nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Wamezoea kujaribu kwa kila kitu mpaka kumpa mtu urais anapewa kwa makaribio bila kuwa na uhakika wa nini atafanya.Kwa nini unalazimisha iwe chuki watu wanapopinga utawala uliopo, kwa kutumia haki yao ya kikatiba?
Kwanini unasema ni chuki na si tofauti ya kisiasa tu?
Kwa nini iwe chuki na si tofauti ya kifalsafa tu?
Kwa nini iwe chuki na si tofauti ya ki mrengo tu?
Huoni kwamba kukimbilia kuona chuki kabla ya kujadili mambo kiuchumi, kisiasa na na kifalsafa kunakuonesha kwamba wewe ni mtu mwenye upeo mdogo katika mijadala hii?
Yaani akilala na kuamka lakumjia akilini ndilo hilohilo atalofanya as long as itakua ni mtaji kisiasa.
Hawana dira ya maendeleo wapo wapo tu. Hakuna plan za miaka hata 50. Yaani ujinga mtupu. Ndio maana unaona barabara zinajengwa alafu baada ya muda mfupi zinabomolewa either kwa kupanuliwa au kutengenezwa upya.
Ona jiji kubwa kama dar mvua ya siku moja imekua majanga. Alafu kuna watu wanajisifia.
Wameondoa fao la kujitoa watu wanahangaika.
Hali za watu zimekua ngumu mtaani wao wapo tu na maneno yao ya siasa