Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ongea na wazee, wakuu wa Taifa! Sioni mwisho mwema kama nabii

Mawazo ya mpumbavu nayo yaheshimiwe, wengi wanaompinga magufuli walizoea kupiga pesa. Ntakupa mfano wa Zitto Kabwela alipokuwa mwenyekiti wa ile kamati (jina kapuni) alianzisha ujenzi wa Ghorofa na alipotolewa ujenzi umesimama mpaka leo. Wote mnakumbuka alimwandama magufuli na akafikia kusema kama anataka amani basi amrudishe kwenye nafasi ya uenyekiti. Walioandika barua kuzuia Tanzania isipewe misaada ni wapinzani lakini matokeo wanamtupia lawama magufuli. Watanzania tuwe makini, wapinzani sio kwamba haajui Magu anafanya nini, lahasha, wanajua ana dhamira njema ila kutimiza majukumu yao ndio kelele hizo. Zamani bandari haikuwa ma mita za mafuta kwa hiyo mtu ndo alikuwa anaamua tu niseme zimepita lita kadhaa, huyu hawezi kumpenda Magufuli hata kidogo. Nchi kuijenga lazima pae na maumivu. Tuvumiliane.
Huwa sipendi kuendeshwa na mahaba. Napenda niendeshwe na akili yangu unayolala kwenye ukweli. Mahaba yafuate akili yangu.

Ukweli ni kuwa Magufuli, yapo mambo amefanya vema, na kuna mengine ameharibu.

Amefanya vema kukamilisha miradi iliyokuwa imeanzishwa na mtangulizi wake:

1) kusambaza umeme vijijini
2) kusambaza maji
3) kuendeleza ukarabati wa hospitali
4) Ukarabati na ujenzi wa mashule, mahakama, stand na masoko
5) Ujenzi wa barabara za mitaani
6) Ujenzi wa madarasa

Magufuli amefanya vizuri pia kwenye mambo yafuatayo
1) kusimamia vizuri matumizi ya fedha za serikali
2) kudhibiti ujambazi
3) Kusimamia nidhamu ya wafanyakazi
4) Uanzishaji wa masoko ya kuuzia madini

Miradi mipya mikubwa mitatu - reli, ndege na umeme, ni miradi mizuri lakini hii miradi inatumia fedha nyingi na haiwezi kujihudumia wala kuanza kurudisha fedha hivi karibuni. Miradi hii haikustahili kufanyika yote kwa pamoja. Kwa fikra zangu, angeanza na reli.

MAENEO AMBAYO AMEFANYA VIBAYA KABISA:
1) Ukatili kwa kutumia watu wasiojulikana kuteka, kupoteza na kuua watu. Hili ni kosa kubwa sana lusilostahili msamaha. Na siku moja ni lazima iundwe TUME YA MARIDHIANO ili tujue ni nini hasa kilimtokea Ben Sanane, Azory Gwanda, na tujue kwa nini walitaka kumwua Tundu Lisu, na wengine waliotekwa na kisha kutupwa maporini, na wale wengine waliouawa na miili yao kutupwa kwenye viroba

2) Kubambikia watu kesi za uhujumu uchumi na kutakatisha fedha, na kisha kuwalazimisha wakiri makosa baada ya kuwatesa kwa kuwaweka mahabusu kwa muda mrefu

3) Kufukarisha watu kwa kutumia sheria zisizo rafiki za TRA na uhujumu uchumi

4) Kuharibu mazingira ya uwekezaji kiasi cha kuua na kufukuza uwekezaji

5) Kutowajali wafanyakazi kwa kutowapa ongezeko la mishahara

6) Kutoheshimu utu na kuwaona watu wengine hawastahili heshima. Na yeye pekee na wateule wake kuwa ndio wenye mamlaka yasiyohojiwa wala kukosolewa

7) kutoheshimu katiba, sheria na kanuni. Kupalilia ubaguzi na kuendekeza upendeleo. Ili kudumisha upendeleo, badala ya kuheshimu taaluma, kila eneo akawajaza makada wa CCM, na zaidi watu wa kanda moja. Hili ni kosa kubwa kabisa la pili. Ni kinyume na kiapo chake

