Wamezoea kujaribu kwa kila kitu mpaka kumpa mtu urais anapewa kwa makaribio bila kuwa na uhakika wa nini atafanya.Kwa nini unalazimisha iwe chuki watu wanapopinga utawala uliopo, kwa kutumia haki yao ya kikatiba?
Kwanini unasema ni chuki na si tofauti ya kisiasa tu?
Kwa nini iwe chuki na si tofauti ya kifalsafa tu?
Kwa nini iwe chuki na si tofauti ya ki mrengo tu?
Huoni kwamba kukimbilia kuona chuki kabla ya kujadili mambo kiuchumi, kisiasa na na kifalsafa kunakuonesha kwamba wewe ni mtu mwenye upeo mdogo katika mijadala hii?
Bora hata usingeandika tu..umedhihirisha ulivyo mweupe kichwani.You are very good Writer My Friend
I wish i could have that ability too, Am not good writer or Speaker. I speak and Write good in my mind
Anyway, Of Course Umeandika Mambo ya Msingi Sana ila sio yote Mfano hilo la Dodoma, Huo Sio mradi wa kijingajinga kama usemavyo Bali Ni maswala ya Kiusalama Zaidi
Pia Swala la Serikali kutumia Rasilimali vizuri mbona wanajitahidi sana tukianza na Utalii, Upande huu wamefanya jitihada Nyingi ikiwemo Kufungua channel ya Safari inayo tumika kuhamasisha Utalii ndani na nje ya nchi Hata hivyo Mapato yameongezeka Takwimu nimesahau
Swala la kuona Wawekezaji Maadui nimelisikia kwako. Leo tuu Serikali imepokea Gawio kwenye Setka ya Madini na imeto hamasa kwa watu kwenda kuwekeza sio wa Nje tuu na Hata Sisi wazawa,Sijajua Uadui gani unazungumzia
Serikali na Wawekezaji
Kama nilivyosema hapo Mwanzo Mimi Si MwandishI wala Muongeaji Mzuri, Kuna Mambo mengine nafikilia kwa kina Sana
Unajua Sisi Africa Tumechelewa Sana kupata Maendeleo, Dunia kuanzia karne ya 19 kurudi Nyuma ni Tofaut Sana na Dunia katikati Mwa karne ya 20 kuja juu Sisi Africa wengi tumepata Uhuru at the mid of 20 century, Hivyo basi mchakato katika kuyafikia Maendeleo Ni Lazima Sana uwe tofauti na ule wa miaka ile Sio kwamba Africans Hatuna Akili Lahasha mchakato wetu sisi sio smooth, and it can't be Smooth hivyo Sometimes i do think hatuna budi kukubali hali hizi kufikia Mrengo
Hapakua na Facebook, twitter Au simply hapakua na internet. INTERNET imeguduliwa miaka ya 1960 Na tena imetumika miaka firstly around 1980
Unajua nachotaka kusema ni kwamba kile kikwazo walichokua wanakipata These First world Countries in their Processes is almost Negligible na Sio kwamba walikua hawakosei in their Hustle they do make mistakes imagine Trump is 45th US president
Leo hii Wangapi wanaingia Jamii forum, Twitter etc kuikosea Serikali na Wana ambukiza wangapi ??...Do you think it will end kwa Magufuli Pekee Wewe huoni Hata akija Lissu tutapata Kiggo2014 Mwengine, tutapata zzk Mwengine, kina kiranga wengine Na nk nk .Na Always Negativity ina attracts More than Positivity, Na hayo ndio yatakua Maisha yetu Hence it's So hard kupata Maendeleo
MAGU2020[emoji3]
Being Positively is the Key
Ajira kama zina tija zinaweza kutengeneza flyover kadhaa kila mwezi.Kwa taarifa tu ajira huwezi kulinganisha na vitu vidogo kama flyover kwani baada ya kuajiri ni miezi miwili tu unakuwa umelipa mishahara ya zaid ya garama ya flyover kwaio hapo tunadanganywa tu!
