Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Natamani kufika kila eneo kufanya kampeni lakini siwezi

Akihutubia jimbo la Kawe, Rais Magufuli amesema yeye ni Binadamu hataweza kwenda lindi na Mtwara hivyo atamtuma Kassim Majaliwa Kassim

Mimi kama mwana CCM naunga mkono kumtumia Mama Salma Kikwete na Jakaya Kikwete mikoa ya lindi na Mtwara na tayari hilo limefanyika.

Kwa uamuzi huu Rais ameona mbali sana na hongera kwake sana sana,

Wale wa maeneo ya Ngende, Nanjilinji na Nkanared na wale wanaotamka mwana Nke badala ya Mwanamke na mnaotamka Ntoto badala ya mtoto wa mikoa ya Lindi na Mtwara tunawategemea sana kupiga kura ya ndio kwa JPM.

Kazi za serikali ni nyingi zinahitaji muda pia.

----
Nilipenda sana kupita maeneo mbalimbali. Nilipenda nifike Mbagala; nitamtuma Mheshimiwa Jakaya Kikwete. Nilipanga niende mpaka Ukonga mwisho, napo nitamtuma Mh. Jakaya Kikwete na viongozi wengine.

Nilipanga kupita kila eneo, lakini mimi ni binadamu. Ningependa hata nifike Katavi na Rukwa lakini ilibidi nimtume Makamu wangu wa Rais, Mama Samia.

Ningependa nifike Mtwara na Lindi lakini nitamtuma kule Waziri Mkuu wangu, Ndugu Kassim Majaliwa.

Ningependa nifike Morogoro; ningependa nifike Pwani; ningependa nifike Pemba na maeneo mengine. Mimi ni binadamu, siwezi kuwa kila mahali na wakati huohuo nifanye kazi za serikali. Kwasababu serikali lazima iendelee kwenda, wafanyakazi wapate mishahara yao. Madawa lazima yapatikane hospitali. Na mengine mengi. Wakulima lazima wapate pembejeo. Hatya yote unayasimamia wakati ukifanya kampeni.
Anamtuma Waziri Mkuu kwenda kufanya mikutano ya KAMPENI?

Tume ya UCHAGUZI na kamati ya maadili ya Uchaguzi mpo, mmesikia WENYEWE, TOENI TAMKO/KARIPIO KWA MGOMBEA URAIS HUYO.

AFUNGUWE SIKU 14,

WAZIRI MKUU APEWE ONYO KALI NA AZUIWE KUMFANYIA KAMPENI MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA SIKU 28.

ATAMTUMA WAZIRI MKUU!!!!!!!

AMA KWELI SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA.

MACHO NA MASIKIO YA WATANZANIA NI KWA TUME YA UCHAGUZI.

Hotuba HIYO iwekwe kumbukumbu ya USHAHIDI WA KUPINGA MATOKEO YA KURA ZA URAIS WA JMT.
 
Akihutubia jimbo la Kawe, Rais Magufuli amesema yeye ni Binadamu hataweza kwenda lindi na Mtwara hivyo atamtuma Kassim Majaliwa Kassim

Mimi kama mwana CCM naunga mkono kumtumia Mama Salma Kikwete na Jakaya Kikwete mikoa ya lindi na Mtwara na tayari hilo limefanyika.

Kwa uamuzi huu Rais ameona mbali sana na hongera kwake sana sana,

Wale wa maeneo ya Ngende, Nanjilinji na Nkanared na wale wanaotamka mwana Nke badala ya Mwanamke na mnaotamka Ntoto badala ya mtoto wa mikoa ya Lindi na Mtwara tunawategemea sana kupiga kura ya ndio kwa JPM.

Kazi za serikali ni nyingi zinahitaji muda pia.

----
Nilipenda sana kupita maeneo mbalimbali. Nilipenda nifike Mbagala; nitamtuma Mheshimiwa Jakaya Kikwete. Nilipanga niende mpaka Ukonga mwisho, napo nitamtuma Mh. Jakaya Kikwete na viongozi wengine.