8) Kutoheshimu mipaka na kuingikia utendaji wa mihimili mikuu ya Jamhuri

9) Kudhamiria na kusimamia kifo cha demokrasia, haki na uhuru wa raia na vyombo vya habari, vyama vya siasa na maoni ya raia

10) Kutunga sheria mbaya kwa nia ya kuwadhibiti watu, kuondoa uwazi wa matumizi ya fedha ya Serikali

11) Kuhatibu mahusiano mazuri ya kidiplomasia yaliyokuwepo kwa kujrnga hisia za kibaguzi na kupandikiza fikra kwa watu waamini kuwa kila mzungu ni mnyonyaji na adui. Kuharibu mahusiano yetu ya karibu na nchi ya Kenya. Na kwenye hili kama si busara za Kenyata, huenda hata mipaka ya nchi ingekuwa tayari imefungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waldo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.

Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati huu tuna nguvu.

Asikudanganye mtu, hali sio hali, yani hata kama ni kwa goli la mkono, ila mtiti huu utakusumbua katk awamu yako ya pili kiasi utahisi kila mtu ni msaliti.

Kuna hali sio ya kawaida huku uraiani, yani watu wamejawa na machungu kiasi hawana pa kupumulia ila tu 28.10.2020.

Majeshi na idara za usalama hawatoweza kudhibiti hili vuguvugu na wakiweza basi watu wengi watakuwa silence jambo litazidi kuibuwa vuguvugu jingine baya zaidi, jambo litazigawa idara zako za ushauri.

Uongozi ni kuacha alama na ili ufanikiwe kubali yaishe, kaa na waliokuweka vua urais wako omba ushauri Ila kumbuka shida ipo nyingine Nani wakukupa honest feedback kwa aina ya uongoz wako mkali sana Mzee wangu hapa tafuta MTU tu akusaidie upewe honest feed back japo sijui kama utaipata Mungu akusaidie.

Pamoja umefanya yote mazuri Ila trust me umeshindwa ishi mioyoni mwa Watanzania. Embu jiulize why? Umeme umetadanza kama uyoga, maji kama yote, mahospitali kama yote, madege, reli.

Yani hakuna mahali hujagusa, umefanya mambo makubwa sana ila umeshindwa kula na kipofu, sasa kipofu kapata kipofu aliewahi kuona hapo zamani Ila baadae akawa kipofu. Amewaambia vipofu wenzake huko sio, hiyo njia sio, wamemwamini ani ni shida ukiweka Jiwe na Magi watu wanapigia Kura Jiwe. Why umesahau wakolon walitupa shanga Sisi tukawapa madini?

Ona sasa mziki huu jamaa Hana bango Hana vyombo vya habari Ila ameteka nchi kweupe.

Waite wazee wakushauri maana najuwa uchaguzi huu hautokuwa Rahisi kama tunavyodhani.
Waulizeni watumishi watawaambia ukweli hawana hamu kabisa na ccm ingawa hawaongei sana ila wapo tayari kuharibu 28 oktoba.
Najua ukweli wa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipanga kuto piga kura lakini lissu amenikosha naenda kupiga kura kwa ajili yake.
Mkuu, hata Mimi na familia yangu tutapiga kura kwa heshima na upendo kwa Lisu.
Vitendo walivyomfanyia kumpiga risasi, kumvua ubunge kuhuni na kumnyima matibabu vinanifanya nipate uchungu mkubwa kila nikiwafikiria hawa mashetani
 
Kwangu Mimi utekaji na mauaji ya watu kipindi chake na hakuwahi kujitokeza hadharani kukemea kwa dhati inanifanya nisione zuri kwake.
UHAI hauna mbadala
 
Hayo Mimi Kama mzalendo nayaona ni maneno ya taarabu tu magufuli atashinda kwa kishindo na utakuja kushangilia ushindi kwanza usishangae Mgombea wako nae akaungana na CCM kujenga Tanzania ya kisasa acha ushabiki maandazi rudi nyumbani kumenoga
 
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waldo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.

Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati huu tuna nguvu.

