Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ongea na wazee, wakuu wa Taifa! Sioni mwisho mwema kama nabii

Pole kwa msongo wa mawazo.
Uhalisia ni kwamba Magu amewakonga nyoyo wanyonge na amewaudhi majizi.
Hakuna mgonjwa yeyote atakaye sema ovyo kwa Magu.
Huo ndiyo uhalisia 91% wanampa kura ya ndiyo.

Check likes za comment yako. Ni 6 tu.

Ila linganisha na comment pinzani zina likes 50+

Utagundua ulichokiandika siyo uhalisia
 
Too late !
 
Pamoja na kuongea na wazee.
Kubwa zaidi asikae kimya kwenye haki stahiki zake mheshimiwa Lissu.
Akiwa kiongozi mkuu wa serikali na msimamizi wa yote. Alitakiwa kuwa amesimamia na kuruhusu alipwe haki yake kama mbunge na aliyelengwa akiwa kazini!
Je manunuzi ya wabunge wa upinzani kuunga mkono walilipwa stahiki zao.
Kama kuna matumizi mabaya basi ndiyo hayo na ufisadi! HAKI HAKI YA MTU HAIPOTEI.
 
Pole kwa msongo wa mawazo.
Uhalisia ni kwamba Magu amewakonga nyoyo wanyonge na amewaudhi majizi.
Hakuna mgonjwa yeyote atakaye sema ovyo kwa Magu.
Huo ndiyo uhalisia 91% wanampa kura ya ndiyo.
Nyie ndiyo wanafika sema ukweli itakuwa huru
 
Pole kwa msongo wa mawazo.
Uhalisia ni kwamba Magu amewakonga nyoyo wanyonge na amewaudhi majizi.
Hakuna mgonjwa yeyote atakaye sema ovyo kwa Magu.
Huo ndiyo uhalisia 91% wanampa kura ya ndiyo.
Kwa utopolo huu weweutakuwa kidoti
 
A fair assessment of magufuli, which by any means reflects his inability to lead not only a country, but even a political party!
 
Things have gone out of hand already
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…