Uchaguzi 2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

Uchaguzi 2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

kumbe alikuwa hajali maslah yao eeh
bora amesema mwenyewe na wala sio TL...ametutesa sana lazima tumuadhibu 28/10!.
 
Wafanyakazi wana mambo mengi wanayoona hayakua sawa....ukiacha tu mishahara na kuna tatizo la kutokupandishwa Madaraja wala vyeo kwa muda.
 
Wafanyakazi wameahidi hawatawaangusha Watanzania.... say No to JPM
 
Hakuna mfanyakazi atakaa achague huyu dhalimu. Anajidanganya tu.

Si alijifanya kuwafokea! Leo maji yamemfika shingoni ndo anaanza kutapatapa. Ameshachelewa yaani.
Sema sitakaa mana wengine tuna ona safi mana hata makazin wengine kwa sasa tuna furahi kuheshimiana kumeongezeka hakuna manyanyaso mshahara una toka kwa wakati tofauti na miaka ya nyuma PAYE imepungua
Bima ya afy siku izi tuna hudumiwa vizuri tofauti na zamani wanufaika wetu walikua hawapati huduma vzuri now wanapata as kama ni wao walo ajiriwa
 
Mgombeawa Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania.

Amesema kwa miaka mitano aliyoongoza ameweza kufanya nchi ifike uchumi wa kati wa chini na hivyo kwa miaka mitano inayofuata ataanza kuboresha maslahi ya wafanyakazi.

Amesema hauwezi kuongeza mishahara wakati hauna hela ya kuongeza mishahara. Aidha amesema hao wanasema kuhusu kuongeza mishahara hawajawahi kutawala.

Amesema wengine vyama vyao wameshindwa hata kujenga ofisi za vyama vyao. Amesema kuzungumza ni rahisi kuliko vitendo.
Kumbe yeye ndo anaamua wakati gani pongezi maslahi ya watumishi ok na sisi ndo tumeamua Home you go bwana mzee kajiuguze vzr
 
Hakuna mfanyakazi atakaa achague huyu dhalimu. Anajidanganya tu.

Si alijifanya kuwafokea! Leo maji yamemfika shingoni ndo anaanza kutapatapa. Ameshachelewa yaani.
Eti anadhani tutadanganyika after all these 5 years yakutukemea na kutuzodoa. Naikumbuka ile kauri aliyoitoa siku ya wafanyakazi kama si 2016 basi 2017 iliyotufanya tunyong'onyee siku na miaka yote hii.
Aendelee kuangalia miradi yake anayotumia kupigia pesa na kuhifadhi nje.
 
Mgombeawa Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania.

Amesema kwa miaka mitano aliyoongoza ameweza kufanya nchi ifike uchumi wa kati wa chini na hivyo kwa miaka mitano inayofuata ataanza kuboresha maslahi ya wafanyakazi.

Amesema hauwezi kuongeza mishahara wakati hauna hela ya kuongeza mishahara. Aidha amesema hao wanasema kuhusu kuongeza mishahara hawajawahi kutawala.

Amesema wengine vyama vyao wameshindwa hata kujenga ofisi za vyama vyao. Amesema kuzungumza ni rahisi kuliko vitendo.
Anakumbuka blanket asubuhi.? Tar 28 saa tatu asubuhi, bila makosa
 
Dr JPM kwenye kampeni zake Korogwe aliahidi kushughulikia maslahi na mishahara mara tu baada ya uchaguzi naomba watumishi wote tumuamini kwa vile ninavyomfahamu Rais wetu akiahidi hutekeleza.

Bahati nzuri ametoa sababu za kutopandisha mishahara kwa kipindi hicho kutokana na miradi ya kimikakati iliyokuwepo na inayoendelea ambayo inachukua fedha nyingi na ilihitaji kuweka msingi wa ujenzi wake.

Hata hivyo serikali ilikwisha punguza kodi ya PAYE na kuongeza take home kwa watumishi ambayo ni hatua nzuri yenye utashi wa kisiasa. Hivyo watumishi tupunguze hasira na visasi tumpigie kura Kiongozi wetu na Mkuu wa utumishi wa umma tarehe 28.10.2020.
Kumbe Jiwe anawaona wafanyakazi ni mafala! makhanisi?
 
Hakuna mfanyakazi atakaa achague huyu dhalimu. Anajidanganya tu.

Si alijifanya kuwafokea! Leo maji yamemfika shingoni ndo anaanza kutapatapa. Ameshachelewa yaani.
Hahahah...Tatizo watu wakiwa hawana kazi ni humble sana wakipata wanataka kuwin maisha kwa siku moja badala na wao kuwa sehemu ya kuleta maendeleo makubwa....Waaache kazi basi!
 
Wafanyakazi wanaolilia madaraja ndo hawafanyi kazi ,wategeaji walizoea rushwa na janja janja....Wazalendo tunaendelea kuchapa kazi Mafanikio ni hatua
uzalendo wa kijinga ni Ukhanisi!
 
Ameshindwa kuwa dhibiti nani kasema? Unajua Longrun plan na solution ya sukari Tanzania? Kaeni chonjo biashara ya kuagiza sukari Brazil na kwengineko mkichanganya miraa inaenda kufa kifo cha jumla. Tanzania itauza sukari nje kama ilivyo kwa dhahabu na korosho.

Mashamba na viwanda vipya vikianza kutema miwa na sukari bei ya kilo ya sukari itakuwa kama ya kijoti cha Bakhresa.
Maelezo yako yanajipinga.Mara mafisadi,mara ameshindwa kuwadhibiti nani kasema?.Hueleweki
 
Hahahah...Tatizo watu wakiwa hawana kazi ni humble sana wakipata wanataka kuwin maisha kwa siku moja badala na wao kuwa sehemu ya kuleta maendeleo makubwa....Waaache kazi basi!
Sema mimi lakini usisemee watu jidanganye hivyo hivyo, Maji gani yalomfika shingoni mbona sijaona mimi.
Wa Tanzania werevu na wenye akili watamchagua magufuli, ulitaka akope pesa nnje alafu aje kulipa watu mishahara.
Mipango ni mikakati ya mda mrefu, Swala la kuongeza mishahara linakuja akimaliza mambo mengne ya kujenga nchi.

Alafu inawezekana wewe sio mfanyakazi unaongea tu sasa ngoja nikueleze Magufuli amewafanyia nini watumishi wa umma kwa miaka mitano.

Serikali ya Awamu ya Tano tangu iingie madarakani mwezi Novemba, 2015 imekuwa ikichukua hatua mbalimbali zinazolenga kuboresha maslahi ya watumishi wa umma na Sekta Binafsi,
hatua zilizochukuliwa na Serikali ni pamoja na :
1.kulipa mishahara ya watumishi kwa wakati,
2.kulipa malimbikizo ya mishahara,
3.kupandisha kiwango cha mshahara kisichotozwa kodi na
4.kupandisha madaraja/vyeo watumishi wenye stahili hiyo,
5.kulipa nyongeza ya mwaka (Annual increment) ambayo kwa muda mrefu ilikuwa haijalipwa na
6.kutoa ajira mpya kwa vijana waliomaliza vyuo mbalimbali.
 
Back
Top Bottom