Asikudanganye mtu, hali sio hali, yani hata kama ni kwa goli la mkono, ila mtiti huu utakusumbua katk awamu yako ya pili kiasi utahisi kila mtu ni msaliti.

Kuna hali sio ya kawaida huku uraiani, yani watu wamejawa na machungu kiasi hawana pa kupumulia ila tu 28.10.2020.

Majeshi na idara za usalama hawatoweza kudhibiti hili vuguvugu na wakiweza basi watu wengi watakuwa silence jambo litazidi kuibuwa vuguvugu jingine baya zaidi, jambo litazigawa idara zako za ushauri.

Uongozi ni kuacha alama na ili ufanikiwe kubali yaishe, kaa na waliokuweka vua urais wako omba ushauri Ila kumbuka shida ipo nyingine Nani wakukupa honest feedback kwa aina ya uongoz wako mkali sana Mzee wangu hapa tafuta MTU tu akusaidie upewe honest feed back japo sijui kama utaipata Mungu akusaidie.

Pamoja umefanya yote mazuri Ila trust me umeshindwa ishi mioyoni mwa Watanzania. Embu jiulize why? Umeme umetadanza kama uyoga, maji kama yote, mahospitali kama yote, madege, reli.

Yani hakuna mahali hujagusa, umefanya mambo makubwa sana ila umeshindwa kula na kipofu, sasa kipofu kapata kipofu aliewahi kuona hapo zamani Ila baadae akawa kipofu. Amewaambia vipofu wenzake huko sio, hiyo njia sio, wamemwamini ani ni shida ukiweka Jiwe na Magi watu wanapigia Kura Jiwe. Why umesahau wakolon walitupa shanga Sisi tukawapa madini?

Ona sasa mziki huu jamaa Hana bango Hana vyombo vya habari Ila ameteka nchi kweupe.

Waite wazee wakushauri maana najuwa uchaguzi huu hautokuwa Rahisi kama tunavyodhani.

Kifo cha mzee mkapa ni pigo kubwa kw Magufuli, maana mkapa alikuwa na udhubutu wa kumweleza ukweli.
 
Naiuliza machadema mtaweka wapi masura yenu tukiwa tunashangilia ushindi naomba tu mu niwape ushauri maendeleo hayana chama tuungane pamoja kumpa kura nyingi sana magufuli mtetezi wa wanyonge
 
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waldo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.

Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati huu tuna nguvu.

Asikudanganye mtu, hali sio hali, yani hata kama ni kwa goli la mkono, ila mtiti huu utakusumbua katk awamu yako ya pili kiasi utahisi kila mtu ni msaliti.

Kuna hali sio ya kawaida huku uraiani, yani watu wamejawa na machungu kiasi hawana pa kupumulia ila tu 28.10.2020.

Majeshi na idara za usalama hawatoweza kudhibiti hili vuguvugu na wakiweza basi watu wengi watakuwa silence jambo litazidi kuibuwa vuguvugu jingine baya zaidi, jambo litazigawa idara zako za ushauri.

Uongozi ni kuacha alama na ili ufanikiwe kubali yaishe, kaa na waliokuweka vua urais wako omba ushauri Ila kumbuka shida ipo nyingine Nani wakukupa honest feedback kwa aina ya uongoz wako mkali sana Mzee wangu hapa tafuta MTU tu akusaidie upewe honest feed back japo sijui kama utaipata Mungu akusaidie.

Pamoja umefanya yote mazuri Ila trust me umeshindwa ishi mioyoni mwa Watanzania. Embu jiulize why? Umeme umetadanza kama uyoga, maji kama yote, mahospitali kama yote, madege, reli.

Yani hakuna mahali hujagusa, umefanya mambo makubwa sana ila umeshindwa kula na kipofu, sasa kipofu kapata kipofu aliewahi kuona hapo zamani Ila baadae akawa kipofu. Amewaambia vipofu wenzake huko sio, hiyo njia sio, wamemwamini ani ni shida ukiweka Jiwe na Magi watu wanapigia Kura Jiwe. Why umesahau wakolon walitupa shanga Sisi tukawapa madini?

