Uliyoandika hata akisomewa chekechea atang'amua kuwa YOTE SI KWELI BALI NI POROJO TUPU!Salaam,
Wakuu, Huu mwenendo wa hiii CCM na Mgombea wake kutaka kumuangushia jumba bovu Kikwete, haikubariki. Na kwenye Kampeni za 2020, Msipomshirikisha, CCM itapata kura za aibu. Mtaishia kuiba kura ili kuficha aibu. Sasa mnamchafua Kikwete kwamba kaharibu kwamba hajafanya lolote, basi hata ungemshukuru kwa kukuweka Ikulu na kukufanya ukubalike Geita.
Kwa miaka mitano wamekuwa wakisema hajafanya kitu. Kila siku wanasema vitu vyote kafanya Magufuli. Eti barabara kajenga Magufuli, Madaraja, Hospital, Shule na Maji nk kwamba Magufuli ndo kajenga. Hawana hata aibu.
Ni Kweli Rais Mstaafu Kikwete ana Mapungufu yake lakini aliacha Tanzania ikiwa Moja na amani. Hapakuwa na chuki za Kikabila, Kidini wala Kichama. Sasa hivi CCM na CHADEMA hawazikani. CCM inavibagua vyama vingine na kuviita vya Mabeberu, Wasaliti, Wachochezi na Kila jina baya. Kumbukeni vyama vyote vinaongozwa na Watanzania na Wanachama ni Watanzania.
Kipindi cha Kikwete alikuwa anakusanya Kodi kidogo Wastani wa Bil 800 hadi 900, lakini alikuwa anafanya Vitu vinaonekana. Mishahara ilikuwa ikiongezwa, Watu wanaajiliwa, Watu hawabambikiwi kesi za Uhujumu Uchumi, Watu walikuwa hawalipishwa Kodi ya kukomoa na mengine mengi tu.
Lakini Awamu ya Tano wanadai Wanakusanya Kodi Trilioni 1.2 hadi 1.8, Lakini Walichokifanya hakionekani. Tunasoma kwenye karatasi tu kwamba Viwanda 8,000 Shule zimejengwa na Barabara. Mwisho wa Siku unaona barabara ni zilezile za Kikwete alizojenga nyingine akatoka hazijaisha.
Kwa Miaka Mitano Magufuli hana kitu chake alichokuja nacho Mkoni au wazo lake la kututoa Watanzania Kwenye Umasikini. Kila anachojivunia ni Mawazo na Fikra za Watangulizi wake. Mfano;
1. Kuhamia Dodoma ni Idea ya Mwalimu Nyerere
2. Stiegler's Gorge ni Idea ya Nyerere
3. Flyover zote ni Idea za Jakaya Kikwete
4. TASAF ni Idea ya Mkapa
5. Umeme Vijijini REA ni Idea ya Kikwete nk.
Ila ambacho naona Kajitahidi Magufuli ni
1. Kuminya Uhuru wa Kutoa na Kupata habari
2. Vyama vinavyoshindana na CCM kuitwa vyama vya kiharifu na kwamba ni Wasaliti
3. Watu kutekwa na kupotea
4. Chuki miongoni mwa Watanzania(Hamna Umoja wa Kitaifa hata kwenye mambo ya Kitaifa(Mazishi ya Mkapa ni Mfano)
5. Bunge, Mahakama na Wanaamuliwa cha kufanya.
Dr. Magufuli bado anayo nafasi ya Kumuangukia Jakaya Kikwete ili ampe Ushauri na Support kwenye Uchaguzi huu. Vinginevyo Magufuli ataendelea Kufanya Ziara na Bonanza akidhani ndo Kampeni.
Hahahahahahahahaha.........Wafanyakazi wote wameongezewa mshahara wewe unaongelea wafanyakazi wa kugonga kokoto?
Km Unataka kikwete aendelee kukuongoza nenda ukamuombe ujiunge kwenye familia yake
Sio rahic magufuli kuwa malaika.Kipindi cha nyuma kikwete alitukanwa kila aina ya matusi mabaya.Leo kageuka malaika.Na huyu wasasa pengine ipo siku atageuka malaika
MMEMMALIZA MEMBE SASA MNAANZA KUMCHONGANISHA KIKWETE.Salaam,
Wakuu, Huu mwenendo wa hiii CCM na Mgombea wake kutaka kumuangushia jumba bovu Kikwete, haikubariki. Na kwenye Kampeni za 2020, Msipomshirikisha, CCM itapata kura za aibu. Mtaishia kuiba kura ili kuficha aibu. Sasa mnamchafua Kikwete kwamba kaharibu kwamba hajafanya lolote, basi hata ungemshukuru kwa kukuweka Ikulu na kukufanya ukubalike Geita.
