Dkt. Maria Josephine Atunukiwa Shahada ya Heshima na Kikwete UDSM - Kazi na Utu

Dkt. Maria Josephine Atunukiwa Shahada ya Heshima na Kikwete UDSM - Kazi na Utu

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
34,781
Reaction score
94,550
Dkt. Maria Josephine Kamm ambaye ni Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Taasisi ya Mama Clementina, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutokana na mchango wake katika kuinua sekta ya Elimu hasa kuanzisha shule za wasichana katika mikoa ya Kilimanjaro, Iringa na Njombe.

Dr. Maria ametunukiwa tuzo hiyo leo Jumanne Nov 18,2025 na Mkuu wa chuo, Jakaya Kikwete ambaye ni Rais Mstaafu, katika mahafali ya 55 (Duru ya pili) yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Screenshot 2025-11-18 171957.png
Screenshot 2025-11-18 172028.png
 
Back
Top Bottom