Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli unamtenga Jakaya Kikwete kwenye Kampeni zako, kumbuka ndiye aliyekupa Urais 2015. Muangukie akusaidie

Tatizo kikwete anasema ukweli,hapendi kujikweza wakati magufuri hataki mtu aseme ukweli anataka asifiwe tu.
 
Ccm ni wakongwe wa mbinu za ushindi nyie kaeni mdanganyane, mtapigwa na butwaa dakika za mwisho JK anaingia kumaliza mchezo
 
Ccm time hii hawahitaji resources nyingi kushinda. Mpinzani wa mwaka huu ni mwepesi sana. Magufuli hahitaji support ya wazee kumshinda msimulia hadithi za mauaji
 
Salaam,

Wakuu, Huu mwenendo wa hiii CCM na Mgombea wake kutaka kumuangushia jumba bovu Kikwete, haikubariki. Na kwenye Kampeni za 2020, Msipomshirikisha, CCM itapata kura za aibu. Mtaishia kuiba kura ili kuficha aibu. Sasa mnamchafua Kikwete kwamba kaharibu kwamba hajafanya lolote, basi hata ungemshukuru kwa kukuweka Ikulu na kukufanya ukubalike Geita.

Kwa miaka mitano wamekuwa wakisema hajafanya kitu. Kila siku wanasema vitu vyote kafanya Magufuli. Eti barabara kajenga Magufuli, Madaraja, Hospital, Shule na Maji nk kwamba Magufuli ndo kajenga. Hawana hata aibu.

Ni Kweli Rais Mstaafu Kikwete ana Mapungufu yake lakini aliacha Tanzania ikiwa Moja na amani. Hapakuwa na chuki za Kikabila, Kidini wala Kichama. Sasa hivi CCM na CHADEMA hawazikani. CCM inavibagua vyama vingine na kuviita vya Mabeberu, Wasaliti, Wachochezi na Kila jina baya. Kumbukeni vyama vyote vinaongozwa na Watanzania na Wanachama ni Watanzania.

Kipindi cha Kikwete alikuwa anakusanya Kodi kidogo Wastani wa Bil 800 hadi 900, lakini alikuwa anafanya Vitu vinaonekana. Mishahara ilikuwa ikiongezwa, Watu wanaajiliwa, Watu hawabambikiwi kesi za Uhujumu Uchumi, Watu walikuwa hawalipishwa Kodi ya kukomoa na mengine mengi tu.

Lakini Awamu ya Tano wanadai Wanakusanya Kodi Trilioni 1.2 hadi 1.8, Lakini Walichokifanya hakionekani. Tunasoma kwenye karatasi tu kwamba Viwanda 8,000 Shule zimejengwa na Barabara. Mwisho wa Siku unaona barabara ni zilezile za Kikwete alizojenga nyingine akatoka hazijaisha.

Kwa Miaka Mitano Magufuli hana kitu chake alichokuja nacho Mkoni au wazo lake la kututoa Watanzania Kwenye Umasikini. Kila anachojivunia ni Mawazo na Fikra za Watangulizi wake. Mfano;

1. Kuhamia Dodoma ni Idea ya Mwalimu Nyerere
2. Stiegler's Gorge ni Idea ya Nyerere
3. Flyover zote ni Idea za Jakaya Kikwete
4. TASAF ni Idea ya Mkapa
5. Umeme Vijijini REA ni Idea ya Kikwete nk.

Ila ambacho naona Kajitahidi Magufuli ni
1. Kuminya Uhuru wa Kutoa na Kupata habari
2. Vyama vinavyoshindana na CCM kuitwa vyama vya kiharifu na kwamba ni Wasaliti
3. Watu kutekwa na kupotea
4. Chuki miongoni mwa Watanzania(Hamna Umoja wa Kitaifa hata kwenye mambo ya Kitaifa(Mazishi ya Mkapa ni Mfano)
5. Bunge, Mahakama na Wanaamuliwa cha kufanya.

Dr. Magufuli bado anayo nafasi ya Kumuangukia Jakaya Kikwete ili ampe Ushauri na Support kwenye Uchaguzi huu. Vinginevyo Magufuli ataendelea Kufanya Ziara na Bonanza akidhani ndo Kampeni.
Uliyoandika hata akisomewa chekechea atang'amua kuwa YOTE SI KWELI BALI NI POROJO TUPU!
 