Nilipanga kupita kila eneo, lakini mimi ni binadamu. Ningependa hata nifike Katavi na Rukwa lakini ilibidi nimtume Makamu wangu wa Rais, Mama Samia.

Ningependa nifike Mtwara na Lindi lakini nitamtuma kule Waziri Mkuu wangu, Ndugu Kassim Majaliwa.

Ningependa nifike Morogoro; ningependa nifike Pwani; ningependa nifike Pemba na maeneo mengine. Mimi ni binadamu, siwezi kuwa kila mahali na wakati huohuo nifanye kazi za serikali. Kwasababu serikali lazima iendelee kwenda, wafanyakazi wapate mishahara yao. Madawa lazima yapatikane hospitali. Na mengine mengi. Wakulima lazima wapate pembejeo. Hatya yote unayasimamia wakati ukifanya kampeni.
Anaogopa maswali ya korosho kaficha mkia!!
 
Safi sana hakuna kufanya mambo kwa mazoea. Kampeni zilizofanyika mwaka huu zinatosha, miaka 5 JPM amekuwa akihangaika kuzunguka nchi nzima katika kutumikia Watanzania haikuwa bure. Huu ndio wkati wa kuvuna. Mshindani mwenyewe Lissu ambaye anavinasaba vya ukameruni.
 
Akihutubia jimbo la Kawe, Rais Magufuli amesema yeye ni Binadamu hataweza kwenda lindi na Mtwara hivyo atamtuma Kassim Majaliwa Kassim

Mimi kama mwana CCM naunga mkono kumtumia Mama Salma Kikwete na Jakaya Kikwete mikoa ya lindi na Mtwara na tayari hilo limefanyika.

Kwa uamuzi huu Rais ameona mbali sana na hongera kwake sana sana,

Wale wa maeneo ya Ngende, Nanjilinji na Nkanared na wale wanaotamka mwana Nke badala ya Mwanamke na mnaotamka Ntoto badala ya mtoto wa mikoa ya Lindi na Mtwara tunawategemea sana kupiga kura ya ndio kwa JPM.

Kazi za serikali ni nyingi zinahitaji muda pia.

----
Nilipenda sana kupita maeneo mbalimbali. Nilipenda nifike Mbagala; nitamtuma Mheshimiwa Jakaya Kikwete. Nilipanga niende mpaka Ukonga mwisho, napo nitamtuma Mh. Jakaya Kikwete na viongozi wengine.

Nilipanga kupita kila eneo, lakini mimi ni binadamu. Ningependa hata nifike Katavi na Rukwa lakini ilibidi nimtume Makamu wangu wa Rais, Mama Samia.

Ningependa nifike Mtwara na Lindi lakini nitamtuma kule Waziri Mkuu wangu, Ndugu Kassim Majaliwa.

Ningependa nifike Morogoro; ningependa nifike Pwani; ningependa nifike Pemba na maeneo mengine. Mimi ni binadamu, siwezi kuwa kila mahali na wakati huohuo nifanye kazi za serikali. Kwasababu serikali lazima iendelee kwenda, wafanyakazi wapate mishahara yao. Madawa lazima yapatikane hospitali. Na mengine mengi. Wakulima
lazima wapate pembejeo. Hatya yote unayasimamia wakati ukifanya kampeni.
Binadamu pumzi kwisha lakini hayo asingesema leo angewambia NEC mapema ili wajue kuwa nchi hii ni kubwa sana kwa binadamu ambaye pia ni Rais aliyopo madarakani kuweza kufanya kampeni nchi nzima ndani ya miezi miwili tu.

Pamoja na kufanya kampeni miaka 5 na kuwa na madege, mabulungutu ya fedha, Chopa na magari ya kisasa lukuki, NECCM wangemwelewa wakampa miezi 4 wagombea wengine mwezi mmoja tu wajue yeye ni mpenzi wa Mungu ingawa na wao ni binadamu pia.

Hii sarakasi, ambayo imeletwa na yeye, tunayoshuhudia sasa ya kuzuia wagombea wasifanye kampeni au kupiga mawe misafara yao ya kampeni au kuficha Kivuko wasivuke, isingekuwepo.