Mtu kaandika chuki.Wamezoea kujaribu kwa kila kitu mpaka kumpa mtu urais anapewa kwa makaribio bila kuwa na uhakika wa nini atafanya.
Yaani akilala na kuamka lakumjia akilini ndilo hilohilo atalofanya as long as itakua ni mtaji kisiasa.
Hawana dira ya maendeleo wapo wapo tu. Hakuna plan za miaka hata 50. Yaani ujinga mtupu. Ndio maana unaona barabara zinajengwa alafu baada ya muda mfupi zinabomolewa either kwa kupanuliwa au kutengenezwa upya.
Ona jiji kubwa kama dar mvua ya siku moja imekua majanga. Alafu kuna watu wanajisifia.
Wameondoa fao la kujitoa watu wanahangaika.
Hali za watu zimekua ngumu mtaani wao wapo tu na maneno yao ya siasa
Magufuli is a country bumpkin.You are very good Writer My Friend
I wish i could have that ability too, Am not good writer or Speaker. I speak and Write good in my mind
Anyway, Of Course Umeandika Mambo ya Msingi Sana ila sio yote Mfano hilo la Dodoma, Huo Sio mradi wa kijingajinga kama usemavyo Bali Ni maswala ya Kiusalama Zaidi
Pia Swala la Serikali kutumia Rasilimali vizuri mbona wanajitahidi sana tukianza na Utalii, Upande huu wamefanya jitihada Nyingi ikiwemo Kufungua channel ya Safari inayo tumika kuhamasisha Utalii ndani na nje ya nchi Hata hivyo Mapato yameongezeka Takwimu nimesahau
Swala la kuona Wawekezaji Maadui nimelisikia kwako. Leo tuu Serikali imepokea Gawio kwenye Setka ya Madini na imeto hamasa kwa watu kwenda kuwekeza sio wa Nje tuu na Hata Sisi wazawa,Sijajua Uadui gani unazungumzia
Serikali na Wawekezaji
Kama nilivyosema hapo Mwanzo Mimi Si MwandishI wala Muongeaji Mzuri, Kuna Mambo mengine nafikilia kwa kina Sana
Unajua Sisi Africa Tumechelewa Sana kupata Maendeleo, Dunia kuanzia karne ya 19 kurudi Nyuma ni Tofaut Sana na Dunia katikati Mwa karne ya 20 kuja juu Sisi Africa wengi tumepata Uhuru at the mid of 20 century, Hivyo basi mchakato katika kuyafikia Maendeleo Ni Lazima Sana uwe tofauti na ule wa miaka ile Sio kwamba Africans Hatuna Akili Lahasha mchakato wetu sisi sio smooth, and it can't be Smooth hivyo Sometimes i do think hatuna budi kukubali hali hizi kufikia Mrengo
Hapakua na Facebook, twitter Au simply hapakua na internet. INTERNET imeguduliwa miaka ya 1960 Na tena imetumika miaka firstly around 1980
Unajua nachotaka kusema ni kwamba kile kikwazo walichokua wanakipata These First world Countries in their Processes is almost Negligible na Sio kwamba walikua hawakosei in their Hustle they do make mistakes imagine Trump is 45th US president
Leo hii Wangapi wanaingia Jamii forum, Twitter etc kuikosea Serikali na Wana ambukiza wangapi ??...Do you think it will end kwa Magufuli Pekee Wewe huoni Hata akija Lissu tutapata Kiggo2014 Mwengine, tutapata zzk Mwengine, kina kiranga wengine Na nk nk .Na Always Negativity ina attracts More than Positivity, Na hayo ndio yatakua Maisha yetu Hence it's So hard kupata Maendeleo
MAGU2020[emoji3]
Being Positively is the Key
Alishindwa miaka mitano iliyopita,ataweza miaka mitano ijayo?Anawaza kununua ndege cash na kujenga Magufuli Stadium Dodoma. Halafu kwani hii miaka 5 inayomalizika Rais alikuwa nani?
Kwa hiyo ajira zinatolewa kimamlaka sio?!Ndio wataweza wao Sindo Wenye Mamlaka Au utaweza wewe kutoa Ajira ?
