Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua mila na desturi zao? JPM akitaka kuinua maisha ya Watanzania walioachwa nyuma na mfumo. Ndio kelele haziishi oooh kajenga uwanja kwao, ooh sijui kahamisha wanyama kufufua mbuga zilizofujwa na uwindaji haramu.
Uwanja wa ndege wa Chato umekuwa ndio moja ya agenda kuu ya genge la maadui wa Taifa la Tanzania. Uwanja ule ni fursa ya kuinua utalii kanda ya ziwa. Ila hamuoni hivyo unataka utalii ufanyike kwenye mapango ya ambani tu. Watanzania wengine kwenye maeneo yao hawana haki hiyo.
Tanzania haijawahi kupata Raisi kigeugeu kama miongo hii matano
Unajenga uwanja wa mabilioni ya fedha huku watu wa hilo eneo miaka yote hawana maji si upumbavu huo.
Mfanyakazi kumchagua jiwe ni sawa na kumkopesha tena mtu anaemdaiHakuna mfanyakazi atakaa achague huyu dhalimu. Anajidanganya tu.
Si alijifanya kuwafokea! Leo maji yamemfika shingoni ndo anaanza kutapatapa. Ameshachelewa yaani.
Mbona sukari hadi leo haijapungua bei?Na ndio mnachokifanya hiki kupiga propoganda zilizojaa uzushi ili kuyumbisha msimamo wa Rais. Na akiyumba mnapata nafasi ya kumboa zaidi.
Huwezi kuficha ukweli kwamba moja ya vitu ambavyo JPM na serikali yacawamu ya 5bwamefanikiwa ni kudhibiti mfumuko wa bei. Isingesaidia saba kuongeza mishahara tena wakati mwengie kwa 20,000/- mpaka50,000/-.
Na matokeo ya kuongeza mshahara ya lete mfumuko wa bei unaokula ongezeko la matumizi ya mshahara jati ya 60,000/- mpaka 120,000/- Huu utakuwa ulaghai kwa wafanyakazi.
Watumishi wengi wamejaa madeni na hofu isiyokuwa na maana, weka pembeni huyu mwenyekiburi chagua Lissu
magufuli mitano tenaApigwe chini huyu katili, wafanyakazi na wakulima kwa pamoja tumkatae mzee meko
Magufuli mitano tenaIla huyu mheshimiwa Mungu amjalie tu.
Watumishi wa umma walikua wanapanda daraja kila baada ya miaka mitatu,akatengua na kupeleka mitano lkn hata hiyo mitano watumishi wengi hawajafanikiwa kupanda, aliyemwachia kiti alikua anaongeza walau 40,000/= hadi 80,000/= kwa mwaka,yeye hakufanya na kusema yeye anaona Stiglers gorge ni ya maana kuliko mishahara kupanda.
Mwenzake alisema sio kwamba hakujua kwamba kuna watumishi wenye vyeti feki ila waliona wabane mfumo wa kutoa vyeti na kukagua vyeti feki wakati wa kuajiriwa na tatizo litajimaliza maana hakuna wapya watakaoingia kwenye ajira. Yeye akawatumbua onspot,watu wamepoteza uhai,baadhi ya familia zinaishi maisha magumu sana.
Leo unataka hawa watu ndio wakupigie kura kweli? Basi bwana Mungu mwenyewe ndio anajua.
kmkm
😀🤣😂😂😂 Onen nae hyu tenaWafanyakazi na vijana wa Tanzania mjiandae neema inakuja JPM akiahidi anatimiza.
October 28th twendeni tukamchague Magufuli kwa kura nyingi sana
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Mimi SWEETTABLET ambaye ni Mtumishi wa Serikali ya nchi hii nitamchagua Rais Magufuli Oktoba 28!Mfanyakazi atakae mchangua huyu katili atakuwa na laana siyo bure
Huyu kweli aongeze mishahara!! Atanunua ndege nyingine 5 kwa pesa taslim." Mimi sipangiwi na Inategemea siku hiyo nimeamkaje"