Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ongea na wazee, wakuu wa Taifa! Sioni mwisho mwema kama nabii

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Najaribu kuona hiki ulichokiandika huku mtaani lakini sioni.
Huwezi kukiona ..watu wanaumia kwa ndani......yaani kuna uwezekano mtu akavaa kijani halafu akatupia kura upande wa pili...TRUST ME
 
Nilipanga kuto piga kura lakini Lissu amenikosha naenda kupiga kura kwa ajili yake.
Mkuu me mwenyewe nitasafiri kilometer nyingi nikampigie kura uhai ndio Muhim tu!
Uhai wangu ndio kura ya lissu
 
Pole kwa msongo wa mawazo.
Uhalisia ni kwamba Magu amewakonga nyoyo wanyonge na amewaudhi majizi.
Hakuna mgonjwa yeyote atakaye sema ovyo kwa Magu.
Huo ndiyo uhalisia 91% wanampa kura ya ndiyo.

Magu huyu huyu anayejisifu kutokuzingatia ahadi na Ilani ya chama chake?? Ni huyu huyu Magu anayekwapua fedha kwa miradi yake anayoijua mwenyewe???
Unazungumzia wanyonge gani; wale wanaolazimishwa kutetea ndege japo uchumi wao hauruhusu kupanda ndege??
Hao wezi unaowazungumzia ni akina nani? Wale ambao wamesongamana kwenye lichama lenu ccm au wengine??
 
Watz siyo wanafiki bali hawa walioko hapa JF wengi sana wapo Ulaya na Marekani wala hawajui yaliyoko mitaani wakiona nyomi ya kutengeza wanafikiri mitaani kukohivyo.
Hata kwenye TV ni nyomi ya kutengeneza? acheni masihara jamani makada wenzangu....sisi tulio huku kwenye ground tunaona mengi yasiyotarajiwa
 
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waldo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.

Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati huu tuna nguvu.

Asikudanganye mtu, hali sio hali, yani hata kama ni kwa goli la mkono, ila mtiti huu utakusumbua katk awamu yako ya pili kiasi utahisi kila mtu ni msaliti.

Kuna hali sio ya kawaida huku uraiani, yani watu wamejawa na machungu kiasi hawana pa kupumulia ila tu 28.10.2020.

Majeshi na idara za usalama hawatoweza kudhibiti hili vuguvugu na wakiweza basi watu wengi watakuwa silence jambo litazidi kuibuwa vuguvugu jingine baya zaidi, jambo litazigawa idara zako za ushauri.

Uongozi ni kuacha alama na ili ufanikiwe kubali yaishe, kaa na waliokuweka vua urais wako omba ushauri Ila kumbuka shida ipo nyingine Nani wakukupa honest feedback kwa aina ya uongoz wako mkali sana Mzee wangu hapa tafuta MTU tu akusaidie upewe honest feed back japo sijui kama utaipata Mungu akusaidie.

Pamoja umefanya yote mazuri Ila trust me umeshindwa ishi mioyoni mwa Watanzania. Embu jiulize why? Umeme umetadanza kama uyoga, maji kama yote, mahospitali kama yote, madege, reli.

Yani hakuna mahali hujagusa, umefanya mambo makubwa sana ila umeshindwa kula na kipofu, sasa kipofu kapata kipofu aliewahi kuona hapo zamani Ila baadae akawa kipofu. Amewaambia vipofu wenzake huko sio, hiyo njia sio, wamemwamini ani ni shida ukiweka Jiwe na Magi watu wanapigia Kura Jiwe. Why umesahau wakolon walitupa shanga Sisi tukawapa madini?

Ona sasa mziki huu jamaa Hana bango Hana vyombo vya habari Ila ameteka nchi kweupe.

Waite wazee wakushauri maana najuwa uchaguzi huu hautokuwa Rahisi kama tunavyodhani.
Number counts , sio ndoto zako .
Wewe endelea kuota, lakini numbers zipo tofauti na ndoto.
Sasa sijui utaenda kuota wapi baada ya 28/10/2020
 
NHIF bima hakuna dawa zaidi ya Panadol fedha za mifuko zimekombwa zote zifanikishe uchaguzi, kwa hiyo dawa za presha, kisukari hazipo fedha wamelipwa akina Chuchu tuone viuno vyao.
 