Ona sasa mziki huu jamaa Hana bango Hana vyombo vya habari Ila ameteka nchi kweupe.

Waite wazee wakushauri maana najuwa uchaguzi huu hautokuwa Rahisi kama tunavyodhani.
Ww unamshauri kama nani kwanini usiache aanguke mchukue nchi?
 
Kwangu Mimi utekaji na mauaji ya watu kipindi chake na hakuwahi kujitokeza hadharani kukemea kwa dhati inanifanya nisione zuri kwake.
UHAI hauna mbadala
Na ndiyo maana nimesema kuwa hilo ni kosa kubwa kabisa lisilohitaji msamaha. Isingekuwa ni shithole country, hilo tu lilipasa kutosha kumwondoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hata mi nashindwaga kuelewa haya mambo nayaonaga JF tu mtaani hamna kabisa ila ukifungua JF 😂😂 utasema nchi imepinduliwa

Sasa wewe umeenea mitaa yote kwani?

Si upo hapo tu hapo kwenye kimtaa chako ka Lumumba Buku Saba - LB7?...

Lakini JF ni mkusanyiko wa members karibu milioni moja toka kona na mitaa tofauti tofauti nchini kote....

Hawa wote 99.9% wakiwakilisha mitaa yao wanamkataa Pombe na CCM yake. Huamini tu?
 
Mkuu, hata Mimi na familia yangu tutapiga kura kwa heshima na upendo kwa Lisu.
Vitendo walivyomfanyia kumpiga risasi, kumvua ubunge kuhuni na kumnyima matibabu vinanifanya nipate uchungu mkubwa kila nikiwafikiria hawa mashetani
Mimi nilikuwa nisipige kura lakini kwasababu nina uhakika sasa kura zitalindwa haswa Nyamongo,Katoro ,Musoma,Ntwara,Tunduma,Tukuyu
 
Sasa wewe umeenea mitaa yote kwani?

Si upo hapo tu hapo kwenye kimtaa chako ka Lumumba Buku Saba - LB7?...

Lakini JF ni mkusanyiko wa members karibu milioni moja toka kona na mitaa tofauti tofauti nchini kote....

Hawa wote 99.9% wakiwakilisha mitaa yao wanamkataa Pombe na CCM yake. Huamini tu?
usipanic hali ndo ilivyo 😂
 
Walianzisha uzi wa Kutaka membe awavushe leo uko Wapi, Jukwaa la Siasa JF ni jukwaa la ovyo kabisa kupata kutokea limejaa Propagandists ambao wanajifanya ni Upinzani haswa ile hali wako nyuma ya keyboard hata kutumia Real identity zao wameshindwa ni Majasiri haswa katika fake ID ila ni wepesi zaidi ya nyoya,

Magufuli is there to stay
Mitano Tena uhakika
La hovyo kupita hovyo zote
 
Tena ushauri wangu kwa Meko apitie kwanza nyuzi na comments zako ili ajue unayemshauri ni nani, maana hawakawii kukuita kijana wa ufipa.
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waldo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.

Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati huu tuna nguvu.

Asikudanganye mtu, hali sio hali, yani hata kama ni kwa goli la mkono, ila mtiti huu utakusumbua katk awamu yako ya pili kiasi utahisi kila mtu ni msaliti.

Kuna hali sio ya kawaida huku uraiani, yani watu wamejawa na machungu kiasi hawana pa kupumulia ila tu 28.10.2020.

Majeshi na idara za usalama hawatoweza kudhibiti hili vuguvugu na wakiweza basi watu wengi watakuwa silence jambo litazidi kuibuwa vuguvugu jingine baya zaidi, jambo litazigawa idara zako za ushauri.

Uongozi ni kuacha alama na ili ufanikiwe kubali yaishe, kaa na waliokuweka vua urais wako omba ushauri Ila kumbuka shida ipo nyingine Nani wakukupa honest feedback kwa aina ya uongoz wako mkali sana Mzee wangu hapa tafuta MTU tu akusaidie upewe honest feed back japo sijui kama utaipata Mungu akusaidie.

