Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

Chadema wengi hawana akili!

Hivi Magufuli toka aanze kusema hayo imepita miaka mingapi?

Maana kila mkoa anaopita huwa anasema hivyo, je keshafanya hayo?

Mnafikiri Magu ni kama yule mtu wenu kila muda amejaa jaziba na mihasira?
kila mkoa na wilaya anakula na ma RC na DC mbona inajulikana
 
Watanzania wanataka uhuru na haki ndani ya nchi yao. Watanzania hawataki kuonewa na kunyanyaswa na kutukanwa ndani ya nchi yao. Ndiyo maana kipindi cha miaka 5 ya Meko amejisifu kuwa kafanya maendeleo sana, lakini why this REJECTION ? Sasa hivi haongelei tena madaraja na madege
Hatutaki Maendeleo vitu tuna take Maendeleo ya watu,.... Period
 
Wapwa,

Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili.

Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC kama sisi?

Haki huinua taifa

====
View attachment 1589366
“Unajua Mzee Mwinyi aliniambia siri ya kuishi maisha marefu yeye ana miaka karibu 96 ni kuwa na Wanawake wawili, sasa mimi nina mmoja tu nikimaliza Urais nitaangaliaangalia kupata wa pili huku Zanzibar, nimeona mambo mazuri huku” amesema Magufuli akiwa Zanzibar
The Hague inakusubiri
 
Leo Mh. Magufuli kule Zanzibar amesema kuwa akimaliza urais ataongeza mke wa pili. Kiukweli kiongozi kama Magu ambaye ni mwafrika na kiongozi mkubwa ambaye kwa muda mfupi amefaya mambo makubwa na ya ajabu, ambaye amewadindishia wazungu katika mambo mengi mazito akiwakilisha Mwafrika harisi kwakweli ni aibu kwake kuwa na mke mmoja hadi sasa.

Yeye anasema ataongeza akimaliza uongozi, hapo anakosea kabisa kwani alitakiwa ati listi angekuwa hata na watatu ndiyo afikirie kumalizia na swala la muungano kuoa wa Zanzibar.
Magu nikama chifu Mkwawa, Mfalme Mwanamutapa na wengine waliotupa heshima bara la Afrika hawezi kuwa na mke mmoja. Wazee wachache mliobaki wenye hekima mshaulini Mzee afanye jambo la msingi kwani ndiyo uafrika wenyewe na si uzungu hapa.

Huo ukatoriki wake usiwe kikwazo hata kidogo kwani umekuja juzi tena kwa kazi maalumu, afanye kama Mungu wa Afrika alivyo mleta na si Mungu wa wazungu ambaye siwetu.
Ulingosha, na si ulimkatoliki.
aanze kutoa mahari huko Zenj kwa sababu mwisho wake ni oct28 2020
 
Wapwa,

Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili.

Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC kama sisi?

Haki huinua taifa

====
View attachment 1589366
“Unajua Mzee Mwinyi aliniambia siri ya kuishi maisha marefu yeye ana miaka karibu 96 ni kuwa na Wanawake wawili, sasa mimi nina mmoja tu nikimaliza Urais nitaangaliaangalia kupata wa pili huku Zanzibar, nimeona mambo mazuri huku” amesema Magufuli akiwa Zanzibar

Mwinyi hana roho mbaya,ukiwa na roho mbaya lazima uzeeke vibaya. Ona Magufuli wanalingana na mzee Mwinyi wakati ni mtoto wake kabisa.
 
Back
Top Bottom