Uchaguzi 2020 Dkt. Mahera: Kuna watu wana chokochoko, wasimamizi wa uchaguzi fuateni sheria kuepuka shari

Huyo chaijaba alipoteza imani ile siku amempigia kampeni mgombea wa CCM
 
Hadi leo walio omba nafasi na kufanyiwa usaili tar 6/7.10.2020 Uwanja wa Mkapa hadi leo hawajatoa majina ya waliopita kwenye usaili, manispaa ya Temeke wamekaa kimya, wamekwana nini?
 
Hili zwazwa la NEC vipi?
 
Umbali wa kusubr matokeo ni mita 200 yaani viwanja 2 vya mpira.wanaorudi nyumbn kusubr acha warudi ila mimi pamoj na jamaa zangu kuanzia kesho naenda kituo changu cha kupigia kura na hesabu mita 200 naweka alama ili siku hiyo nisipateshida ya kuanza kuhesabu mita.
 
Ivi huyo mahela anaishi uraiani au mbinguni? Kama yupo uraiani atende haki laasivyo ukizurumu sauti ya mtanzania tutakufanya ipasavyo mshenzi wa ngozi ww msitake kutufanya wa pumbavu taifa zima
 
Nakuunga mkono kiongozi wangu! Tutakaa mita 200 huku macho yote kituoni kwa ajili ya kuona nani ataingia kwenye kituo cha kupigia kura ambaye hahusiki. Tumeshaambiwa kuwa watu wa serikali hawaruhusiwi kuingia kituoni tofauti na wale wasimimizi wa uchaguzi kwenye kituo husika. Mkuu wa wilaya atakayejipitisha kwenye vituo huyo ni halali yetu atakuwa anatutafuta maneno lazima tumpatie hayo maneno!
 


NILETEENI HAKI, NILETEENI HAKI, NILETEENI HAKI, NILETEENI HAKI.

HAKI IKITENDEKA, HAKUNA MWENYE CHOKOCHOKO.

NANI ANAPENDA CHOKOCHOKO?
 
Dr. Mahera, kuna Mgombea ametoa RUSHWA ya shs. 100,000,000/= leo kule HEDARU.

Unataka USHAHIDI GANI KUMFUNGIA KUSHIRIKI UCHAGUZI HUYO MGOMBEA?

DR. MAHERA TULETEE HAKI, TULETEE HAKI, TULETEE HAKI, TULETEE HAKI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…