Kwa miaka mitano wamekuwa wakisema hajafanya kitu. Kila siku wanasema vitu vyote kafanya Magufuli. Eti barabara kajenga Magufuli, Madaraja, Hospital, Shule na Maji nk kwamba Magufuli ndo kajenga. Hawana hata aibu.
Ni Kweli Rais Mstaafu Kikwete ana Mapungufu yake lakini aliacha Tanzania ikiwa Moja na amani. Hapakuwa na chuki za Kikabila, Kidini wala Kichama. Sasa hivi CCM na CHADEMA hawazikani. CCM inavibagua vyama vingine na kuviita vya Mabeberu, Wasaliti, Wachochezi na Kila jina baya. Kumbukeni vyama vyote vinaongozwa na Watanzania na Wanachama ni Watanzania.
Kipindi cha Kikwete alikuwa anakusanya Kodi kidogo Wastani wa Bil 800 hadi 900, lakini alikuwa anafanya Vitu vinaonekana. Mishahara ilikuwa ikiongezwa, Watu wanaajiliwa, Watu hawabambikiwi kesi za Uhujumu Uchumi, Watu walikuwa hawalipishwa Kodi ya kukomoa na mengine mengi tu.
Lakini Awamu ya Tano wanadai Wanakusanya Kodi Trilioni 1.2 hadi 1.8, Lakini Walichokifanya hakionekani. Tunasoma kwenye karatasi tu kwamba Viwanda 8,000 Shule zimejengwa na Barabara. Mwisho wa Siku unaona barabara ni zilezile za Kikwete alizojenga nyingine akatoka hazijaisha.
Kwa Miaka Mitano Magufuli hana kitu chake alichokuja nacho Mkoni au wazo lake la kututoa Watanzania Kwenye Umasikini. Kila anachojivunia ni Mawazo na Fikra za Watangulizi wake. Mfano;
1. Kuhamia Dodoma ni Idea ya Mwalimu Nyerere
2. Stiegler's Gorge ni Idea ya Nyerere
3. Flyover zote ni Idea za Jakaya Kikwete
4. TASAF ni Idea ya Mkapa
5. Umeme Vijijini REA ni Idea ya Kikwete nk.
Ila ambacho naona Kajitahidi Magufuli ni
1. Kuminya Uhuru wa Kutoa na Kupata habari
2. Vyama vinavyoshindana na CCM kuitwa vyama vya kiharifu na kwamba ni Wasaliti
3. Watu kutekwa na kupotea
4. Chuki miongoni mwa Watanzania(Hamna Umoja wa Kitaifa hata kwenye mambo ya Kitaifa(Mazishi ya Mkapa ni Mfano)
5. Bunge, Mahakama na Wanaamuliwa cha kufanya.
Dr. Magufuli bado anayo nafasi ya Kumuangukia Jakaya Kikwete ili ampe Ushauri na Support kwenye Uchaguzi huu. Vinginevyo Magufuli ataendelea Kufanya Ziara na Bonanza akidhani ndo Kampeni.
Acha ujinga, wafanyakazi gani wameongezewa mishahara?Wafanyakazi wote wameongezewa mshahara wewe unaongelea wafanyakazi wa kugonga kokoto?
Km Unataka kikwete aendelee kukuongoza nenda ukamuombe ujiunge kwenye familia yake
Jiwe stone anakwambiaCcm time hii hawahitaji resources nyingi kushinda. Mpinzani wa mwaka huu ni mwepesi sana. Magufuli hahitaji support ya wazee kumshinda msimulia hadithi za mauaji
Acha ujinga, wafanyakazi gani wameongezewa mishahara?
Huyo hapo yuko Bagamoyo akitimiza majukumu ya CCM, acheni ufitinishi wenu humu mitandaoniMMEMMALIZA MEMBE SASA MNAANZA KUMCHONGANISHA KIKWETE.
COM NI MOJA NA INAJUA JIMSI YA KUPANGA KAMPENI ZAKE, NYNYI HANGAIKENI NA KIDUKU WENU.
IACHENI CCM IWATUMIKIE WANANCHI.
Mbona sielewi mkuu ,mpango mkakati wa awamu ya nne uliotekelezwa ni upi? Kuna mkuu alisema kila zama na kitabu chake. Marehemu Mkapa alichukia sana tamko hilo. Mpango mkakati wapaswa kuwa mmoja ambao utatekelezwa kwa awamu. Ikiisha miaka 10 Rais anayefuata aendelee alikofikisha mtangulizi wakeIla nasikia kwa utaratibu wa CCM, kila Rais anatekeleza sehemu ya pili ya mpango mkakati wa mtangulizi wake. Kwa hiyo kama akishinda atatekeleza wa kwake kuanzia 2020-2025.
