Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Vijana wanakosa ajira na kudharaulika, Miaka 5 inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Vijana wanakosa ajira na kudharaulika, Miaka 5 inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Dkt. Magufuli: Vijana wanakosa ajira, Vijana wanadharaulika wengine wamemaliza kusoma hawapati ajira > Miaka 5 inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie kwa nguvu zote. Kama tumeweza kuupandisha uchumi, kujenga Fly-Over, siwezi kushindwa suala la ajira kwa Vijana

1602763244244.png
 
Alishindwa miaka mitano iliyopita,ataweza miaka mitano ijayo?Anawaza kununua ndege cash na kujenga Magufuli Stadium Dodoma. Halafu kwani hii miaka 5 inayomalizika Rais alikuwa nani?
Haikuwa kipaumbele meibii.....
 
Huu ndio unaitwa ULAGHAI hajawahi kuzungumzia maslahi ya waatumishi tangu ameanza kampeni.

Akichaguliwwa tena hana cha kupoteza atawanyoosha hadi mchakae. Si mnajua alivyo na visasi?? This time mtajuta.

Bora kumstaafisha mapema kwa manufaa ya Umma
 
Aache kutuhadaa, hapati kura zetu huyu...!
Magogoni harudi atapasikia tu!
 
Wameshashindwa miaka mitano. Hatudanganyiki.
Binadamu bwana kwahiyo kushidwa miaka Mitano kutoa Ajira basi ndio wameshindwa mazima ??

CHUKI zetu zisizidi AKILI zetu

Tupe Suggestions zako Wafanyaje nini ili kutoa Ajira kwa Vijana Maana wao wameshashindwa as you said
 
Back
Top Bottom