Mkubwa ndevu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,045
- 358
Na haujashuka piaUmeme tangu aingie madarakani haujapanda hsaa senti moja, ulisikia mgao ukiongezeka na wahindi kuagiza majenereta ya kutulangua? Wenye biashara za sukari na cement si cartel practice hiyo needs a longrun plan and solution.
Ule mradi wa umeme tegeta wa wahuni, matapeli na wezi ulishausikia?
Nimejiajiri mie siyo mtumwa kama weweSidhani hata kama umeajiliwa wewe
Kijana we una matatizo sana,hivi mangap Raisi Magufuli ameyafanya kuhusu wafanya kazi.Hakuna mfanyakazi atakaa achague huyu dhalimu. Anajidanganya tu.
Si alijifanya kuwafokea! Leo maji yamemfika shingoni ndo anaanza kutapatapa. Ameshachelewa yaani.
Muongo anatuhadaaMgombeawa Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania...
Magufuli ndio kila kitu kwetu vijana,,lakini pia kwa watanzania woteWafanyakazi na vijana wa Tanzania mjiandae neema inakuja JPM akiahidi anatimiza.
October 28th twendeni tukamchague Magufuli kwa kura nyingi sana
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
HIvi wewe Una akili kweli?Sawa wamedhibiti mfumuko wa bei ya sukari kutoka 1,800/= mwaka 2015 mpaka 3,000/= mwaka 2020!
Marais wote waliomtangulia waliongeza mishahara walau kidogo na hii iliwasaidia sana waliokuwa wanastaafu.
Sasa wewe punda tuu unapangaje siku ya mchungaji wako kupeleka zizini??Wafanyakzi hawadanganyiki. Ameshindwa kutoa kauli hiyo siku ya mei Mosi aje atoe leo hii tena kwenye kampeni baada ya spana za Lissu
Acha umbulula kwani 2015 pia si aliahidi na baadae akaanza kutufomea.Wafanyakazi na vijana wa Tanzania mjiandae neema inakuja JPM akiahidi anatimiza.
October 28th twendeni tukamchague Magufuli kwa kura nyingi sana
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Habari ya asubuhi Mbulula Mkuu.Acha umbulula kwani 2015 pia si aliahidi na baadae akaanza kutufomea.
🤣🤣🤣HIvi wewe Una akili kweli?
Kwakweli amejitahidi sana kujenga nchi amechoka na sasa watanzania tunampa nafasi akapumzikeMgombeawa Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania...
Mpe, Sisi hatukupata hivyo hatumpi.Mkuu ulipata Incliment? Au unamaanisha Increment?
Kama ni increment katika awamu hii kwa walio watumishi wengi wa umma hiajafanyika kwa ufasaha kama mikataba yao ya kazi inavyoelekeza.
Kachelewa tumetawaliwa km mifugoMgombeawa Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania.
Amesema kwa miaka mitano aliyoongoza ameweza kufanya nchi ifike uchumi wa kati wa chini na hivyo kwa miaka mitano inayofuata ataanza kuboresha maslahi ya wafanyakazi.
Amesema hauwezi kuongeza mishahara wakati hauna hela ya kuongeza mishahara. Aidha amesema hao wanasema kuhusu kuongeza mishahara hawajawahi kutawala.
Amesema wengine vyama vyao wameshindwa hata kujenga ofisi za vyama vyao. Amesema kuzungumza ni rahisi kuliko vitendo.
Mgombeawa Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania.
Amesema kwa miaka mitano aliyoongoza ameweza kufanya nchi ifike uchumi wa kati wa chini na hivyo kwa miaka mitano inayofuata ataanza kuboresha maslahi ya wafanyakazi.
Amesema hauwezi kuongeza mishahara wakati hauna hela ya kuongeza mishahara. Aidha amesema hao wanasema kuhusu kuongeza mishahara hawajawahi kutawala.
Amesema wengine vyama vyao wameshindwa hata kujenga ofisi za vyama vyao. Amesema kuzungumza ni rahisi kuliko vitendo.
1.5 Trillioni?.Ameshatoa majibu zilipo?Hata uongeeje jomba Magufuli wananchi wameshafanya maamuzi wanakwenda kimsimika ikulu..no matter what...unapoteza muda wako bure nikwambie...rudini tena 2030 Kama mtakuwa Bado mpo salama..waambieni mabwana zenu huku watanzania wamekomaa..hawana mchezo