Salaam,
Wakuu, Huu mwenendo wa hiii CCM na Mgombea wake kutaka kumuangushia jumba bovu Kikwete, haikubariki. Na kwenye Kampeni za 2020, Msipomshirikisha, CCM itapata kura za aibu. Mtaishia kuiba kura ili kuficha aibu. Sasa mnamchafua Kikwete kwamba kaharibu kwamba hajafanya lolote, basi hata ungemshukuru kwa kukuweka Ikulu na kukufanya ukubalike Geita.
Kwa miaka mitano wamekuwa wakisema hajafanya kitu. Kila siku wanasema vitu vyote kafanya Magufuli. Eti barabara kajenga Magufuli, Madaraja, Hospital, Shule na Maji nk kwamba Magufuli ndo kajenga. Hawana hata aibu.
Ni Kweli Rais Mstaafu Kikwete ana Mapungufu yake lakini aliacha Tanzania ikiwa Moja na amani. Hapakuwa na chuki za Kikabila, Kidini wala Kichama. Sasa hivi CCM na CHADEMA hawazikani. CCM inavibagua vyama vingine na kuviita vya Mabeberu, Wasaliti, Wachochezi na Kila jina baya. Kumbukeni vyama vyote vinaongozwa na Watanzania na Wanachama ni Watanzania.
Kipindi cha Kikwete alikuwa anakusanya Kodi kidogo Wastani wa Bil 800 hadi 900, lakini alikuwa anafanya Vitu vinaonekana. Mishahara ilikuwa ikiongezwa, Watu wanaajiliwa, Watu hawabambikiwi kesi za Uhujumu Uchumi, Watu walikuwa hawalipishwa Kodi ya kukomoa na mengine mengi tu.
Lakini Awamu ya Tano wanadai Wanakusanya Kodi Trilioni 1.2 hadi 1.8, Lakini Walichokifanya hakionekani. Tunasoma kwenye karatasi tu kwamba Viwanda 8,000 Shule zimejengwa na Barabara. Mwisho wa Siku unaona barabara ni zilezile za Kikwete alizojenga nyingine akatoka hazijaisha.
Kwa Miaka Mitano Magufuli hana kitu chake alichokuja nacho Mkoni au wazo lake la kututoa Watanzania Kwenye Umasikini. Kila anachojivunia ni Mawazo na Fikra za Watangulizi wake. Mfano;
1. Kuhamia Dodoma ni Idea ya Mwalimu Nyerere
2. Stiegler's Gorge ni Idea ya Nyerere
3. Flyover zote ni Idea za Jakaya Kikwete
4. TASAF ni Idea ya Mkapa
5. Umeme Vijijini REA ni Idea ya Kikwete nk.
Ila ambacho naona Kajitahidi Magufuli ni
1. Kuminya Uhuru wa Kutoa na Kupata habari
2. Vyama vinavyoshindana na CCM kuitwa vyama vya kiharifu na kwamba ni Wasaliti
3. Watu kutekwa na kupotea
4. Chuki miongoni mwa Watanzania(Hamna Umoja wa Kitaifa hata kwenye mambo ya Kitaifa(Mazishi ya Mkapa ni Mfano)
5. Bunge, Mahakama na Wanaamuliwa cha kufanya.
Dr. Magufuli bado anayo nafasi ya Kumuangukia Jakaya Kikwete ili ampe Ushauri na Support kwenye Uchaguzi huu. Vinginevyo Magufuli ataendelea Kufanya Ziara na Bonanza akidhani ndo Kampeni.
TAL [emoji3581]Salaam,

Ni ngumu sana kujua Magufuli ni Mtu Wa namna gani...anaweza akaamka akawaambia kuwa "maendereo hayana chama" au "Mimi ni raisi Wa Watanzania wote na ninawapenda sana ndugu zangu au nasema uongo jamaniii!!"
sasa siku akiamka na maruhani kichwani utachoka mwenyewe kumsikiliza kwa pumba atakazotoa, yaani hapo CCM ndio chama cha maana vingine takataka, hapo Maendeleo yanakuwa na chama (yanawahusu wavaa nguo za kijani tu) vyama vingine vinakuwa mashetani...hebu angalia hiki kituko, Wazungu wakitupa misaada ya kifedha anawaita "Wahisani wetu wa maendereo hawa!"
At the same time haohao waliompa pesa wakimshauri au wakitoa takwimu zinazogusa maslahi yake anawaita "Mabhebheru hawa". Dah! Ni ngumu sana kujua huyu mtu kichwa chake kipoje.