Wafanyakazi wote wameongezewa mshahara wewe unaongelea wafanyakazi wa kugonga kokoto?

Km Unataka kikwete aendelee kukuongoza nenda ukamuombe ujiunge kwenye familia yake
Hahahahahahahahaha.........
Ndio ulipoishia huko!

Duh!
 
Kipindi cha nyuma kikwete alitukanwa kila aina ya matusi mabaya.Leo kageuka malaika.Na huyu wasasa pengine ipo siku atageuka malaika
Sio rahic magufuli kuwa malaika.
Angekubali kukosolewa kama alivyokua kikwete ingekua sawa.
Ila kwa tabia yake kutotaka kukosolewa,anachopenda yy ni sifa tu!!

Sio lahisi.

Kikwete yeye ni mtu wa watu wa kila lika.

Hana makuu,na hapendi.sifa za kijinga.
 
Salaam,

Wakuu, Huu mwenendo wa hiii CCM na Mgombea wake kutaka kumuangushia jumba bovu Kikwete, haikubariki. Na kwenye Kampeni za 2020, Msipomshirikisha, CCM itapata kura za aibu. Mtaishia kuiba kura ili kuficha aibu. Sasa mnamchafua Kikwete kwamba kaharibu kwamba hajafanya lolote, basi hata ungemshukuru kwa kukuweka Ikulu na kukufanya ukubalike Geita.

Kwa miaka mitano wamekuwa wakisema hajafanya kitu. Kila siku wanasema vitu vyote kafanya Magufuli. Eti barabara kajenga Magufuli, Madaraja, Hospital, Shule na Maji nk kwamba Magufuli ndo kajenga. Hawana hata aibu.

Ni Kweli Rais Mstaafu Kikwete ana Mapungufu yake lakini aliacha Tanzania ikiwa Moja na amani. Hapakuwa na chuki za Kikabila, Kidini wala Kichama. Sasa hivi CCM na CHADEMA hawazikani. CCM inavibagua vyama vingine na kuviita vya Mabeberu, Wasaliti, Wachochezi na Kila jina baya. Kumbukeni vyama vyote vinaongozwa na Watanzania na Wanachama ni Watanzania.

Kipindi cha Kikwete alikuwa anakusanya Kodi kidogo Wastani wa Bil 800 hadi 900, lakini alikuwa anafanya Vitu vinaonekana. Mishahara ilikuwa ikiongezwa, Watu wanaajiliwa, Watu hawabambikiwi kesi za Uhujumu Uchumi, Watu walikuwa hawalipishwa Kodi ya kukomoa na mengine mengi tu.

Lakini Awamu ya Tano wanadai Wanakusanya Kodi Trilioni 1.2 hadi 1.8, Lakini Walichokifanya hakionekani. Tunasoma kwenye karatasi tu kwamba Viwanda 8,000 Shule zimejengwa na Barabara. Mwisho wa Siku unaona barabara ni zilezile za Kikwete alizojenga nyingine akatoka hazijaisha.

Kwa Miaka Mitano Magufuli hana kitu chake alichokuja nacho Mkoni au wazo lake la kututoa Watanzania Kwenye Umasikini. Kila anachojivunia ni Mawazo na Fikra za Watangulizi wake. Mfano;

1. Kuhamia Dodoma ni Idea ya Mwalimu Nyerere
2. Stiegler's Gorge ni Idea ya Nyerere
3. Flyover zote ni Idea za Jakaya Kikwete
4. TASAF ni Idea ya Mkapa
5. Umeme Vijijini REA ni Idea ya Kikwete nk.

Ila ambacho naona Kajitahidi Magufuli ni
1. Kuminya Uhuru wa Kutoa na Kupata habari
2. Vyama vinavyoshindana na CCM kuitwa vyama vya kiharifu na kwamba ni Wasaliti
3. Watu kutekwa na kupotea
4. Chuki miongoni mwa Watanzania(Hamna Umoja wa Kitaifa hata kwenye mambo ya Kitaifa(Mazishi ya Mkapa ni Mfano)
5. Bunge, Mahakama na Wanaamuliwa cha kufanya.

Dr. Magufuli bado anayo nafasi ya Kumuangukia Jakaya Kikwete ili ampe Ushauri na Support kwenye Uchaguzi huu. Vinginevyo Magufuli ataendelea Kufanya Ziara na Bonanza akidhani ndo Kampeni.
MMEMMALIZA MEMBE SASA MNAANZA KUMCHONGANISHA KIKWETE.
COM NI MOJA NA INAJUA JIMSI YA KUPANGA KAMPENI ZAKE, NYNYI HANGAIKENI NA KIDUKU WENU.

