Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mioyo ya watz?[emoji1319][emoji1319]
Ukweli ni kua Mafuli yupo kwenye mioyo ya Watanzania na kuna hatari ya ku-mpiku Baba wa Taifa.
Haiwezekani kina mama waliosogezewa maji karibu wakamsaliti , wagonjwa wanahudumiwa vzr na madaktari na manesi wenye nidhamu na wanaojali leo wakasahau kua Magufuli ndie alieleta nidhsmu kazini ,mimi kwangu nitampa KURA kwa umakini na UJASIRI wake uliokomesha kabisa UJAMBAZI nchini. Hata asingejenga barabara wala reli yoyote bado anastahili HESHIMA kwa kupewa kura nyingi kwa sababu ya kusimamia AMANI , leo mabasi yanasafiri saa 24 na hskuna uporaji hata kanda ya ziwa na kule Kigoma na Tabora ilikua mabasi yanaporwa hata kama yamesindikizwa na Askari wa polisi mwenye silaha !
MAGUFULI TUPO PAMOJA ‘MITANO TENA NI LAZIMA’
Yani MTU anakutoza 18% heslib na hajakuongezea mshahara halafu umuweke moyoni????
Una akili kweli wewe
Mjinga sana