Asiogope kufukizwa kule Ruangwa aende tu Lindi na Mtwara akarekabishe suala la Korosho za wakulima masikini zilizoporwa kwa agizo lake bila malipo hadi sasa
 
Rais ni binadamu anachoka pia anamajukumu ya serikali hawezi kwenda huko kote...hongera Sana Magufuli hujawa mlafi umeamua kuwatuma watu wengine wakusaidie baadhi ya majukumu.. wewe ni Rais unaethamin vipaumbele na kipaumbele chako ni wananchi wako.. CCM oyeee..
Hapa Siyo swala la majukumu ni kampeni. Kama wameshaweka mambo yake na Mahela hata asipoenda ni Sawa maana tunajua matokeo.
 
Akihutubia jimbo la Kawe, Rais Magufuli amesema yeye ni Binadamu hataweza kwenda lindi na Mtwara hivyo atamtuma Kassim Majaliwa Kassim

Mimi kama mwana CCM naunga mkono kumtumia Mama Salma Kikwete na Jakaya Kikwete mikoa ya lindi na Mtwara na tayari hilo limefanyika.

Kwa uamuzi huu Rais ameona mbali sana na hongera kwake sana sana,

Wale wa maeneo ya Ngende, Nanjilinji na Nkanared na wale wanaotamka mwana Nke badala ya Mwanamke na mnaotamka Ntoto badala ya mtoto wa mikoa ya Lindi na Mtwara tunawategemea sana kupiga kura ya ndio kwa JPM.

Kazi za serikali ni nyingi zinahitaji muda pia.

----
Nilipenda sana kupita maeneo mbalimbali. Nilipenda nifike Mbagala; nitamtuma Mheshimiwa Jakaya Kikwete. Nilipanga niende mpaka Ukonga mwisho, napo nitamtuma Mh. Jakaya Kikwete na viongozi wengine.

Nilipanga kupita kila eneo, lakini mimi ni binadamu. Ningependa hata nifike Katavi na Rukwa lakini ilibidi nimtume Makamu wangu wa Rais, Mama Samia.

Ningependa nifike Mtwara na Lindi lakini nitamtuma kule Waziri Mkuu wangu, Ndugu Kassim Majaliwa.

Ningependa nifike Morogoro; ningependa nifike Pwani; ningependa nifike Pemba na maeneo mengine. Mimi ni binadamu, siwezi kuwa kila mahali na wakati huohuo nifanye kazi za serikali. Kwasababu serikali lazima iendelee kwenda, wafanyakazi wapate mishahara yao. Madawa lazima yapatikane hospitali. Na mengine mengi. Wakulima lazima wapate pembejeo. Hatya yote unayasimamia wakati ukifanya kampeni.
Akihutubia jimbo la Kawe, Rais Magufuli amesema yeye ni Binadamu hataweza kwenda lindi na Mtwara hivyo atamtuma Kassim Majaliwa Kassim

Mimi kama mwana CCM naunga mkono kumtumia Mama Salma Kikwete na Jakaya Kikwete mikoa ya lindi na Mtwara na tayari hilo limefanyika.

Kwa uamuzi huu Rais ameona mbali sana na hongera kwake sana sana,

Wale wa maeneo ya Ngende, Nanjilinji na Nkanared na wale wanaotamka mwana Nke badala ya Mwanamke na mnaotamka Ntoto badala ya mtoto wa mikoa ya Lindi na Mtwara tunawategemea sana kupiga kura ya ndio kwa JPM.

Kazi za serikali ni nyingi zinahitaji muda pia.

----
Nilipenda sana kupita maeneo mbalimbali. Nilipenda nifike Mbagala; nitamtuma Mheshimiwa Jakaya Kikwete. Nilipanga niende mpaka Ukonga mwisho, napo nitamtuma Mh. Jakaya Kikwete na viongozi wengine.

Nilipanga kupita kila eneo, lakini mimi ni binadamu. Ningependa hata nifike Katavi na Rukwa lakini ilibidi nimtume Makamu wangu wa Rais, Mama Samia.

