Dkt. Manguruwe anyooshewa kidole akidaiwa kufanya utapeli kwa baadhi ya wateja walioitikia kuwekeza kwenye kampuni yake

USIPOJIFUNZA KWA KUSIKIA,
UTAJIFUNZA KWA KUONA (MATOKEO).

Walianza na KUKU, sasa NGURUWE, unakuja mradi wa MBUZI
Bila kuwasahau wale JATU, eti ww unawapa hela wao wanakulimia na kukupa faida. Yaani ww ulale tu nyumbani mtu mwingine akufanyie kaziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Last week wakati naona video ya Dotto magari akiwa kijiji cha nguruwe nilikomenti kuwa biashara ile ni ya kitapeli.
Watanzania tutumie akili vizuri hata kama IQ zetu ni tia maji tia maji
Kwa hiyo dotto magari,akiwahamasisha watu na watu wanajaa kweli πŸ˜„

Ova
 
Hivi watu hawajifunzi kwa tapeli Mr Manguruwe? Kwani ni mara ya kwanza kufanya utapeli? Huu mradi wa nguruwe ni kama utapeli wake watatu ,anafanya anapiga watu MPUNGA anasepa anaenda kuanzisha mradi mwingine mazombie yanajaa tena anapiga MSHINDO anasepa ,anaanzisha mradi mwingine anawaingiza 18 anasepa na Kijiji tena lakini watu hawastuki sijui binaadamu tuna ubongo wa kuku?
 
Nchi hii ina wajinga wengi,Acha awapige tu hao watu ni manguruwe tu
Maana hawasiki

Ova
Nilikuwa natafuta comment yako kama ningeikosa ningekutag.

Nakazia tu acha wapigwe hao nguruwe na Manguruwe.
 
🀣🀣🀣🀣Wajinga ndo waliwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…