IACHENI CCM IWATUMIKIE WANANCHI.
 
Kinana kaonekana akizindua kampeni za Rizwani.

JK leo amekuwepo Chalinze wakati VP anapita.

CCM wao kama taasisi wana utaratibu wao wa kampeni na bila shaka safari hii hata kampeni meneja hajatamkwa rasmi kama miaka mingine.

JPM anatembea kanda ya kati kwenda kanda ya ziwa, mama Samia anatembea Moro kwenda kanda ya pwani, PM Majaliwa yupo kaskazi.

Kwa kuwa wananadi Ilani ya CCM na kueleza nini wametekeleza, na ndio week ya kwanza; tuwape muda wajinafasi kuomba kura na kuwaombea madiwani na wabunge.
 
CCM ni jeshi kubwa, huwezi linganisha na hawa wanaofuatana kama kumbikumbi,mgombea urais na mwenza wake hawaaminiani wanafuatana,ni ushamba.Uchaguzi wa mwaka huu kwa CCM ni mwepesi sana,ushindi wa mwaka huu ni wa kishindo, zaidi ya 90% ya kura zinamhusu Dr Magufuli.
 
Wafanyakazi wote wameongezewa mshahara wewe unaongelea wafanyakazi wa kugonga kokoto?

Km Unataka kikwete aendelee kukuongoza nenda ukamuombe ujiunge kwenye familia yake
Acha ujinga, wafanyakazi gani wameongezewa mishahara?
 
Ccm time hii hawahitaji resources nyingi kushinda. Mpinzani wa mwaka huu ni mwepesi sana. Magufuli hahitaji support ya wazee kumshinda msimulia hadithi za mauaji
Jiwe stone anakwambia

"Unakuta Mama ulizaa Mtoto Mwanaume akakukimbia haleti matumizi, unafika wakati wa kwenda shule huna pesa za kuwasomesha, nikasema tuwape elimu bure kuanzia shule za msingi hadi sekondari, jamani nimefanya vibaya?, mnataka mnitoe muweke wengine watakaoanza kuwalipisha kodi?”

Hiyo kauli kitaalamu ni ishara kwamba pumzi imeanza kukata, Lisu kwanni unamfanya hivyo kaka yako Jpm
 
MMEMMALIZA MEMBE SASA MNAANZA KUMCHONGANISHA KIKWETE.
COM NI MOJA NA INAJUA JIMSI YA KUPANGA KAMPENI ZAKE, NYNYI HANGAIKENI NA KIDUKU WENU.

IACHENI CCM IWATUMIKIE WANANCHI.
Huyo hapo yuko Bagamoyo akitimiza majukumu ya CCM, acheni ufitinishi wenu humu mitandaoni
20200903171224_IMG_0735.JPG
20200903171325_IMG_0738.JPG
20200903171408_IMG_0741.JPG
 
Ila nasikia kwa utaratibu wa CCM, kila Rais anatekeleza sehemu ya pili ya mpango mkakati wa mtangulizi wake. Kwa hiyo kama akishinda atatekeleza wa kwake kuanzia 2020-2025.
Mbona sielewi mkuu ,mpango mkakati wa awamu ya nne uliotekelezwa ni upi? Kuna mkuu alisema kila zama na kitabu chake. Marehemu Mkapa alichukia sana tamko hilo. Mpango mkakati wapaswa kuwa mmoja ambao utatekelezwa kwa awamu. Ikiisha miaka 10 Rais anayefuata aendelee alikofikisha mtangulizi wake
 
Well said, ila hii kitu itamgeuka siku moja.
Ushamba utaliangamiza taifa, udikteta utamwaga damu, ukabila utazusha vita, udini utaleta mgawanyiko.
Na vyote kavikumbatia huku akisema eti tumuombee, nani wa kuombea wauaji, wazinifu nk
Salaam,

Wakuu, Huu mwenendo wa hiii CCM na Mgombea wake kutaka kumuangushia jumba bovu Kikwete, haikubariki. Na kwenye Kampeni za 2020, Msipomshirikisha, CCM itapata kura za aibu. Mtaishia kuiba kura ili kuficha aibu. Sasa mnamchafua Kikwete kwamba kaharibu kwamba hajafanya lolote, basi hata ungemshukuru kwa kukuweka Ikulu na kukufanya ukubalike Geita.

