Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hakuna mfanyakazi atakaa achague huyu dhalimu. Anajidanganya tu.
Si alijifanya kuwafokea! Leo maji yamemfika shingoni ndo anaanza kutapatapa. Ameshachelewa yaani.
Zirudishwe kwa wananchi maana ni mali za kitapeli tapeliYeye kajenga ofisi ngapi za chama. Siku CCM wakitoka, majengo Yao na Mali zao nyingi itabidi zirudi serikalini walikozitoa. Serikali ya CCM imewaazima tu.
Hiyo kitu haiko kwenye Ilani ya chama kama zile million 50 za Kila kijiji na laptop kwa Kila mwalimu. Pesa iliyopo iko commited kwenye miradi mikubwa. Hivyo wa kubanwa ni wafanyakazi. Akiongeza mishahara tunakwama SGR.Watumishi wengi wamejaa madeni na hofu isiyokuwa na maana, weka pembeni huyu mwenyekiburi chagua Lissu
Sawa wamedhibiti mfumuko wa bei ya sukari kutoka 1,800/= mwaka 2015 mpaka 3,000/= mwaka 2020!Na ndio mnachokifanya hiki kupiga propoganda zilizojaa uzushi ili kuyumbisha msimamo wa Rais. Na akiyumba mnapata nafasi ya kumboa zaidi.
Huwezi kuficha ukweli kwamba moja ya vitu ambavyo JPM na serikali yacawamu ya 5bwamefanikiwa ni kudhibiti mfumuko wa bei. Isingesaidia saba kuongeza mishahara tena wakati mwengie kwa 20,000/- mpaka50,000/-.
Na matokeo ya kuongeza mshahara ya lete mfumuko wa bei unaokula ongezeko la matumizi ya mshahara jati ya 60,000/- mpaka 120,000/- Huu utakuwa ulaghai kwa wafanyakazi.
SijakuelewaHiyo kitu hsiko kwenye Irani kama zile million 50 za Kila kijiji na laptop kwa Kila mwalimu. Pesa ikiyopo iko commited kwenye miradi mikubwa.... Hivyo wa kubanwa ni wafanyakazi. Akiongeza mishahara tunakwama SGR.
Huyu ni wakuweka pembeni tumemchoka snSawa wamedhibiti mfumuko wa bei ya sukari kutoka 1,800/= mwaka 2015 mpaka 3,000/= mwaka 2020!
Marais wote waliomtangulia waliongeza mishahara walau kidogo na hii iliwasaidia sana waliokuwa wanastaafu.
Siwezi kuongeza mshahara wakati sijamaliza miradi yangu mikubwa ya miundombinu. Kwa hiyo sasa hivi watumishi wasahau nyongeza ya mishahara sasa hivi!Amesema hauwezi kuongeza mishahara wakati hauna hela ya kuongeza mishahara. Aidha amesema hao wanasema kuhusu kuongeza mishahara hawajawahi kutawala.
Wewe unatolea mfano sukari ambayo biashara yake inaendeshwa na genge la mafisadi waliojichimbia mizizi ya mbuyu ndani ya mifumo ya uendeshaji wa serikali. Toa mfano wa unga wa sembe tuone.Sawa wamedhibiti mfumuko wa bei ya sukari kutoka 1,800/= mwaka 2015 mpaka 3,000/= mwaka 2020!
Marais wote waliomtangulia waliongeza mishahara walau kidogo na hii iliwasaidia sana waliokuwa wanastaafu.