Dkt. Magufuli, Rais Bora Afrika kwa mwaka 2019

1. Physiological needs - these are biological requirements for human survival, e.g. air, food, drink, shelter, clothing, warmth, sex, sleep.

If these needs are not satisfied the human body cannot function optimally. Maslow considered physiological needs the most important as all the other needs become secondary until these needs are met.

Mimi pia nakubaliana nae, bila haya mahitaji mtu kujapata ni Kazi bure
Ili uwe raisi bora hakikisha Kwanza wananchi wako wanayapata haya mahitaji kwa angalau asilimia 60.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani anaongoza Afrika yote? Na huo ulinganisho ulifanya kwa maraisi wote na waliyofanya kwenye mataifa yao ama ni mahaba yako binafsi yamekusukuma kunena kwa lugha?
 
Tupo pamoja
 
Mkuu nakuongezea tu machache uliyo yasahau
1.Ameongeza ukuaji wa uchumi kutoka 7% kwa mwaka hadi 4%
2.Ameongeza USD 100.00kwenye GNI kwa five years
3.Ameongeza idadi ya masikini wa nchi hii
4.Amepeperusha ujenzi wa barabara ya njia 6 Ubungo Chalinze
5.Ameharibu mahusiono Kati ya nchi yetu na wadau wa maendeleo
6.Ameipoteza nchi yetu kutoka kwenye nafasi yake kidipolomasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…