Umenikumbusha mbali sana 😀Dr Love Pimbi, yaani dk ya mwisho tu, mishe inabumbuluka demu anasepa.Gwaji boy ni kama Harakati za Pimbi na kugegeda demu huo ubunge atausikia tu...haupati ng'ooooo
Hii hata Mimi inanishangaza, au kwa vile ni muongo?mzee kila analotamka linaacha nyufa.
Huku msimbazi kwa Bona alisingizia madiwani.Gwajima ataanza utekelezaji mwaka huu
Halima alikosa connection sababu ya kutoka nje ya bunge kila siku
acha kashfa nani kakwambia ni Hotuba ya KaweNiesikiliza hotuba yote Sijasikia akisema hajui kuhusu mafuriko ya tegeta, alichosema hajui na alitakiwa kufahamishwa na mbunge husika ni bandari ya eneo fulani huko mbweni na ishu ya eneo la mafundi gereji ktk eneo la benki ya tid...
Haya mengine umetunga, ameongelea ishu ya mafuriko ila hajasema kuwa hajui...
Bavicha akili yako imeenda ma mafuriko wewe bila shaka...
Wasalaam.
Mimi ni mkazi wa Tegeta Nyuki, Leo natoka hali ya kushangaza mgombea Urais kupitia CCM bwana Magufuli amesema hajui matatizo ya mafuriko yanayowakumba wakazi wa Tegeta hivyo wamchagulie mbunge wa CCM Askofu Gwajima ili akaombe pesa za kuchimbia mitaro. Hayo ameyasema akiongea na wanachi wa Tegeta baada ya kukubwa na mafuriko siku ya Jana.
Uongo wa Dkt. Magufuli.
Nakumbuka mwaka 2017
Binadamu tukumbuke ukiwa muongo usiwe msahaulifu.
Huyo mzee anaweza hata kumkataa rais magufuli ije iwe huyo jenistarWasalaam.
Mimi ni mkazi wa Tegeta Nyuki, Leo natoka hali ya kushangaza mgombea Urais kupitia CCM bwana Magufuli amesema hajui matatizo ya mafuriko yanayowakumba wakazi wa Tegeta hivyo wamchagulie mbunge wa CCM Askofu Gwajima ili akaombe pesa za kuchimbia mitaro. Hayo ameyasema akiongea na wanachi wa Tegeta baada ya kukubwa na mafuriko siku ya Jana.
Uongo wa Dkt. Magufuli.
Nakumbuka mwaka 2017 wananchi wa Tegeta tulikubwa na mafuriko Mh akiwa Rais alimtuma waziri Jenista Mhagama kuja kutupa pole na aliahidi kujenga mitaro ya Bagamoyo road, lkn kwa kuwa jimbo la Kawe linaongozwa na upinzani zile ahadi zikaota mbaya mpaka Leo hii 13/10/2020 unaahidi tena na kusema ulikuwa hujui shida za mafuriko ktk hii barabara ya Bagamoyo.
Binadamu tukumbuke ukuliwa muongo usiwe msahaulifu.
Imeniuma sana kudanganywa mchana kweupe, au Waziri alijiundia ahadi hewa?
Leo umeahidi kutoa bil 5 za mitaro siku zote ulikuwa wapi? Hii sio rushwa ya uchaguzi
Maendeleo yana vyama.
Kundi linalolengwa ni wa bodaboda na Mama ntilie, sasa nyie wengine msikilize at your own risk.Hivi kuna watu bado wanamuamini Yohana.
Mambo mengi anayoongea 10 ya kweli 90 inabidi uangalie. Nimesikia jana anadai kuwa tumeingia uchumi wa kati kwa kuwa hatukuweka nchi kwenye lock down ......!!
True. Zamani nilikuwa namhusudu kwa kutoa data mpaka nilipogundua kuwa nyingi anatuingiza chaka. In fact anatake advantage ya media zetu kwa vile hazihoji, hazicriticize, haziverify wala haziangalii facts.Kundi linalolengwa ni wa bodaboda na Mama ntilie, sasa nyie wengine msikikize at your own risk.
Huyu babu anachoweza kusema ukweli ni jina lake mengine yote usimwaminiWasalaam.
Mimi ni mkazi wa Tegeta Nyuki, Leo natoka hali ya kushangaza mgombea Urais kupitia CCM bwana Magufuli amesema hajui matatizo ya mafuriko yanayowakumba wakazi wa Tegeta hivyo wamchagulie mbunge wa CCM Askofu Gwajima ili akaombe pesa za kuchimbia mitaro. Hayo ameyasema akiongea na wanachi wa Tegeta baada ya kukubwa na mafuriko siku ya Jana.
Uongo wa Dkt. Magufuli.
Nakumbuka mwaka 2017 wananchi wa Tegeta tulikubwa na mafuriko Mh akiwa Rais alimtuma waziri Jenista Mhagama kuja kutupa pole na aliahidi kujenga mitaro ya Bagamoyo road, lkn kwa kuwa jimbo la Kawe linaongozwa na upinzani zile ahadi zikaota mbaya mpaka Leo hii 13/10/2020 unaahidi tena na kusema ulikuwa hujui shida za mafuriko ktk hii barabara ya Bagamoyo.
Binadamu tukumbuke ukuliwa muongo usiwe msahaulifu.
Imeniuma sana kudanganywa mchana kweupe, au Waziri alijiundia ahadi hewa?
Leo umeahidi kutoa bil 5 za mitaro siku zote ulikuwa wapi? Hii sio rushwa ya uchaguzi
Maendeleo yana vyama.
Ambazo amezipelekaNaona kwa sasa wazungu wanavaa mitumba kutoka bongo.View attachment 1599960
Hii Ni justification tu; Ile ahadi ya Laptop na 50M Kila kijiji, Ilikuwa kauli ya Kisiasa kabisa; najua hili linawezekana ila sio Kwa wakati Ule, au hata wakati huu.Wewe unafikiri baada ya rais kugundua idadi kubwa ya walimu aliotaka kuwapelekea laptops hawana barabara za kuwafikia, hawana office wala madarasa ya kufundishia, hawana maji, hawana vituo vya afya wala umeme wa kuzicharge angeanza na nini
Walimu wana uhitaji zaidi ya laptopsHii Ni justification tu; Ile ahadi ya Laptop na 50M Kila kijiji, Ilikuwa kauli ya Kisiasa kabisa; najua hili linawezekana ila sio Kwa wakati Ule, au hata wakati huu.
Kwamba Eti asijue walimu anaotaka kuwapelekea Laptop kwamba wana barabara?? Kwamba Amegundua wakati anataka kupeleka Laptop ndo akajua?? Serious brother??
Hizo Huduma Tz huko zinafahamika sana kwamba sehemu nyingi, hazipo na kama zipo hazipo kwa Ufanisi. Pamoja namkubali Magu lakini ile statement ilikuwa ya Kisiasa, it was Unimplementable.
Nimekuelewa, Ndio maana nikakwambia; Kwa Mtu makini, Huwezi sema Laptops wakati ukiwa unafahamu kabisa kwamba waalimu wana changamoto nyingi tuuu..Walimu wana uhitaji zaidi ya laptops
Wanahitaji makazi ya kuwafaa, wanahitaji mazingira safi ya kazi na mengine mengi pia...
Noma na ikawa noma. Alisema chaguo letu lilikuwa kikwazo cha utekelezaji. Hiyo ni nukuuWasalaam.