Uchaguzi 2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

Uchaguzi 2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

Sukari 3000
Cement 22000

Umeme tangu aingie madarakani haujapanda hsaa senti moja, ulisikia mgao ukiongezeka na wahindi kuagiza majenereta ya kutulangua? Wenye biashara za sukari na cement si cartel practice hiyo needs a longrun plan and solution.

Ule mradi wa umeme tegeta wa wahuni, matapeli na wezi ulishausikia?
 
Dr JPM kwenye kampeni zake Korogwe aliahidi kushughulikia maslahi na mishahara mara tu baada ya uchaguzi naomba watumishi wote tumuamini kwa vile ninavyomfahamu Rais wetu akiahidi hutekeleza.

Bahati nzuri ametoa sababu za kutopandisha mishahara kwa kipindi hicho kutokana na miradi ya kimikakati iliyokuwepo na inayoendelea ambayo inachukua fedha nyingi na ilihitaji kuweka msingi wa ujenzi wake.

Hata hivyo serikali ilikwisha punguza kodi ya PAYE na kuongeza take home kwa watumishi ambayo ni hatua nzuri yenye utashi wa kisiasa. Hivyo watumishi tupunguze hasira na visasi tumpigie kura Kiongozi wetu na Mkuu wa utumishi wa umma tarehe 28.10.2020.
 
Malimbikizo ya stahiki zao haya kuwa statuory yalikuwa ni kwa hisani tu? Mlifanya nini kuhusu hili?
Umesoma na kuelewa nilichoandika? Na unaelewa kweli tunachojadili hapa?

Kumbuka niliandika kujibu hoja yako..

Nakuuliza tena;

Unaelewa maana maana ya "statutory annual salary increment?"

Unaelewa neno "statutory" kisheria lina maana gani?

Sasa wewe unauliza mambo ya malimbikizo ya mishahara kulipwa...

Kwani hayo yana uhusiano gani na nyongeza ya mshahara ya kisheria ya kila mwaka kwa kila mtumishi kulingana na kiwango chake cha mshahara?

Annual Salary increment ni "statutory" kwa kila mtumishi kila mwaka na kamwe siyo "option" kwamba mwajiri anataka ama hataki..

Kwa nini Magufuli na CCM yake walizuia hata hii?

Kwa nini hawashemu sheria za utumishi za nchi hii?

Watamheshimu nani hawa kama sheria walizoapa kuzilinda wanazikanyaga kanyaga chini?

Walipeleka wapi fedha hizi za watumishi ambazo miaka yote hutengwa katika bajeti ya kila mwaka wa fedha?
 
Rais wetu hataki vitu vya kupangiwa ataongeza mshahara 2027! yeye ni rais anayejiamini sana tofauti na waliomtangulia!
. Pesa za kununua ndege ili zije zipaki zipo.
. Za maendeleo ya vitu zipo
. Za kununua wapinzani zipo
. Za kuishughulikia upinzani zipo

Ila zinazohusu
. Nyongeza za mishahara hamna
. Kulipa wastaafu hamna
. Semina elekezi ili wasipatikane kina Sabaya, Hapi, Bashite -- hamna!
 
Na ndio mnachokifanya hiki kupiga propoganda zilizojaa uzushi ili kuyumbisha msimamo wa Rais. Na akiyumba mnapata nafasi ya kumboa zaidi.

Huwezi kuficha ukweli kwamba moja ya vitu ambavyo JPM na serikali yacawamu ya 5bwamefanikiwa ni kudhibiti mfumuko wa bei. Isingesaidia saba kuongeza mishahara tena wakati mwengie kwa 20,000/- mpaka50,000/-.

Na matokeo ya kuongeza mshahara ya lete mfumuko wa bei unaokula ongezeko la matumizi ya mshahara jati ya 60,000/- mpaka 120,000/- Huu utakuwa ulaghai kwa wafanyakazi.
Tuambie sukar alikuuta mungapi na leo iko mungapi?



Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Lissu hazungumzii Sukari, Mafuta, Cement, Nondo, Bati etc. Mfumuko Ni mkubwa sana.

Ni Lissu tu hakuna namna.
 
