Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli umeudanganya umma wa Watanzania na Wanategeta kuhusu kero ya mafuriko

Gwaji boy ni kama Harakati za Pimbi na kugegeda demu huo ubunge atausikia tu...haupati ng'ooooo
Umenikumbusha mbali sana 😀Dr Love Pimbi, yaani dk ya mwisho tu, mishe inabumbuluka demu anasepa.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Niesikiliza hotuba yote Sijasikia akisema hajui kuhusu mafuriko ya tegeta, alichosema hajui na alitakiwa kufahamishwa na mbunge husika ni bandari ya eneo fulani huko mbweni na ishu ya eneo la mafundi gereji ktk eneo la benki ya tid...
Haya mengine umetunga, ameongelea ishu ya mafuriko ila hajasema kuwa hajui...
Bavicha akili yako imeenda ma mafuriko wewe bila shaka...
acha kashfa nani kakwambia ni Hotuba ya Kawe
kwanini usifuatilie Mada, umeambiwa akizungumza na wakazi wa Tegeta alipowatembelea, haijasemwa Hotuba ya Kawe, Leo Rais katembelea maeneo mengi ungeuliza /soma kwanza
Wasalaam.

Mimi ni mkazi wa Tegeta Nyuki, Leo natoka hali ya kushangaza mgombea Urais kupitia CCM bwana Magufuli amesema hajui matatizo ya mafuriko yanayowakumba wakazi wa Tegeta hivyo wamchagulie mbunge wa CCM Askofu Gwajima ili akaombe pesa za kuchimbia mitaro. Hayo ameyasema akiongea na wanachi wa Tegeta baada ya kukubwa na mafuriko siku ya Jana.

Uongo wa Dkt. Magufuli.
Nakumbuka mwaka 2017

Binadamu tukumbuke ukiwa muongo usiwe msahaulifu.
 
Wasalaam.

Mimi ni mkazi wa Tegeta Nyuki, Leo natoka hali ya kushangaza mgombea Urais kupitia CCM bwana Magufuli amesema hajui matatizo ya mafuriko yanayowakumba wakazi wa Tegeta hivyo wamchagulie mbunge wa CCM Askofu Gwajima ili akaombe pesa za kuchimbia mitaro. Hayo ameyasema akiongea na wanachi wa Tegeta baada ya kukubwa na mafuriko siku ya Jana.

Uongo wa Dkt. Magufuli.
Nakumbuka mwaka 2017 wananchi wa Tegeta tulikubwa na mafuriko Mh akiwa Rais alimtuma waziri Jenista Mhagama kuja kutupa pole na aliahidi kujenga mitaro ya Bagamoyo road, lkn kwa kuwa jimbo la Kawe linaongozwa na upinzani zile ahadi zikaota mbaya mpaka Leo hii 13/10/2020 unaahidi tena na kusema ulikuwa hujui shida za mafuriko ktk hii barabara ya Bagamoyo.

Binadamu tukumbuke ukuliwa muongo usiwe msahaulifu.

Imeniuma sana kudanganywa mchana kweupe, au Waziri alijiundia ahadi hewa?

Leo umeahidi kutoa bil 5 za mitaro siku zote ulikuwa wapi? Hii sio rushwa ya uchaguzi

Maendeleo yana vyama.
Huyo mzee anaweza hata kumkataa rais magufuli ije iwe huyo jenistar
 
Hivi kuna watu bado wanamuamini Yohana.

Mambo mengi anayoongea 10 ya kweli 90 inabidi uangalie. Nimesikia jana anadai kuwa tumeingia uchumi wa kati kwa kuwa hatukuweka nchi kwenye lock down ......!!
Kundi linalolengwa ni wa bodaboda na Mama ntilie, sasa nyie wengine msikilize at your own risk.
 
Kundi linalolengwa ni wa bodaboda na Mama ntilie, sasa nyie wengine msikikize at your own risk.
True. Zamani nilikuwa namhusudu kwa kutoa data mpaka nilipogundua kuwa nyingi anatuingiza chaka. In fact anatake advantage ya media zetu kwa vile hazihoji, hazicriticize, haziverify wala haziangalii facts.
 
Wasalaam.

Mimi ni mkazi wa Tegeta Nyuki, Leo natoka hali ya kushangaza mgombea Urais kupitia CCM bwana Magufuli amesema hajui matatizo ya mafuriko yanayowakumba wakazi wa Tegeta hivyo wamchagulie mbunge wa CCM Askofu Gwajima ili akaombe pesa za kuchimbia mitaro. Hayo ameyasema akiongea na wanachi wa Tegeta baada ya kukubwa na mafuriko siku ya Jana.

