Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ongea na wazee, wakuu wa Taifa! Sioni mwisho mwema kama nabii

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ongea na wazee, wakuu wa Taifa! Sioni mwisho mwema kama nabii

Hakuna ugumu wowote
Woga wako tu
Sijaona was kumtetemesha Magu
Na anaishhi mioyoni mwetu
Magufuli babalaooo
JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
 
Lowasa hawezi kumfikia Lissu hata kidogo. LOWASA ALIKUWA NA SERA GANI?
leo kila mbinu ya wizi inabumbuluka kabla ya kuanza.

Lissu ametujengea ujasiri ambao hakuna mtu yeyote aliwahi tokea.

Lissu ametuonesha jinsi ilivyongumu kuhinda uchaguzi huu tofauti na Lowasa anatwambia tukapige kura mengine tumwachie....kumbe mzee mnafiki amekula dili na jpm

Hii haitatokea mwaka huu. Pili roho mbaya na uchawi wa magu unamuandama na mikosi, nuksi....nk
Njia ipi mkuu ya wizi wa kula imebumbuluka, taja moja tu. Mbili nakuendelea nitakutesa.
 
A

Ungekunywa Kvanta Na Maandazi ungerudia ufahamu wako huku uraiani tuko Powa sisi Vijana tunaojituma. Nyie BAVICHA MNAEMSUBILIA LISSU AWE RAIS AWAJAZE MAHELA AU ABADILI MAISHA MTANGOJA SANA

MAGUFULI 5 TENA
Ongera ila sisi kura zetu kwa LISSU.
 
Mawazo ya mpumbavu nayo yaheshimiwe, wengi wanaompinga magufuli walizoea kupiga pesa. Ntakupa mfano wa Zitto Kabwela alipokuwa mwenyekiti wa ile kamati (jina kapuni) alianzisha ujenzi wa Ghorofa na alipotolewa ujenzi umesimama mpaka leo. Wote mnakumbuka alimwandama magufuli na akafikia kusema kama anataka amani basi amrudishe kwenye nafasi ya uenyekiti. Walioandika barua kuzuia Tanzania isipewe misaada ni wapinzani lakini matokeo wanamtupia lawama magufuli. Watanzania tuwe makini, wapinzani sio kwamba haajui Magu anafanya nini, lahasha, wanajua ana dhamira njema ila kutimiza majukumu yao ndio kelele hizo. Zamani bandari haikuwa ma mita za mafuta kwa hiyo mtu ndo alikuwa anaamua tu niseme zimepita lita kadhaa, huyu hawezi kumpenda Magufuli hata kidogo. Nchi kuijenga lazima pae na maumivu. Tuvumiliane.
Pambana kuokoa jahazi Mr hali mbaya.


JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
 
Yaani kitakachomtokea Meko kwenye uchaguzi huu, hatakaa aamini.
Ushindi mdogo wa asilimia 40! na zile sitini vyama vingine vinagawana kati ya asilimia 0 hadi 30!! Bila umoja chichiem bado wapo sana!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Najaribu kuona hiki ulichokiandika huku mtaani lakini sioni.
Huwezi kukiona si kula kulala wewe ila tunaotaabika huku mpanda mlowoka ndio tunajua hali halisi jidanganyeni tu
 
Pole kwa msongo wa mawazo.
Uhalisia ni kwamba Magu amewakonga nyoyo wanyonge na amewaudhi majizi.
Hakuna mgonjwa yeyote atakaye sema ovyo kwa Magu.
Huo ndiyo uhalisia 91% wanampa kura ya ndiyo.
Sawa mkuu.
 
Mi mwenyewe huwa nashangaa nikifungua JF unaweza sema ni kweli ila nasomaga tu sisemi chochote ila kura ni Magu maana humu kumejaa majizi na makwepa kodi yameficha tu Id zao ila ni majizi menyewe au baba zao yanachuki kama zote.
Washakwambia kura zao zitaibiwa😂 maisha ndani ya Jf daah
 
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waleo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.

Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati huu tuna nguvu.

Asikudanganye mtu, hali sio hali, yani hata kama ni kwa goli la mkono, ila mtiti huu utakusumbua katk awamu yako ya pili kiasi utahisi kila mtu ni msaliti.

Kuna hali sio ya kawaida huku uraiani, yani watu wamejawa na machungu kiasi hawana pa kupumulia ila tu 28.10.2020.

Majeshi na idara za usalama hawatoweza kudhibiti hili vuguvugu na wakiweza basi watu wengi watakuwa silence jambo litazidi kuibuwa vuguvugu jingine baya zaidi, jambo litazigawa idara zako za ushauri.

Uongozi ni kuacha alama na ili ufanikiwe kubali yaishe, kaa na waliokuweka vua urais wako omba ushauri Ila kumbuka shida ipo nyingine Nani wakukupa honest feedback kwa aina ya uongoz wako mkali sana Mzee wangu hapa tafuta MTU tu akusaidie upewe honest feed back japo sijui kama utaipata Mungu akusaidie.

Pamoja umefanya yote mazuri Ila trust me umeshindwa ishi mioyoni mwa Watanzania. Embu jiulize why? Umeme umetadanza kama uyoga, maji kama yote, mahospitali kama yote, madege, reli.

Yani hakuna mahali hujagusa, umefanya mambo makubwa sana ila umeshindwa kula na kipofu, sasa kipofu kapata kipofu aliewahi kuona hapo zamani Ila baadae akawa kipofu. Amewaambia vipofu wenzake huko sio, hiyo njia sio, wamemwamini ani ni shida ukiweka Jiwe na Magi watu wanapigia Kura Jiwe. Why umesahau wakolon walitupa shanga Sisi tukawapa madini?

Ona sasa mziki huu jamaa Hana bango Hana vyombo vya habari Ila ameteka nchi kweupe.

Waite wazee wakushauri maana najuwa uchaguzi huu hautokuwa Rahisi kama tunavyodhani.
Uwe unaambatanisha na picha unapomtaja jpm

DJI_0010.JPG
 
hata watu waliokacha kupiga kura,ghafla wameibuka wanataka kupiga kura,kuchinja mtu
 
Yale madai ya tume huru yamayeyuka,mkipigwa chini msianze kulilia tume tena
Watu wachache hawa wezi kusumbua taifa.liwalo na liwee. Screenshoot i text kwa ukumbusho

SUBIRI KIDOGO
 
Back
Top Bottom