Uchaguzi 2020 Dkt. Mahera: Kuna watu wana chokochoko, wasimamizi wa uchaguzi fuateni sheria kuepuka shari

vituo hewa v
 
Asante. Sio kwamba wanawapotezea muda tuu, bali naona ni mkakati wawapangie mawakala waupinzani maeneo ya mbali ambako watashindwa kufika kwa wakati au kutofika kabisa, ili wafanikishe nia yao ovu ya kuibeba ccm. Kwa nini tume ambayo haijui makazi ya hawa mawkala ndio iwapangie vituo badala ya vyama kuwapanga vyenyewe?
 

Huyu bwana Manoti kwa mustakabala mwema wa hii nchi angepumzika tu.

Wameshindwa kukemea lolote walilokiuka mabwana wale. Wameengua wagombea wa upande mmoja na kwa sababu zisizokuwa na mashiko.

Kuna hata yule wa njombe ambaye ni convicted kwa rushwa mahakamani ambaye pamoja na kulalamikiwa kina Manoti walimsafisha.

La maana katika yote aliyosema ni kutambua kuwa safari hii ni tofauti sana pana hatari kubwa iliyopo mbele.

"Ibeni uchaguzi tutasimuliana sana na kwa vizazi vingi vijavyo."
 
Maalim Seif Sharif Hamad:Tundu Lissu ni Mtu jasiri sana sisi Wazanzibari hatuna Wasiwasi na Tundu Lissu
 
Anatengeneza mazingira ya visingizio vya kuiba kura kufanya uchakachuaji
 
kabla ya hapo walisema vipo 88,000... vinapungua tu siku hadi siku...
 
CCM

mmedhulumu haki za watu kuishi. Wapi Ben Saanane? Chama kinanuka damu za watu wasio na hatia bado mnasema nchi hii kuna haki. Unajua haki ni Nini?
Tanzania hakuna haki na hakuna Amani bali kuna uvumilivu tu, CCM kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani ni uvunjifu wa Amani lakini watu wanavumilia na sasa uvumilivu unaenda mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…