Ningependa nifike Mtwara na Lindi lakini nitamtuma kule Waziri Mkuu wangu, Ndugu Kassim Majaliwa.

Ningependa nifike Morogoro; ningependa nifike Pwani; ningependa nifike Pemba na maeneo mengine. Mimi ni binadamu, siwezi kuwa kila mahali na wakati huohuo nifanye kazi za serikali. Kwasababu serikali lazima iendelee kwenda, wafanyakazi wapate mishahara yao. Madawa lazima yapatikane hospitali. Na mengine mengi. Wakulima lazima wapate pembejeo. Hatya yote unayasimamia wakati ukifanya kampeni.
Aseme tu ukweli kuwa ameogopa kuzomewa,maeneo alikoharibu zaidi anawatuma wengine.Bulldozer linachokaje?

Mzee amelikoroga hasa,yeye ni Waziri wa fedha,Afya au Ujenzi?Hizo kazi alizotaja mbona zina wateule?Hawaamini?

Kampeni za CCM Mwaka huu zimekuwa ngumu mno,hilo lipo wazi bila kificho.Hawana jipya zaidi ya kurejea miradi ya kimkakati ya kitaifa kufanyia kampeni.Yakija majanga kama mafuriko lawama ni kwa wapinzani ila Flyovers,sgr nk ni za CCM.
Watanzania siyo wajinga.
 
IMG_20201014_112057.jpg
IMG_20201014_112149.jpg
 
Akihutubia jimbo la Kawe, Rais Magufuli amesema yeye ni Binadamu hataweza kwenda lindi na Mtwara hivyo atamtuma Kassim Majaliwa Kassim

Mimi kama mwana CCM naunga mkono kumtumia Mama Salma Kikwete na Jakaya Kikwete mikoa ya lindi na Mtwara na tayari hilo limefanyika.

Kwa uamuzi huu Rais ameona mbali sana na hongera kwake sana sana,

Wale wa maeneo ya Ngende, Nanjilinji na Nkanared na wale wanaotamka mwana Nke badala ya Mwanamke na mnaotamka Ntoto badala ya mtoto wa mikoa ya Lindi na Mtwara tunawategemea sana kupiga kura ya ndio kwa JPM.

Kazi za serikali ni nyingi zinahitaji muda pia.

----
Nilipenda sana kupita maeneo mbalimbali. Nilipenda nifike Mbagala; nitamtuma Mheshimiwa Jakaya Kikwete. Nilipanga niende mpaka Ukonga mwisho, napo nitamtuma Mh. Jakaya Kikwete na viongozi wengine.

Nilipanga kupita kila eneo, lakini mimi ni binadamu. Ningependa hata nifike Katavi na Rukwa lakini ilibidi nimtume Makamu wangu wa Rais, Mama Samia.

Ningependa nifike Mtwara na Lindi lakini nitamtuma kule Waziri Mkuu wangu, Ndugu Kassim Majaliwa.

Ningependa nifike Morogoro; ningependa nifike Pwani; ningependa nifike Pemba na maeneo mengine. Mimi ni binadamu, siwezi kuwa kila mahali na wakati huohuo nifanye kazi za serikali. Kwasababu serikali lazima iendelee kwenda, wafanyakazi wapate mishahara yao. Madawa lazima yapatikane hospitali. Na mengine mengi. Wakulima lazima wapate pembejeo. Hatya yote unayasimamia wakati ukifanya kampeni.
Duu! Kwa hiyo amehodhi kila kitu lazima afanye yeye? Mbona Mkapa na Kikwete walifanya kampeni nchi nzima na serikali iliendelea kufanya kazi kama kawaida.
Kumbuka nchi hii hatupo kwenye hali ya hatari kiasi kwamba Rais anahitajika kila sekunde!
 