Pamoja umefanya yote mazuri Ila trust me umeshindwa ishi mioyoni mwa Watanzania. Embu jiulize why? Umeme umetadanza kama uyoga, maji kama yote, mahospitali kama yote, madege, reli.

Yani hakuna mahali hujagusa, umefanya mambo makubwa sana ila umeshindwa kula na kipofu, sasa kipofu kapata kipofu aliewahi kuona hapo zamani Ila baadae akawa kipofu. Amewaambia vipofu wenzake huko sio, hiyo njia sio, wamemwamini ani ni shida ukiweka Jiwe na Magi watu wanapigia Kura Jiwe. Why umesahau wakolon walitupa shanga Sisi tukawapa madini?

Ona sasa mziki huu jamaa Hana bango Hana vyombo vya habari Ila ameteka nchi kweupe.

Waite wazee wakushauri maana najuwa uchaguzi huu hautokuwa Rahisi kama tunavyodhani.
 
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waldo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.

Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati huu tuna nguvu.

Asikudanganye mtu, hali sio hali, yani hata kama ni kwa goli la mkono, ila mtiti huu utakusumbua katk awamu yako ya pili kiasi utahisi kila mtu ni msaliti.

Kuna hali sio ya kawaida huku uraiani, yani watu wamejawa na machungu kiasi hawana pa kupumulia ila tu 28.10.2020.

Majeshi na idara za usalama hawatoweza kudhibiti hili vuguvugu na wakiweza basi watu wengi watakuwa silence jambo litazidi kuibuwa vuguvugu jingine baya zaidi, jambo litazigawa idara zako za ushauri.

Uongozi ni kuacha alama na ili ufanikiwe kubali yaishe, kaa na waliokuweka vua urais wako omba ushauri Ila kumbuka shida ipo nyingine Nani wakukupa honest feedback kwa aina ya uongoz wako mkali sana Mzee wangu hapa tafuta MTU tu akusaidie upewe honest feed back japo sijui kama utaipata Mungu akusaidie.

Pamoja umefanya yote mazuri Ila trust me umeshindwa ishi mioyoni mwa Watanzania. Embu jiulize why? Umeme umetadanza kama uyoga, maji kama yote, mahospitali kama yote, madege, reli.

Yani hakuna mahali hujagusa, umefanya mambo makubwa sana ila umeshindwa kula na kipofu, sasa kipofu kapata kipofu aliewahi kuona hapo zamani Ila baadae akawa kipofu. Amewaambia vipofu wenzake huko sio, hiyo njia sio, wamemwamini ani ni shida ukiweka Jiwe na Magi watu wanapigia Kura Jiwe. Why umesahau wakolon walitupa shanga Sisi tukawapa madini?

Ona sasa mziki huu jamaa Hana bango Hana vyombo vya habari Ila ameteka nchi kweupe.

Waite wazee wakushauri maana najuwa uchaguzi huu hautokuwa Rahisi kama tunavyodhani.
Mmeshajua hamshindi siyo sasa mnataka apunguze kasi? Rais Magufuli kanyagia hapohapo hakuna kupunguza.
 
Huku mitandaoni tunapiga kelele..lkn utashangaa Magu ameshinda kwa kishindo. Watz wanafiki sana
 
Hapo hata mi nashindwaga kuelewa haya mambo nayaonaga JF tu mtaani hamna kabisa ila ukifungua JF 😂😂 utasema nchi imepinduliwa
Wengi wao ni wabeba mabox huko ugaibuni. Yaani hawa wanasaccos ya chadema ni shida!!
 
Unachoshangaa Nini Sasa
Hv mnafikiri Hapo magu kutoka moyoni kawapigoa magoti? anawapumbaza na mlivyoi wazembe mnaona anaogopaaa
Mnamjua vizuri magu nyie
USHINDI NI WA KWAKEEEE
HAKUNA WA KUMTISHA
Hapa Nina watoto watatu wamejiandikisha tunasubiru tarehe tu
Mi najua mtashinda tuu kwa kuiba kura. We umepewa mkakati gani ili uongeze kura mbali na hizo za watoto wako watatu?.
 
Back
Top Bottom