Cha ajabu na wasomi wetu wataamini miujiza hio.Umeona eeeh. Yaani watanzania wanadanganywa kijinga. Mtu anakiri kabisa kawadharau vijana. Still anasema eti miaka mitano ijayo bla bla.
Lkn siyo uraisAlafu Tuone wataseme Nini tena
Mjinga Mpe cheo [emoji23]
Anataka tangible legacy. .... ajira watu watasahau. Maflyover yataishi milele😀😀Alishindwa miaka mitano iliyopita,ataweza miaka mitano ijayo?Anawaza kununua ndege cash na kujenga Magufuli Stadium Dodoma. Halafu kwani hii miaka 5 inayomalizika Rais alikuwa nani?
Kipaumbele si ndio kama hiki au?Unajua maana ya 'kipaumbele'
Hamna cha ajira. SGR hata Moro haijafika. Kwa strategy za Magufuli na SGR hawezi ajiri. Alishindwa miaka mitano,ijayo pia hataweza. SGR ingekuwa imeisha hapo sawa.Binadamu bwana kwahiyo kushidwa miaka Mitano kutoa Ajira basi ndio wameshindwa mazima ??
CHUKI zetu zisizidi AKILI zetu
Tupe Suggestions zako Wafanyaje nini ili kutoa Ajira kwa Vijana Maana wao wameshashindwa as you said
Worse thing kipaumbele bado hakijakamilika. SGR haijaisha na tuliambiwa ingeisha 2019.Unajua maana ya 'kipaumbele'
Kwa nini unalazimisha iwe chuki watu wanapopinga utawala uliopo, kwa kutumia haki yao ya kikatiba?Binadamu bwana kwahiyo kushidwa miaka Mitano kutoa Ajira basi ndio wameshindwa mazima ??
CHUKI zetu zisizidi AKILI zetu
Tupe Suggestions zako Wafanyaje nini ili kutoa Ajira kwa Vijana Maana wao wameshashindwa as you said
Mbona unarudia rudia Ulichosema Mwanzo Sawa JPM hataweza kuajiriHamna cha ajira. SGR hata Moro haijafika. Kwa strategy za Magufuli na SGR hawezi ajiri. Alishindwa miaka mitano,ijayo pia hataweza. SGR ingekuwa imeisha hapo sawa.
Kwanza kabisa serikali inatakiwa kuondoa ukiritimba katika biashara.Mbona unarudia rudia Ulichosema Mwanzo Sawa JPM hataweza kuajiri
Tupe ways basi Za kutoa Ajira kwa vijana
Hapana Hakuna Mahali Nimelazimisha CHUKI kuwa Ndio Sababu yao kupinga Utawala uliopo, yaani sikuonesha Msisitizo katika HiloKwa nini unalazimisha iwe chuki watu wanapopinga utawala uliopo, kwa kutumia haki yao ya kikatiba?
Unajua katika Maisha yangu Nimewahi kuchukia kitu/mtu kama ilivyo kwa watu wengine ikiwemo wewe, Na kwa Sababu hiyo Ndio Maana Nimesema CHUKI inaweza pia ikawa Sababu kwao kupinga Utawala huu Na CHUKI Wakati mwengine ndio inazalisha Tofaut ya kisiasaKwanini unasema ni chuki na si tofauti ya kisiasa tu?
Nakubali Hizo zote ni Sababu halisi zinazo sababisha watu kupinga Utawala, FALSAFA ni Shughuli tuu za kimawazo Au Aina pekee ya kimawazo Au Namna frani ya kufikiri Hivyo CHUKI haingii kwenye Mawazo iko kwenye Nafsi tuuKwa nini iwe chuki na si tofauti ya kifalsafa tu?
Unajua Wakat Mwingine Najaribu kuwauliza Opions zao watu wanaopinga Utawala ili kuona Mrengo wao katika Maswala, Lakini wao kushindwa kunanipa Opinions zao inahalalisha Mimi kusema Ni CHUKIKwa nini iwe chuki na si tofauti ya ki mrengo tu?
Kama unaposema kukimbilia You Mean Always, Basi Haup Sahihi Si desturi yangu kusema Ni CHUKI ni Leo tu Na ni baada ya kupata Uhalalisho huo kwa Single Member huyoHuoni kwamba kukimbilia kuona chuki kabla ya kujadili mambo kiuchumi, kisiasa na na kifalsafa kunakuonesha kwamba wewe ni mtu mwenye upeo mdogo katika mijadala hii?
Kwa hiyo unakataa maneno yako mwenyewe? Hukuandika habari za chuki?Hahahahh katika Post yangu yote Umevutiwa na Neno CHUKI tuu na Si dhima Nyingine
Hapana Hakuna Mahali Nimelazimisha CHUKI kuwa Ndio Sababu yao kupinga Utawala uliopo, yaani sikuonesha Msisitizo katika Hilo
Unajua katika Maisha yangu Nimewahi kuchukia kitu/mtu kama ilivyo kwa watu wengine ikiwemo wewe, Na kwa Sababu hiyo Ndio Maana Nimesema CHUKI inaweza pia ikawa Sababu kwao kupinga Utawala huu Na CHUKI Wakati mwengine ndio inazalisha Tofaut ya kisiasa
Nakubali Hizo zote ni Sababu halisi zinazo sababisha watu kupinga Utawala, FALSAFA ni Shughuli tuu za kimawazo Au Aina pekee ya kimawazo Au Namna frani ya kufikiri Hivyo CHUKI haingii kwenye Mawazo iko kwenye Nafsi tuu
Unajua Wakat Mwingine Najaribu kuwauliza Opions zao watu wanaopinga Utawala ili kuona Mrengo wao katika Maswala, Lakini wao kushindwa kunanipa Opinions zao inahalalisha Mimi kusema Ni CHUKI
Kama unaposema kukimbilia You Mean Always, Basi Haup Sahihi Si desturi yangu kusema Ni CHUKI ni Leo tu Na ni baada ya kupata Uhalalisho huo kwa Single Member huyo
Kwanza kabisa serikali inatakiwa kuondoa ukiritimba katika biashara.
