Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.
Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
yote majuhaMagufuli amewaumiza sana wafanyakazi bahati nzuri tu amewakuta wafanyakazi na watanzania wote ni wajinga.
Wanatapeliwa hapa watu muda si mrefu. Jichanganyeni muone.Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.
Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
Unaota ndoto za mchana,Lissu hata kura laki mbili hapati.
Kuna shida mahali...sio bureHii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.
Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
Tena ana kichaa cha mbwa.Kama kuna mfanyakazi atampa kura Magufuli kwa ahadi ya kuongezewa mshahara huku alitamka maneno ya jeuri alipoombwa nyongeza ya mshahara basi huyo mtumishi ni kichaa