Huyo bwanako kakabwa koo atashaa
Hata uongeeje jomba Magufuli wananchi wameshafanya maamuzi wanakwenda kimsimika ikulu..no matter what...unapoteza muda wako bure nikwambie...rudini tena 2030 Kama mtakuwa Bado mpo salama..waambieni mabwana zenu huku watanzania wamekomaa..hawana mchezo
 
Wewe unatolea mfano sukari ambayo biashara yake inaendeshwa na genge la mafisadi waliojichimbia mizizi ya mbuyu ndani ya mifumo ya uendeshaji wa serikali. Toa mfano wa unga wa sembe tuone.
Hayo ni mtambo lisu umemkalia kichwani wafanyakazi ikitokea hivyo mjuwe bila lisu ilikuwa hanampango huo
Kwani miradi yake imekwisha mnyoosheni iwefundisho kwa marais wajao angepata mpinzani legelege walaasinge wajali
Hili linakuja nibao kama m 50 kila kijiji muwe macho alishajuwa watz hatakama wamesoma kuwadanganya nirahisi anajidai etiyeye huwa hatoi ahadi hewa tumuulize m50 zikowapi kila kijiji?
 
Wewe unatolea mfano sukari ambayo biashara yake inaendeshwa na genge la mafisadi waliojichimbia mizizi ya mbuyu ndani ya mifumo ya uendeshaji wa serikali. Toa mfano wa unga wa sembe tuone.
Mkuu unahangaika na jitu linaloishi kwa shemeji yake litsjua saa ngapi kama kuna bidhaa zingine hazikamatiki? Saruji mikoani haishikiki leo jitu linakuja kupiga filimbi eti watu wasiongezwe mishahara ili kudhibiti mfumuko wa bei? Hebu libaki huko linasikilizia dadake akigugumia!
 
Huyu Mzee laghai na muongo wa kutupwa jalalani, haaminiki 2015 alisema hivyohivyo alipoingia madarakani kabadilika bila kupepesa macho, katili Sana!

Maslahi ya wafanyakazi ni masuala ya kisheria na si hiyari ya Raisi, aache upumbavu!

Hakuna nanna ni wa kupingwa chini tu huyu.
Mzee huyu sidhani kama ana akili timamu!
 
Madaraja tu kupandisha wafanyakazi yamemshinda, Sembuse kupandisha mishahara.jpm kwa upande wa haki za watu sifuri
 
Mimi Mtumishi wa Umma, nipata salary incliment 98,000/=, Mwaka 2016, salary incliment 102000 Mwaka 2017 up to date naendelea kupata.
Ubora wake Kiuchumi wa Mtumishi: Haijaongeza Mfumuko wa Bei, tofauti na zamani ukiongezewa 15,000 na bei ya kila bidhaa inapanda. Naamini mmenielewa JPM anaakili kuliko kikosi chote cha Mihemko Forum
Haahaa kawadanganye vilaza huko, klabda unafanya kazi kwa jpm
 
Mgombeawa Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania.

Amesema kwa miaka mitano aliyoongoza ameweza kufanya nchi ifike uchumi wa kati wa chini na hivyo kwa miaka mitano inayofuata ataanza kuboresha maslahi ya wafanyakazi.

Amesema hauwezi kuongeza mishahara wakati hauna hela ya kuongeza mishahara. Aidha amesema hao wanasema kuhusu kuongeza mishahara hawajawahi kutawala.

Amesema wengine vyama vyao wameshindwa hata kujenga ofisi za vyama vyao. Amesema kuzungumza ni rahisi kuliko vitendo.
Hakuna mtumishi wa umma hata mmoja atakayempa kura huyu dhalimu.
Screenshot_20201020-105251.jpg
 
Dr JPM kwenye kampeni zake Korogwe aliahidi kushughulikia maslahi na mishahara mara tu baada ya uchaguzi naomba watumishi wote tumuamini kwa vile ninavyomfahamu Rais wetu akiahidi hutekeleza.

Bahati nzuri ametoa sababu za kutopandisha mishahara kwa kipindi hicho kutokana na miradi ya kimikakati iliyokuwepo na inayoendelea ambayo inachukua fedha nyingi na ilihitaji kuweka msingi wa ujenzi wake.

Hata hivyo serikali ilikwisha punguza kodi ya PAYE na kuongeza take home kwa watumishi ambayo ni hatua nzuri yenye utashi wa kisiasa. Hivyo watumishi tupunguze hasira na visasi tumpigie kura Kiongozi wetu na Mkuu wa utumishi wa umma tarehe 28.10.2020.
Haa mwaka 2015 alisema zaidi ya hayo...tapeli huyo
 
Hakuna mfanyakazi atakaa achague huyu dhalimu. Anajidanganya tu.

Si alijifanya kuwafokea! Leo maji yamemfika shingoni ndo anaanza kutapatapa. Ameshachelewa yaani.
Mimi mfanyakazi na nitamchagua. Wewe vipi wewe unatusemea
 
Afya na uhai ni zawadi toka kwa Mungu usidhihaki watu ukiwa mzima. Pana mgombea alidhihaki Sana mwenzake Hadi kuduriki kupiga push up Kama dhihaka, nae leo bila kupepewa bila rejeta injini inaungua
 
Back
Top Bottom