He is a totally failure...Binadamu bwana kwahiyo kushidwa miaka Mitano kutoa Ajira basi ndio wameshindwa mazima ??
CHUKI zetu zisizidi AKILI zetu
Tupe Suggestions zako Wafanyaje nini ili kutoa Ajira kwa Vijana Maana wao wameshashindwa as you said
Hakuna habari ya suggestions hapa, ni kukabidhi madaraka kwa wengine. Imekaa miaka 60 kwenye utawala unasubiri suggestions kutoka kwa wapinzani? Waache wapinzani wafanye wenyewe.Binadamu bwana kwahiyo kushidwa miaka Mitano kutoa Ajira basi ndio wameshindwa mazima ??
CHUKI zetu zisizidi AKILI zetu
Tupe Suggestions zako Wafanyaje nini ili kutoa Ajira kwa Vijana Maana wao wameshashindwa as you said
Huyu akishinda wafanyakazi wasahau kuongezwa mishara. Wala ajira mpya vijana wasahau. Li SGR halijaisha. Hicho kipande tu walisema kitaisha 2019 bado hakijaisha,ukiongeza na wanataka iende mpaka Mwanza ndo kuisha mpaka miaka 20. Wapambe watakuja na issue ya tumuongeze muda ili amalizie SGR.Kubalance ni ngumu maana yeye lengo lake ni kumaliza SGR kwa haraka. Hajui hata Rome haikujengwa kwa miaka 10.Ukweli mkuu, angeweza kubalance mambo, sio anaenda extreme kununua mandege sijui ziko ngapi najua ni nyingi, huku vijana wanadoda, while angeweza kununua chache huku akilishughulikia swala la ajira, i bet in the next five years ataenda again extreme ai invest kwenye ajira, huku mambo mengine yanadoda, ningekua mshauri wake ningemwambia afanye ku balance mambo..hata chumvi , sukari ukizidisha ni kero...
Hakuna habari ya suggestions hapa, ni kukabidhi madaraka kwa wengine. Imekaa miaka 60 kwenye utawala unasubiri suggestions kutoka kwa wapinzani? Waache wapinzani wafanye wenyewe.
He is a totally failure...
Kwa hiyo ajira zinatolewa kimamlaka sio?!
Magufuli is a country bumpkin.
Ndiyo maana mpaka leo ana objectify wanawake na kupapatikia wanawake weupe kishamba.
Badala ya kuunganisha wananchi wake, anawagawa kwa rangi.
Usipoona hilo, na wewe ni mshamba kama yeye.
Bisha.
Mtu kaandika chuki.
Namuuliza kwa nini umeandika kuhusu chuki, kwa nini hizi zisiwe tofauti za kisiasa tu?
Mpaka sasa sijaona jibu.
Bora hata usingeandika tu..umedhihirisha ulivyo mweupe kichwani.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nimeanza mwanzo tu kabla sijafika mbali.
Sitakiwi kukupeleka kwenye Euler-Riemann Zeta functions kabla hujajua alphabet ni nini.
Nisije kufika mbali kumbe mwenzangu mbumbumbu wahedi.
Hukuandika habari za chuki?
Unakataa maneno yako mwenyewe?
Hilo ni Joto tu uchaguzi. Huyo Joka 🐍 ana roho mbayaaaaa.Hatariiii!!!!!
Nimeipenda.!Ukweli mkuu, angeweza kubalance mambo, sio anaenda extreme kununua mandege sijui ziko ngapi najua ni nyingi, huku vijana wanadoda, while angeweza kununua chache huku akilishughulikia swala la ajira, i bet in the next five years ataenda again extreme ai invest kwenye ajira, huku mambo mengine yanadoda, ningekua mshauri wake ningemwambia afanye ku balance mambo..hata chumvi , sukari ukizidisha ni kero...
njoo tucheze kamari Mimi nipo upande wa Magufuli, kwamba atashinda tuweke milioni moja moja.Umeona eeeh. Yaani watanzania wanadanganywa kijinga. Mtu anakiri kabisa kawadharau vijana. Still anasema eti miaka mitano ijayo bla bla.