Wafanyakazi hapo?
 
Uongo wa Chadema mwisho wao ni October

Mmewanyanyasa sana Watanzania kwenye majimbo
Ni kweli, Magufuli amewaahidi kuwaongezea wafanyakazi wa Chadema mshahara.

Na kikotoo Ni Chadema

Na FAO la kujitoa Ni. Chadema
 
Yaani kuna watu uwa hawana hofu ya Mungu kabisa. Na bado uendelea tu kupeta.
 
ivi ndugu zangu watumishi wa UMMA huyuu jamaa anawaonaje?? Anawaona matahira Sana.

Beatrice? Jiwe hajarudia matamshi yake ya mil 50 kila Kijiji ??
 
Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.

Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
akamdanganye bibi yake, amedharau sana workers, hatudanganyiki tena!
tarehe 28 tunampangia kazi nyingine au tumpeleke kabisa jela fisadi la trilion 1.5
 
Back
Top Bottom