Kwanini Rais Magufuli haongezi Mishahara wala kulipa mafao wakati Kodi imeongezeka mara dufu zaidi ya Kikwete. Kwanini anashindwa Kuwahudumia Wananchi kama Kikwete alivyokuwa anahudumia?
Nakumbuka mwaka 2015 alipo magufuli lazima Bulembo awepo.Sio kamtenga wao ndio wamemtenga si unaona kampeni anajinadi mwenyewe?
Iko wapi ile ccm ya jk 2015 ike timu hivi unaikumbuka?kwa sasa hata ile amshaamsha haipo.tushazoea barabara zote kipindi kama hivi mabango mwanzo mwisho na bendeza kila mahali.
Kwa sasa kampeni inafanywa kama vile bendeza ziko nusu mlingoti
Usiishi kwa habari za kusikia sikia.Ila nasikia kwa utaratibu wa CCM, kila Rais anatekeleza sehemu ya pili ya mpango mkakati wa mtangulizi wake. Kwa hiyo kama akishinda atatekeleza wa kwake kuanzia 2020-2025.
2. Stiegler's Gorge ni Idea ya Nyerere
Unashauri katiba ibadilishwe?Walibanwa na Katiba. Ingekua Awamu ya Urais ni miaka 15 au 20. Miradi yote ingekamilika. Hata Magufuli hatamaliza atakuja mwingine atafanya. Haiondoi kwamba Magufuli alifanya kitu. Au sio?
Huyu anajaribu kuwagombanisha JK na JPM kwa kujenga hoja zisizo na mashiko.Tungeendelea na huyo mswahili kwa miaka 20 kila kitu kingeuzwa.usitukumbushe mambo ya ricmond, iptl, twiga wanabebwa wazima acha bwana....
Hivi nimetumia neno 'nasikia sikia' au 'nasikia'?Usiishi kwa habari za kusikia sikia.
Maccm huwa yanasema kwa mwa miaka mitano hii wamejenga maelfu ya viwanda nchini. Jiulize ni biadhaa ziipi umewahi kununua kutoka kwenye hivyo viwanda tofauti na Azam Embe ?
Lete pichaMpaka sasa sijaona hotuba yoyote ya maana unayoweza kumsifia mgombea wetu.wananchi ni kama hawamwelewi mgombea wetu.hii siyo CCM nnayoijua ni aibu.
Sikio la kufa halisikii dawa.Nilionya mapema uchaguzi huu si lelemama.
Wapiga mapambio wanamdanganya mkuu.hizi hotuba hazina mashiko aeleze mambo mapya kwa wananchi.
Lete picha