Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ongea na wazee, wakuu wa Taifa! Sioni mwisho mwema kama nabii

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Najaribu kuona hiki ulichokiandika huku mtaani lakini sioni
Kuna mtaa na mtaa, ila nilichobaini wengi bado wanaogopa kwani kuna tetesi kuwa ukiropoka wanakufix.
Tuiombee nchi uchaguzi upite kwa amani na atakaeshinda atangazwe bila kujali nyomi au chama.
 
Hakuna ugumu wowote
Woga wako tu
Sijaona was kumtetemesha Magu
Na anaishhi mioyoni mwetu
Magufuli babalaooo
Fb ccm wengi kuliko cdm
Jf cdm wengi kuliko ccm.


Hii ngoma bado mbichi.
Ngoja nikaangalie instagram
 
Na kiukweli adui mkubwa sio CCM per se adui ni magu

Wewe ndiyo umesema ukweli kabisa CCM hakijawahi kuwa chama kibaya kwa watanzania kama ilivyotokea hii awamu ya 5 ni lazima kujiuliza ni nani amesababisha chama kimechukiwa na wananchi kiasi hiki pamoja na maendeleo hayo makubwa yaliyofanyika. Kosa kubwa ni kudharau watu na shida zao
 
Mawazo ya mpumbavu nayo yaheshimiwe, wengi wanaompinga magufuli walizoea kupiga pesa. Ntakupa mfano wa Zitto Kabwela alipokuwa mwenyekiti wa ile kamati (jina kapuni) alianzisha ujenzi wa Ghorofa na alipotolewa ujenzi umesimama mpaka leo. Wote mnakumbuka alimwandama magufuli na akafikia kusema kama anataka amani basi amrudishe kwenye nafasi ya uenyekiti. Walioandika barua kuzuia Tanzania isipewe misaada ni wapinzani lakini matokeo wanamtupia lawama magufuli. Watanzania tuwe makini, wapinzani sio kwamba haajui Magu anafanya nini, lahasha, wanajua ana dhamira njema ila kutimiza majukumu yao ndio kelele hizo. Zamani bandari haikuwa ma mita za mafuta kwa hiyo mtu ndo alikuwa anaamua tu niseme zimepita lita kadhaa, huyu hawezi kumpenda Magufuli hata kidogo. Nchi kuijenga lazima pae na maumivu. Tuvumiliane.
 
Pole kwa msongo wa mawazo.
Uhalisia ni kwamba Magu amewakonga nyoyo wanyonge na amewaudhi majizi.
Hakuna mgonjwa yeyote atakaye sema ovyo kwa Magu.
Huo ndiyo uhalisia 91% wanampa kura ya ndiyo.

Hao wanaosubiri hadi walipwe na kupewa usafiri ndipo waende kwenye mikutano yake kweli kuna kitu hapo. Mi naona hata yeye ameanza kujuwa ndiyo maana hadi amepiga magoti
 
Spanner za Lissu hizo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Masikini...! Pamoja na magoti kuuma bado tu imebidi,
Mtazame mnafiki anavyojaribu kuficha uso wake kwa aibu.
Mh. Tundu Antiphas Lissu bado hana huruma, anazidi kukaza tu.


Ingawa kwa vyovyote vile dalili si nzuri ukweli bado anafichwa,
Haambiwi kina cha maji kilivyo kirefu utadhani nao wamemchoka
Labda atazinduka pale wanafiki waliomzunguka watakapoanza kutimka​
 
jiwe Tulia dawa iingie lissu anatumia sindano za farasi
 
Pole kwa msongo wa mawazo.
Uhalisia ni kwamba Magu amewakonga nyoyo wanyonge na amewaudhi majizi.
Hakuna mgonjwa yeyote atakaye sema ovyo kwa Magu.
Huo ndiyo uhalisia 91% wanampa kura ya ndiyo.
Umeshawahi kuugua au kuuguliwa kipindi hiki wewe? Muogope mungu kuwa mkweli .
 

Huo ndiyo ukweli mtupu. Umemaliza kazi. Ni juu yake kuchagua mchele au pumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…