Kwa miaka mitano wamekuwa wakisema hajafanya kitu. Kila siku wanasema vitu vyote kafanya Magufuli. Eti barabara kajenga Magufuli, Madaraja, Hospital, Shule na Maji nk kwamba Magufuli ndo kajenga. Hawana hata aibu.

Ni Kweli Rais Mstaafu Kikwete ana Mapungufu yake lakini aliacha Tanzania ikiwa Moja na amani. Hapakuwa na chuki za Kikabila, Kidini wala Kichama. Sasa hivi CCM na CHADEMA hawazikani. CCM inavibagua vyama vingine na kuviita vya Mabeberu, Wasaliti, Wachochezi na Kila jina baya. Kumbukeni vyama vyote vinaongozwa na Watanzania na Wanachama ni Watanzania.

Kipindi cha Kikwete alikuwa anakusanya Kodi kidogo Wastani wa Bil 800 hadi 900, lakini alikuwa anafanya Vitu vinaonekana. Mishahara ilikuwa ikiongezwa, Watu wanaajiliwa, Watu hawabambikiwi kesi za Uhujumu Uchumi, Watu walikuwa hawalipishwa Kodi ya kukomoa na mengine mengi tu.

Lakini Awamu ya Tano wanadai Wanakusanya Kodi Trilioni 1.2 hadi 1.8, Lakini Walichokifanya hakionekani. Tunasoma kwenye karatasi tu kwamba Viwanda 8,000 Shule zimejengwa na Barabara. Mwisho wa Siku unaona barabara ni zilezile za Kikwete alizojenga nyingine akatoka hazijaisha.

Kwa Miaka Mitano Magufuli hana kitu chake alichokuja nacho Mkoni au wazo lake la kututoa Watanzania Kwenye Umasikini. Kila anachojivunia ni Mawazo na Fikra za Watangulizi wake. Mfano;

1. Kuhamia Dodoma ni Idea ya Mwalimu Nyerere
2. Stiegler's Gorge ni Idea ya Nyerere
3. Flyover zote ni Idea za Jakaya Kikwete
4. TASAF ni Idea ya Mkapa
5. Umeme Vijijini REA ni Idea ya Kikwete nk.

Ila ambacho naona Kajitahidi Magufuli ni
1. Kuminya Uhuru wa Kutoa na Kupata habari
2. Vyama vinavyoshindana na CCM kuitwa vyama vya kiharifu na kwamba ni Wasaliti
3. Watu kutekwa na kupotea
4. Chuki miongoni mwa Watanzania(Hamna Umoja wa Kitaifa hata kwenye mambo ya Kitaifa(Mazishi ya Mkapa ni Mfano)
5. Bunge, Mahakama na Wanaamuliwa cha kufanya.

Dr. Magufuli bado anayo nafasi ya Kumuangukia Jakaya Kikwete ili ampe Ushauri na Support kwenye Uchaguzi huu. Vinginevyo Magufuli ataendelea Kufanya Ziara na Bonanza akidhani ndo Kampeni.
 
Salaam,

Wakuu, Huu mwenendo wa hiii CCM na Mgombea wake kutaka kumuangushia jumba bovu Kikwete, haikubariki. Na kwenye Kampeni za 2020, Msipomshirikisha, CCM itapata kura za aibu. Mtaishia kuiba kura ili kuficha aibu. Sasa mnamchafua Kikwete kwamba kaharibu kwamba hajafanya lolote, basi hata ungemshukuru kwa kukuweka Ikulu na kukufanya ukubalike Geita.

Kwa miaka mitano wamekuwa wakisema hajafanya kitu. Kila siku wanasema vitu vyote kafanya Magufuli. Eti barabara kajenga Magufuli, Madaraja, Hospital, Shule na Maji nk kwamba Magufuli ndo kajenga. Hawana hata aibu.

Ni Kweli Rais Mstaafu Kikwete ana Mapungufu yake lakini aliacha Tanzania ikiwa Moja na amani. Hapakuwa na chuki za Kikabila, Kidini wala Kichama. Sasa hivi CCM na CHADEMA hawazikani. CCM inavibagua vyama vingine na kuviita vya Mabeberu, Wasaliti, Wachochezi na Kila jina baya. Kumbukeni vyama vyote vinaongozwa na Watanzania na Wanachama ni Watanzania.

