DENLSON
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 949
- 1,260
Mfumuko upi wa bei aliodhibiti? Wakati anaingia Sukari ilikuwa bei gani na sasa ni bei gani? 2015 bei ya unga, sukari, mabati, cement, sabuni, madaftari ilikuwa bei gani na leo ni bei gani?Na ndio mnachokifanya hiki kupiga propoganda zilizojaa uzushi ili kuyumbisha msimamo wa Rais. Na akiyumba mnapata nafasi ya kumboa zaidi.
Huwezi kuficha ukweli kwamba moja ya vitu ambavyo JPM na serikali yacawamu ya 5bwamefanikiwa ni kudhibiti mfumuko wa bei. Isingesaidia saba kuongeza mishahara tena wakati mwengie kwa 20,000/- mpaka50,000/-.
Na matokeo ya kuongeza mshahara ya lete mfumuko wa bei unaokula ongezeko la matumizi ya mshahara jati ya 60,000/- mpaka 120,000/- Huu utakuwa ulaghai kwa wafanyakazi.
Alichofanya ni kuwaumiza wakulima kwa kuwanyima soko hirai ili wasiweze kuuza mazao yao kwenye soko la nje. Kifupi uongo wa kudhibiti mfumuko wa bei haiwezi kufanikiwa? Kama kuna watu wameumia awamu hii ni wakulima. Yaani unasema umedhibiti mfumuko wa bei kwa expenses za wakulima?