Rais ni binadamu anachoka pia anamajukumu ya serikali hawezi kwenda huko kote...hongera Sana Magufuli hujawa mlafi umeamua kuwatuma watu wengine wakusaidie baadhi ya majukumu.. wewe ni Rais unaethamin vipaumbele na kipaumbele chako ni wananchi wako.. CCM oyeee..
Asitutanie, sisi wananchi kama waajiri wake tunamtaka binafsi kwenye kampeni kwa sababu hiyo ndiyo interview yetu kwa wanaoomba kazi ya Urais. Hatakiwi kutuma mwakilishi kwani ni yeye atakayewajibika kwetu moja kwa moja!
 
Akihutubia jimbo la Kawe, Rais Magufuli amesema yeye ni Binadamu hataweza kwenda lindi na Mtwara hivyo atamtuma Kassim Majaliwa Kassim

Mimi kama mwana CCM naunga mkono kumtumia Mama Salma Kikwete na Jakaya Kikwete mikoa ya lindi na Mtwara na tayari hilo limefanyika.

Kwa uamuzi huu Rais ameona mbali sana na hongera kwake sana sana,

Wale wa maeneo ya Ngende, Nanjilinji na Nkanared na wale wanaotamka mwana Nke badala ya Mwanamke na mnaotamka Ntoto badala ya mtoto wa mikoa ya Lindi na Mtwara tunawategemea sana kupiga kura ya ndio kwa JPM.

Kazi za serikali ni nyingi zinahitaji muda pia.

----
Nilipenda sana kupita maeneo mbalimbali. Nilipenda nifike Mbagala; nitamtuma Mheshimiwa Jakaya Kikwete. Nilipanga niende mpaka Ukonga mwisho, napo nitamtuma Mh. Jakaya Kikwete na viongozi wengine.

Nilipanga kupita kila eneo, lakini mimi ni binadamu. Ningependa hata nifike Katavi na Rukwa lakini ilibidi nimtume Makamu wangu wa Rais, Mama Samia.

Ningependa nifike Mtwara na Lindi lakini nitamtuma kule Waziri Mkuu wangu, Ndugu Kassim Majaliwa.

Ningependa nifike Morogoro; ningependa nifike Pwani; ningependa nifike Pemba na maeneo mengine. Mimi ni binadamu, siwezi kuwa kila mahali na wakati huohuo nifanye kazi za serikali. Kwasababu serikali lazima iendelee kwenda, wafanyakazi wapate mishahara yao. Madawa lazima yapatikane hospitali. Na mengine mengi. Wakulima lazima wapate pembejeo. Hatya yote unayasimamia wakati ukifanya kampeni.
Pumzi imekata mapema namna hii! Tumeona ajali kwa viongozi wa vyama vya CDM na ACT Wazalendo, kuna mtu wa chama fulani anaogopa kivuli chake sasa. Kwa sababu kimahesabu inakuwa ni wa tatu (3). Wenzake wote waliomtangulia walilikamilisha tambiko la kishirikina lenye masharti ya lazima la mbio za mwenge, yeye kwa kiburi akaenda kinyume chake na kulipuuzia.

3 ni namba yenye maana kubwa sana ktk ulimwengu wa kiroho. Ni namba ambayo hutoa taafsiri ya kuwa jambo lililopangwa kwa mpango wa Mungu hukaa kwa kitambo kifupi tu na hatimaye kwenda kufikia utimilifu wake wote.

Kwa wale wenye kufuata imani ya Bwana Yesu Kristo, wanaweza kupata picha halisi kupitia maisha yake pale alipokuja hapa duniani kwa mara ya kwanza na kuishi kama binadamu.
1. Alijaribiwa mara 3
2. Alikufa na kukaa ndani ya kaburi kwa siku 3
3. Pale katika Bustani ya Gethsemane alikwenda kusali pekee yake mara tatu.
4. Na kadhalika.

MENE, MENE, TEKELI & PERESI
 
Bahati yako WEWE umekubali yaishe Lissu angekuchana msamba.
Usishindane na MBEBA MAONO.
Rudi gereji sasa, umeshakua gari la mkaa, tripu shamba tripu gereji
 
Jamaa halikutegemea lilikua na plan nyingine, lilitaka kuvuruga hatuna za mwanzoni kabisa ili Uchaguzi usiwepo
Lipite bila kupingwa.
 
Back
Top Bottom