Kuondoa milolongo ya kodi na vibali.
Pili serikali inatakiwa kujitoa kwenye biashara za white elephant projects kama kununua midege mikubwa ambayo kuiendesha gaharama yake ni kubwa sana na sekta binafsi ilishaanza kujiweka vizuri kuendesha biashara ya ndege.
Serikali inatakiwa kutumia nafasi yake kuwezesha vijana kufanya biashara ndogondogo na za kati zitakazoongeza mzunguko wa fedha na kuzalisha zaidi, siyo kufungia pesa nyingi katika white elephant projects ambazo hazifanyiwi hata audits wala kufuata tender process. Hili ni chaka la ufisadi mamboleo tu.
Tatu serikali inatakiwa kuwa na muelekeo. Sio mara inajitoa katika biashara na kuuza nyumba za umma. Mara inajirudisha katika biashara na kununua ndege na kuingilia biashara ya korosho.
Serikali ya Magufuli imeangusha mapato ya kilimo kutoka nje kwa silimia 55 mwaka ulioishia September 2019. Kwa kiasi kikubwa jwa sababu ya kuingikia biashara ya korosho. Ripoti ya Bank of Tanzania ndiyo imesema hilo.
Nne, serikali iache kuingilia mzunguko wa fedhs kwa makusudi na kulazimisha taasisi zake zifanye banking wapi kwa nia ya kuhodhi fedha za umma. Taasisi za umma zipewe uhuru wa kufanya biashara popote penye tija na ufanisi.
Tano, ajira zitolewe kwa watu wenye uwezo. Sio watu wenye connection.
Tano, rais aache kusema maneno ovyo ovyo. Ana undermine uchumi wa nchi. Watu wengine wakiona nchi ina rais msema ovyo hawawekezi kwenye nchi hiyo. Mambo mengine tukijipanga kidogo tu kwenye Public Relations and Messaging, mengine yatatengemaa.
Sita, rais aache kujifungia ndani kama mwali na kukataza watu kusafiri. Rais ana kazi ya kuwakilisha nchi ndani na nje ya nchi. Kujifungia ndani anatukosesha fursa nyingi za biashara na kujumuika kimataifa.
Saba, serikali inabidi ijikite katika research and develooment kuqnzia mambi ya uchumi mpaka sayansi. Kwa sasa mambo yanaenda kisiasa zaidi bila kujali uchumi wala sayansi.
Nane, serikali inabidi ijikite kutumia vizuri zaidi rasilimqli zetu za ndani. Fiscal policy itumike kuchochea maendeleo. Mifuko ya oensheni itumike kwenye shughuli zenye maendeleo ya kiuchuni na si kisiasa kama sasa. VAT itumike vizuri kwenye diatribution impact. Incentives na sera ziwekwe kuwndeleza na kupata kodi sahihi kutoka sekatq isiyo rasmi.
Tisa, sera ya taifa kuhusu extractives ijikite kuwa rafiki kwa mazingira na endelevu zaidi ili kuchangia uwezo wa kujiondoa katika a "rent seeking economy". Kuna migodi kama Buzwagi huko madini yashaisha yamebaki mashimo tu. Pia inqbidi tuwe business friendly zaidi, serikali isione wawekezaji maadui, ika walipe kodi na kudhibitiwa wasituibie. Kwa sasa wawekezaji ni kama maadui.
Kumi, land reform. Ni wakati sasa tuondokqne na habari za Ujamaa za serikali kumiliki ardhi na kukodisha watu. Hii ni moja ya sababu wawekezaji serious hawataki kuwekeza Tanzania. Utawekezaje kilimo cha mashambq makubwa na kutia ajira kwa watu kama simu yoyote serikali inaweza kutaifisha ardhi yako kwa kisingizio chochote bila hata malipo?
Bonus point.
Miradi ya kijilingajinga ya kisiasa kama kuhamisha mji mkuu kwenda Dodoma, ambayo sio tu haina ufanisi wa kiuchumi, bali pia ina gharama kubwa, itupiliwe mbali.
Naweza kuandika point mia kama hizi. Na hizi sijaandika kwa order ya umuhimu.
Ila kwa keo niishie hapa.
Kwa hiyo unakataa maneno yako mwenyewe? Hukuandika habari za chuki?
Yani unajamba hadharani, halafu mtu anakuuliza mbona umejamba hadharani hapa, unajitetea na kusema kwamba "mbona unaona nimejamba tu hujaona nimepaka marashi pia?".
Huo ni utetezi au unakubali kosa umejamba?
Nimeanza mwanzo tu kabla sijafika mbali.Mbona unaleta UBISHI WA KITOTO
Nimekujibu Maswali According na ulivyo kipengele kwa kipengele ungeniuliza Jumla Jumla I could do it so
Kama umeshindwa kujibu Ungeacha
Ndio ni UTETEZI kwani uliniuliza ili NIKUBALI ?? [emoji28]