Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam.
Mimi ni mkazi wa Tegeta Nyuki, Leo natoka hali ya kushangaza mgombea Urais kupitia CCM bwana Magufuli amesema hajui matatizo ya mafuriko yanayowakumba wakazi wa Tegeta hivyo wamchagulie mbunge wa CCM Askofu Gwajima ili akaombe pesa za kuchimbia mitaro. Hayo ameyasema akiongea na wanachi wa Tegeta baada ya kukubwa na mafuriko siku ya Jana.
Uongo wa Dkt. Magufuli.
Nakumbuka mwaka 2017 wananchi wa Tegeta tulikubwa na mafuriko Mh akiwa Rais alimtuma waziri Jenista Mhagama kuja kutupa pole na aliahidi kujenga mitaro ya Bagamoyo road, lkn kwa kuwa jimbo la Kawe linaongozwa na upinzani zile ahadi zikaota mbaya mpaka Leo hii 13/10/2020 unaahidi tena na kusema ulikuwa hujui shida za mafuriko ktk hii barabara ya Bagamoyo.
Binadamu tukumbuke ukuliwa muongo usiwe msahaulifu.
Imeniuma sana kudanganywa mchana kweupe, au Waziri alijiundia ahadi hewa?
Leo umeahidi kutoa bil 5 za mitaro siku zote ulikuwa wapi? Hii sio rushwa ya uchaguzi
Maendeleo yana vyama.