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waldo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.

Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati huu tuna nguvu.

Asikudanganye mtu, hali sio hali, yani hata kama ni kwa goli la mkono, ila mtiti huu utakusumbua katk awamu yako ya pili kiasi utahisi kila mtu ni msaliti.

Kuna hali sio ya kawaida huku uraiani, yani watu wamejawa na machungu kiasi hawana pa kupumulia ila tu 28.10.2020.

Majeshi na idara za usalama hawatoweza kudhibiti hili vuguvugu na wakiweza basi watu wengi watakuwa silence jambo litazidi kuibuwa vuguvugu jingine baya zaidi, jambo litazigawa idara zako za ushauri.

Uongozi ni kuacha alama na ili ufanikiwe kubali yaishe, kaa na waliokuweka vua urais wako omba ushauri Ila kumbuka shida ipo nyingine Nani wakukupa honest feedback kwa aina ya uongoz wako mkali sana Mzee wangu hapa tafuta MTU tu akusaidie upewe honest feed back japo sijui kama utaipata Mungu akusaidie.

Pamoja umefanya yote mazuri Ila trust me umeshindwa ishi mioyoni mwa Watanzania. Embu jiulize why? Umeme umetadanza kama uyoga, maji kama yote, mahospitali kama yote, madege, reli.

Yani hakuna mahali hujagusa, umefanya mambo makubwa sana ila umeshindwa kula na kipofu, sasa kipofu kapata kipofu aliewahi kuona hapo zamani Ila baadae akawa kipofu. Amewaambia vipofu wenzake huko sio, hiyo njia sio, wamemwamini ani ni shida ukiweka Jiwe na Magi watu wanapigia Kura Jiwe. Why umesahau wakolon walitupa shanga Sisi tukawapa madini?

Ona sasa mziki huu jamaa Hana bango Hana vyombo vya habari Ila ameteka nchi kweupe.

Waite wazee wakushauri maana najuwa uchaguzi huu hautokuwa Rahisi kama tunavyodhani.
Nimekupa "thanks" kwa kueleza mambo yasiyo ya kweli, nasema hivyo kwa sababu hakuna ushahidi wowote wa maandishi au takwimu au maneno yoyote kwa hayo uliyosema kutoka kwa wahusika wowote. Nimekupa "thanks" kwa upotoshaji mkubwa wa uhalisia wa mambo yalivyo "on the ground".
 
Hapo hata mi nashindwaga kuelewa haya mambo nayaonaga JF tu mtaani hamna kabisa ila ukifungua JF 😂😂 utasema nchi imepinduliwa

Mi mwenyewe huwa nashangaa nikifungua JF unaweza sema ni kweli ila nasomaga tu sisemi chochote ila kura ni Magu maana humu kumejaa majizi na makwepa kodi yameficha tu Id zao ila ni majizi menyewe au baba zao yanachuki kama zote.
 
Hiyo ndiyo Hali halisi. Kama JPM atashinda 🥺😤 na akaendela na Siasa zake hizihizi....2025 hakutakuwa na CCM
Sure. Atampa wakati mgumu sana kuuzika mgombea wa CCM wa mwaka 2025
 
tukumbuke nae ana watu wengi kwenye mikutano yake........tuangalie pande zote mchuano ni mkali sana. tupambane na wabunge tuwe nao wengi
 
Pole kwa msongo wa mawazo.
Uhalisia ni kwamba Magu amewakonga nyoyo wanyonge na amewaudhi majizi.
Hakuna mgonjwa yeyote atakaye sema ovyo kwa Magu.
Huo ndiyo uhalisia 91% wanampa kura ya ndiyo.
Hatari kweli kweli yaani mmoja anasomba(Honga) Raia kuhudhuria mwingine Raia wanamchangia pesa ya Kampeni

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Pole kwa msongo wa mawazo.
Uhalisia ni kwamba Magu amewakonga nyoyo wanyonge na amewaudhi majizi.
Hakuna mgonjwa yeyote atakaye sema ovyo kwa Magu.
Huo ndiyo uhalisia 91% wanampa kura ya ndiyo.
JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
 
Back
Top Bottom