Dkt. Mashinji: Huwezi ukawatofautisha Serikali, Mahakama na Bunge. Hata Mbinguni kuna Baba, Mwana na roho lakini maamuzi ni yaleyale

"When the grass is cut, the snakes will show"

Jay-Z "The Blueprint 2".



Jay-Z on Primo on Morricone.
 
Unadhalilisha "pHd" kwa ujumla wake.

Ukitoka msalani, tawatha kwanza, inonekana wewe huna huo utaratibu ndio maana una-hara barabarani.
 
Watoto wangekuwa na option ya kuchagua wazaliwe na nani, kuna watu wasingepata uzao.
 
Huwa siwaamini kabisa hawa wahamiaji kutoka Chadema!
 
Ndiyo vijana wa CHADEMA wanamuimbia mapambio hiyu wakimsifu kwamba ni Katibu Mkuu wa Chama cha siasa msomi kuliko wote duniani?
 
Mkuu husifikiri mwanasiasa yeyote yupo kwa ajili ya watu au kutetea Maslai ya Taifa. Wote wapo kwa ajili ya Utawa tu. Mwanasiasa anataka madaraka tu hana chochote hata hao kina Lisu wanaosema haki ya watu au maendeleo ya watu wanahitaji utawala tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…