Uongo wa Dkt. Magufuli.
Nakumbuka mwaka 2017 wananchi wa Tegeta tulikubwa na mafuriko Mh akiwa Rais alimtuma waziri Jenista Mhagama kuja kutupa pole na aliahidi kujenga mitaro ya Bagamoyo road, lkn kwa kuwa jimbo la Kawe linaongozwa na upinzani zile ahadi zikaota mbaya mpaka Leo hii 13/10/2020 unaahidi tena na kusema ulikuwa hujui shida za mafuriko ktk hii barabara ya Bagamoyo.

Binadamu tukumbuke ukuliwa muongo usiwe msahaulifu.

Imeniuma sana kudanganywa mchana kweupe, au Waziri alijiundia ahadi hewa?

Leo umeahidi kutoa bil 5 za mitaro siku zote ulikuwa wapi? Hii sio rushwa ya uchaguzi

Maendeleo yana vyama.
Huyu babu anachoweza kusema ukweli ni jina lake mengine yote usimwamini
 
Wewe unafikiri baada ya rais kugundua idadi kubwa ya walimu aliotaka kuwapelekea laptops hawana barabara za kuwafikia, hawana office wala madarasa ya kufundishia, hawana maji, hawana vituo vya afya wala umeme wa kuzicharge angeanza na nini
Hii Ni justification tu; Ile ahadi ya Laptop na 50M Kila kijiji, Ilikuwa kauli ya Kisiasa kabisa; najua hili linawezekana ila sio Kwa wakati Ule, au hata wakati huu.
Kwamba Eti asijue walimu anaotaka kuwapelekea Laptop kwamba wana barabara?? Kwamba Amegundua wakati anataka kupeleka Laptop ndo akajua?? Serious brother??

Hizo Huduma Tz huko zinafahamika sana kwamba sehemu nyingi, hazipo na kama zipo hazipo kwa Ufanisi. Pamoja namkubali Magu lakini ile statement ilikuwa ya Kisiasa, it was Unimplementable.
 
Walimu wana uhitaji zaidi ya laptops
Wanahitaji makazi ya kuwafaa, wanahitaji mazingira safi ya kazi na mengine mengi pia...
 
Nimekuelewa, Ndio maana nikakwambia; Kwa Mtu makini, Huwezi sema Laptops wakati ukiwa unafahamu kabisa kwamba waalimu wana changamoto nyingi tuuu..
Ndio maana nikakwambia ilikuwa kauli ya Kisiasa, Sasa wewe umesema kwamba "Alipogundua" inamaana alikuwa hajui changamoto za waalimu wakati anawaza Laptop??
Kama Ndivyo kwenye ilani yao iliyopita walizungumzia Kuboresha Mazingira ya waalimu, hasa kwenye ishu ya Nyumba, ndio maana Kwenye awamu ya Magu alijitahidi kwenye nyumba za waalimu kwa kiasi fulani.

Ishu yangu ni hiyo kauli ya Laptop kwa kila mwalimu!! Hii Kauli bado kutekelezeka kwa Tanzania, ukizingatia hali ya uchumi wetu.
 
Wasalaam.

Mimi ni mkazi wa Tegeta Nyuki, Leo natoka hali ya kushangaza mgombea Urais kupitia CCM bwana Magufuli amesema hajui matatizo ya mafuriko yanayowakumba wakazi wa Tegeta hivyo wamchagulie mbunge wa CCM Askofu Gwajima ili akaombe pesa za kuchimbia mitaro. Hayo ameyasema akiongea na wanachi wa Tegeta baada ya kukubwa na mafuriko siku ya Jana.

Uongo wa Dkt. Magufuli.
Nakumbuka mwaka 2017 wananchi wa Tegeta tulikubwa na mafuriko Mh akiwa Rais alimtuma waziri Jenista Mhagama kuja kutupa pole na aliahidi kujenga mitaro ya Bagamoyo road, lkn kwa kuwa jimbo la Kawe linaongozwa na upinzani zile ahadi zikaota mbaya mpaka Leo hii 13/10/2020 unaahidi tena na kusema ulikuwa hujui shida za mafuriko ktk hii barabara ya Bagamoyo.

Binadamu tukumbuke ukuliwa muongo usiwe msahaulifu.

Imeniuma sana kudanganywa mchana kweupe, au Waziri alijiundia ahadi hewa?

Leo umeahidi kutoa bil 5 za mitaro siku zote ulikuwa wapi? Hii sio rushwa ya uchaguzi

Maendeleo yana vyama.
Noma na ikawa noma. Alisema chaguo letu lilikuwa kikwazo cha utekelezaji. Hiyo ni nukuu
 
Back
Top Bottom