Uchaguzi 2020 Dkt. Mahera: Kuna watu wana chokochoko, wasimamizi wa uchaguzi fuateni sheria kuepuka shari

Tangu nione ile clip huyu mjamaa akifokewa na Muro Jerry dah nimemdharau sana.
Anyhow watu tukutane 28 October
 

Mwanzoni walikuwa wanasema ni 80,000+, ila sasa vimeongezeka! Kuna uwezekano wa Magufuli kushinda kwa margin ndogo kulingana na mazingara, hasa ya muundo wa katiba yetu, na hizo ni chini ya 60%, ila kosa kubwa ni kulazimisha kushinda kwa zaidi ya 80% ili kusaka sifa za kijinga. Jambo hili litaleta hatari kubwa. Labda wananchi waendeleze ukondoo wetu watanzania uliovalishwa koti liitwalo amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…