Kipindi cha Kikwete alikuwa anakusanya Kodi kidogo Wastani wa Bil 800 hadi 900, lakini alikuwa anafanya Vitu vinaonekana. Mishahara ilikuwa ikiongezwa, Watu wanaajiliwa, Watu hawabambikiwi kesi za Uhujumu Uchumi, Watu walikuwa hawalipishwa Kodi ya kukomoa na mengine mengi tu.

Lakini Awamu ya Tano wanadai Wanakusanya Kodi Trilioni 1.2 hadi 1.8, Lakini Walichokifanya hakionekani. Tunasoma kwenye karatasi tu kwamba Viwanda 8,000 Shule zimejengwa na Barabara. Mwisho wa Siku unaona barabara ni zilezile za Kikwete alizojenga nyingine akatoka hazijaisha.

Kwa Miaka Mitano Magufuli hana kitu chake alichokuja nacho Mkoni au wazo lake la kututoa Watanzania Kwenye Umasikini. Kila anachojivunia ni Mawazo na Fikra za Watangulizi wake. Mfano;

1. Kuhamia Dodoma ni Idea ya Mwalimu Nyerere
2. Stiegler's Gorge ni Idea ya Nyerere
3. Flyover zote ni Idea za Jakaya Kikwete
4. TASAF ni Idea ya Mkapa
5. Umeme Vijijini REA ni Idea ya Kikwete nk.

Ila ambacho naona Kajitahidi Magufuli ni
1. Kuminya Uhuru wa Kutoa na Kupata habari
2. Vyama vinavyoshindana na CCM kuitwa vyama vya kiharifu na kwamba ni Wasaliti
3. Watu kutekwa na kupotea
4. Chuki miongoni mwa Watanzania(Hamna Umoja wa Kitaifa hata kwenye mambo ya Kitaifa(Mazishi ya Mkapa ni Mfano)
5. Bunge, Mahakama na Wanaamuliwa cha kufanya.

Dr. Magufuli bado anayo nafasi ya Kumuangukia Jakaya Kikwete ili ampe Ushauri na Support kwenye Uchaguzi huu. Vinginevyo Magufuli ataendelea Kufanya Ziara na Bonanza akidhani ndo Kampeni.
TAL [emoji3581]
 
Mbona leo JK Alikua kwenye kampeni Bagamoyo na Mama Samia.
Naona CCM wameamua kugawana hawazunguki kwapamoja leo mama Samia alikua na JK Bagamoyo.
Kweli CCM inambinu nyingi, mbinu Za 2015 sio Za 2020.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Ni ngumu sana kujua Magufuli ni Mtu Wa namna gani...anaweza akaamka akawaambia kuwa "maendereo hayana chama" au "Mimi ni raisi Wa Watanzania wote na ninawapenda sana ndugu zangu au nasema uongo jamaniii!!"

sasa siku akiamka na maruhani kichwani utachoka mwenyewe kumsikiliza kwa pumba atakazotoa, yaani hapo CCM ndio chama cha maana vingine takataka, hapo Maendeleo yanakuwa na chama (yanawahusu wavaa nguo za kijani tu) vyama vingine vinakuwa mashetani...hebu angalia hiki kituko, Wazungu wakitupa misaada ya kifedha anawaita "Wahisani wetu wa maendereo hawa!"

At the same time haohao waliompa pesa wakimshauri au wakitoa takwimu zinazogusa maslahi yake anawaita "Mabhebheru hawa". Dah! Ni ngumu sana kujua huyu mtu kichwa chake kipoje.

Kama kweli kwake maendeleo hayana chama,

Ikungi aliwaambia nini vile walimchagua TAL?

Kilwa kwa Bungala aliwaambia nini kwa kuchagua UPINZANI?

Kibamba aliwajibu nini kupigia kwa Mbunge Mnyika kuhusu kuwavunjia nyumba zao ili hali Watu wa Mwanza wakiachwa bila kuvunjiwa nyumba zao "ETI NI WAPIGA KURA WAKE"

HAPO KWELI MAENDELEO HAYANA VYAMA?
 
1. Kuhamia Dodoma ni Idea ya Mwalimu Nyerere
2. Stiegler's Gorge ni Idea ya Nyerere
3. Flyover zote ni Idea za Jakaya Kikwete

Utelelezaji wa hizo idea kipi kilishindwa kwa wakati ule ufanyike sasa
 
Back
Top Bottom