Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Sijui ndiyo siasa zile zile tuHatariiii!!!!!
Ila wanasiasa huwa hawaaminiki, tunawaacha tu watakavyoamuaIla hii kauri ya kibabe sana miaka 5 ijayo inaweza ikawa na neema kwa vijana wetu.
Alafu Tuone wataseme Nini tenaIla hii kauri ya kibabe sana miaka 5 ijayo inaweza ikawa na neema kwa vijana wetu.
Haikuwa kipaumbele meibii.....Alishindwa miaka mitano iliyopita,ataweza miaka mitano ijayo?Anawaza kununua ndege cash na kujenga Magufuli Stadium Dodoma. Halafu kwani hii miaka 5 inayomalizika Rais alikuwa nani?
Ndio wataweza wao Sindo Wenye Mamlaka Au utaweza wewe kutoa Ajira ?Alishindwa miaka mitano iliyopita,ataweza miaka mitano ijayo?Anawaza kununua ndege cash na kujenga Magufuli Stadium Dodoma. Halafu kwani hii miaka 5 inayomalizika Rais alikuwa nani?
Kwa sababu miaka 5 iliyopita(2015-2020) serikali ilikua chini ya TLP.Ila hii kauri ya kibabe sana miaka 5 ijayo inaweza ikawa na neema kwa vijana wetu.
Wameshashindwa miaka mitano. Hatudanganyiki.Ndio wataweza wao Sindo Wenye Mamlaka Au utaweza wewe kutoa Ajira ?
Umeona eeeh. Yaani watanzania wanadanganywa kijinga. Mtu anakiri kabisa kawadharau vijana. Still anasema eti miaka mitano ijayo bla bla.Kwa sababu miaka 5 iliyopita(2015-2020) serikali ilikua chini ya TLP.
Aaah ndiyo hivyo......Umeona eeeh. Yaani watanzania wanadanganywa kijinga. Mtu anakiri kabisa kawadharau vijana. Still anasema eti miaka mitano ijayo bla bla.
Unajua maana ya 'kipaumbele'Kwa sababu miaka 5 iliyopita(2015-2020) serikali ilikua chini ya TLP.
Ni kweli huko Magogoni hatumrudishi tutampeleka Ikulu Dodoma yalipo Makao Makuu ya nchi. Magogoni wabaki akina tlAache kutuhadaa, hapati kura zetu huyu...!
Magogoni harudi atapasikia tu!
Binadamu bwana kwahiyo kushidwa miaka Mitano kutoa Ajira basi ndio wameshindwa mazima ??Wameshashindwa miaka mitano. Hatudanganyiki.