Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ongea na wazee, wakuu wa Taifa! Sioni mwisho mwema kama nabii

Mioyo ya watz?

Yani MTU anakutoza 18% heslib na hajakuongezea mshahara halafu umuweke moyoni????

Una akili kweli wewe
Mjinga sana
 
Reactions: BAK
Na kiukweli adui mkubwa sio CCM per se adui ni magu
Rais ni Magufuli. Acha porojo zako wewe unayejiita nabii.
 
Nakumbuka kwneye nyuzi nyingi ulikuwa na msemo usemao" bila tume huru nikujisumbua kupiga kura" hii ndio ilikuwa signature yako kila comment.
Mkuu kabla ya kumsikiliza Lissu ni kweli nilijipanga kutopiga kura ila ujasiri ninaouona kwenye uso na semi za Lissu kuwa hataibiwa mtu kura nimelazimika kubadilisha maamuzi yangu na sasa nitapiga kura.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Najaribu kuona hiki ulichokiandika huku mtaani lakini sioni.
Huwezi kuona kama huna macho ya kiuchunguzi.

Ukiwa na macho ya mahaba ya kupitiliza kwa Magufuli/CCM au kwa Lisu/CHADEMA utaona ushindi ni wa wazi kabisa kwa Magufuli au kwa Lisu.

Uchaguzi ukiwa huru kabisa, kwa ujumla hakuna upande utakaoshinda kiurahisi. Iwe Magufuli au Lisu, hakuna atakayeweza kushinda kwa zaidi ya 55%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Beberu anasema: "what a contrast?"
 
HAKUNA WAZEE WA KUMSHAURI ALISHAWATUKANA WAZEE WA BUSARA KUWA WANAWASHWA WASHWA WAKAE KIMYA WASIMUINGILIE KWENYE UFALME WAKE!!!
Dah! Mtu mzima na heshima zake kumshushua namna hii kwenye kadamnasi? Na huyo ni raisi mstaafu? JPM ni ngazi ingine.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]kazi na bata.

bata anachezea zake maji huko.
 
Mwakani muda kama huu thread za aina hii zitakuwa zimekwisha na watu wanaendelea kulijengaTaifa lao kwa furaha na amani tele.
 
Njia nzuri sana ya ku-deal na hali kama hiyo ni kuachia tu mambo yajiendee yenyewe ili mradi hakuna anayevunja sheria. Kikwete alitumia mbinu hiyo wakati wa sakata la EPA. Mbinu hiyo pia inaweza kutumika kipindi hiki cha uchaguzi, acha wapige kelele mpaka wachoke, huna sababu ya kuogopa kwa sababu ukweli unafahamika na wananchi. Polepole wakati mwingine anakosea kuitisha press conference kila mara na kutukana......
 
Mpira dakika tisini, tusubiri matokeo, ila refa akipendelea timu moja atafute nchi ya kuhamia
 
Kama wewe una takwimu, hayo maswali muhimu uliouliza ungeyatolea majibu bado.
 
Hakuna ugumu wowote
Woga wako tu
Sijaona was kumtetemesha Magu
Na anaishhi mioyoni mwetu
Magufuli babalaooo
Hahahaa,, kama nakuona unavyojitutumua kuandika unafiki huku nafsi yako inakusuta!
Eti anaishi mioyoni mwenu??!!
 
Hakuna ugumu wowote
Woga wako tu
Sijaona was kumtetemesha Magu
Na anaishhi mioyoni mwetu
Magufuli babalaooo
Soma hii paragraph kwa utulivu bila mhemko wa kisiasa labda utamuelewa mleta mada "Nani wakukupa honest feedback kwa aina ya uongozi wako mkali sana Mzee wangu hapa tafuta MTU tu akusaidie upewe honest feed back japo sijui kama utaipata Mungu akusaidie. " Nyie ndio mnamdanganya mzee wa watu kuwa mambo ni shwari hadi anafikia kupigia watoto wa shule magoti wakati anajua hawapigi kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…