Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Siwezi kudanganya watumishi wa umma kuwa nitawapandishia mishahara!

Kwa tafsiri nyepesi hapo kasema "vyuma vitaendelea kukaza"
Watu kuajiriwa na kuongezewa mishahara ni faida kwa waajiriwa na wasioajiriwa/waliojiajiri.

Mfanya kazi mwenye mshahara mzuri atajiongezea uwezo wa matumizi/manunuzi hivyo kuongeza mzunguko wa pesa mitaani.
 
Hayo ameyasema Leo akiwa mkoani Mara kwenye kampeni za kuomba kuchaguliwa kwa miaka mitano ijayo.

Ahadi hii imeniacha na maswali mawili Kama ifuatavyo: 1 Je huyu mgombea anawachukuliaje watumishi wa umma? Huwaona Kama wanaokula bure?, au makondoo tu wasio na lolote.! 2 Nini mtazamo wa watumishi juu ya ahadi hii?

Mkuu watumishi wa Uma ni makondoo tu zaidi ya 99,% cheki Kenya muziki wake...mm siyaonei huruma. ..Dadek zao
 
Sisi wafanyakazi hatuwezi kudanganya, hatuwezi kukupa kura Magufuli.
 
Msema ukweli ni mpenzi wa Aliye juu ya yote.

Haiwezekani hata kama ni mimi ndiye kiongozi kusema uongo, watumishi wa umma nchi hii ndio wenye nafuu ya kila kitu kuanzia mikopo, ajira ya kudumu n.k.

Hivyo kuwaongezea mishahara na kila kitu huku sekta binafsi ikiangaika si sawa, kwanza wao ndio waliotamalaki kila mahala kwenye uwekezaji wa ndani huku wasiokopesheka wakifunga biashara zao.

Watumishi watosheke, waache Mh.Rais afanyie kazi sekta binafsi, kuimalisha miundombinu na kujenga uchumi imara kwa manufaa ya wote.
 
Wafanya kazi nao wasimdanganye kuwa wanaweza wakampa kura Magufuli.

Hakuna mfanyakazi mwenye akili timamu atakayempigia kura magufuli! Kungekuwepo na tume huru ya uchaguzi, hakika mwaka huu angeangukia pua! Na bila shaka asingeamini, maana kwake maendeleo siyo ajira, maisha bora kwa kila mtanzania, nk!

Kwake maendeleo ni kununua ndege, kujenga flyovers, nk.
 
Ndg yangu mmoja leo ananisimulia almanusra agongwe na guta maana njia za wenda kwa miguu zote zimekua show room za machinga wanaolipa na wasiolipa ile 20K per year. I guess hapa kila mtu achanganye na za kuambiwa ili aendelee kuwa relevant hapa mujini.
 
Kuna watu walikua wanamtetea kwamba anaongeza mishahara. Kiko wapi sasa kasema mwenyewe hatoongeza. Kazi kwenu wafanyakazi, maisha yanapanda kila Siku lakini mshahara upo palepale.
 
Ila hataacha kununua wanasiasa Malaya kutoka upinzani kuchezea pesa za walipa kodi kwa miradi isiyo na tija kwa Watanzania na kugawa gawa hovyo pesa za walipa kodi.

Hayo ameyasema Leo akiwa mkoani Mara kwenye kampeni za kuomba kuchaguliwa kwa miaka mitano ijayo.

Ahadi hii imeniacha na maswali mawili Kama ifuatavyo: 1 Je huyu mgombea anawachukuliaje watumishi wa umma? Huwaona Kama wanaokula bure?, au makondoo tu wasio na lolote.! 2 Nini mtazamo wa watumishi juu ya ahadi hii?
 
Mkuu ana uhakika wa ushindi... Hehehehee
 
Hayo ameyasema Leo akiwa mkoani Mara kwenye kampeni za kuomba kuchaguliwa kwa miaka mitano ijayo.

Ahadi hii imeniacha na maswali mawili Kama ifuatavyo: 1 Je huyu mgombea anawachukuliaje watumishi wa umma? Huwaona Kama wanaokula bure?, au makondoo tu wasio na lolote.! 2 Nini mtazamo wa watumishi juu ya ahadi hii?
Asiongee kabisa kuhusu hilo ataniliza,machozi nimeyavumbika muda mrefu
 
Mkuu watumishi wa Uma ni makondoo tu zaidi ya 99,% cheki Kenya muziki wake...mm siyaonei huruma. ..Dadek zao
Wakati wa kikwete kuna kauli maarufu ilikuwa ikisema Tanzania inapitia kipindi kigumu, lakini ukweli tulikuwa tunaelekea kipindi kigumu. Sasa tumo kweli kipindi kigumu haswaaaa.
 
Magufuli ni mwongo sana. Mwaka 2015 alikuwa anaimba habari ya kupandisha mshara kwa watumishi. Miaka 5 imepita hakuna kitu. NEC inampa kiburi. Atatangazwa mshindi na NEC japo hatashinda.

Back
Top Bottom