guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maendeleo hayana chama, mlikosea si mlichagua upinzani bakini na huyo bwege wenu.
Wananchi wanapaswa kutumia nafasi yao vizuri kwenye sanduku la kupigia kura.Inasikitisha katika nyakati kama hizi za Demokrasia komavu kukutana na hoja dhaifu au za ajabu
Akiwa lindi mgombea wa chama cha mapinduzi kwa nafasi ya URAISI ndugu John Magufuli ambae kwa mujibu wa sheria ni Rais hadi hivi Sasa, amenukuliwa akitishia wananchi kutokuwapelekea Maendeleo kwa sababu walimchagua mbunge mpinzani ndugu bwege...
Kauli anazozitoa huyu jpm zingekuwa zinatolewa na wapinzani, amini nakwambia msajili wa vyama, NEC, Polisi, na wengine wenye kufanana nao wangeshanyanyuka zamani.Ni wakati Sasa kila Jimbo liwe na mamlaka kamili yanayojitegemea haya ya kuchukua mapato ya Kodi toka upinzani then kuwanyima maendeleo huu Ni wizi
Nashangaa tunapoteza muda mwingi kufikiria upotolo wake wakati sie ndio tumeshika mpini yeye kashika makali. Kila MTU aamue tarehe 28/10 kuwahi kituoni na kuchinjilia mbali yeye kisha kumpigia Mbunge na diwani amtakaye bila kokoro.Mbaya zaidi leo katisha watu Eti wasichague upinzani watakoma. Sasa dawa yake ni sisi watanzania kuhamaaishana kutompa hata kura moja huyu jamaa ili aende kuishi kijijini kwake chato. Anatuona watanzania kama ng’ombe wake kiasi atatuendesha atakavyo. Hafai kabisa huyu magufuli
Magufuli ameivua nguo Ph.D ya Tanzania na kuushusha thamani sana urais wa Tanzania.Inasikitisha katika nyakati kama hizi za Demokrasia komavu kukutana na hoja dhaifu au za ajabu...
HakikaMagufuli ameivua nguo Ph.D ya Tanzania na kuushusha thamani sana urais wa Tanzania.
Ph.D ya ujanja ujanja hamna contents pale zaidi ya ujivuni na ubabe wa kishambaMagufuli ameivua nguo Ph.D ya Tanzania na kuushusha thamani sana urais wa Tanzania.
Ni kweli mkuu,,hapa ni mikutano ya hadhara, Je mikutano ya Baraza la mawaziri anaagiza nini kama siyo watu kupotezwa?Haya ni yale ya hadharani, fikiria sirini anaongea nini
Inasikitisha katika nyakati kama hizi za Demokrasia komavu kukutana na hoja dhaifu au za ajabu...
Magufuli ni mweupe sana. Yaani isingekuwa Lowassa kuchafuliwa ufisadi.2015 Lowassa angeshinda. Leo anasema eti tuchague chama na siyo mtu. Anasahau kuwa akishinda yeye ndo mwenyekiti na kwenye chama wote watasema ndiyo mzee.
Mara aseme maendeleo hayana chama. Mara anawaponda waliochagua vyama vingine.
Hajawahi shinda chochote bila kubebwa, safari hii Mkapa hayupo thus amejaa fully stress, Safari bado Kagera wanamngoja awarudishie chenji za rambirambi, kusini wanamngoja akawape majibu ya korosho.
Hili jiwe linawezapasuka kabla ya wakati.
CD ya SGR, mabeberu, flyover, ndege haizuiki
Mwaka anasema wachague chama wakati 2015 waliomba achaguliwe Magufuli, wamebanwa.
Sera za ubaguzi waziwazi, anabagua wapinzani huku Kodi zao anachukua.
Ingekuwa analeta maendeleo mbona Dodoma yote ni CCM why hawana maendeleo.