Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Kumbe mange alitikisaga toka zamani,sio mchezo nimejua juzi tu kwenye mainstergram....hebu endeleeni kutufungua macho wazee..
Mange ni born town kitambo wadada wa mjini anawajua kindakindaki tuuu
 
Kabisa Mange angetulia angekula mema ya nchi, Mange alifanya kazi Stanbic Bank, akatoka akaenda Dubai akapata kazi Bank huko huko Dubai, akafanya kazi mpka alipokuja kuacha Benki na kufanya kazi kampuni moja na baba Kenzo, mange ameharibika na mashauzi tu, na akiachwa ndio kichwa kinakuwa fyatu haswa maana anapenda sana ku show off bwana na magari mazuri.
 
Hivi kabla ya kuolewa na mzungu mange alikuwa na ishu gani ya maana ya kumpa umaarufu
 
Hivi kuna mtu amekula bata awamu ya kwanza?
acha nikuibie siri.
hii ni zamu ya kikundi kidogo cha watoto wa matajiri wa kiarabu(siwezi kuwataja).

hawa jamaa baba zao walishatengeneza pesa toka enzi za utawala wa mzee ruksa. kwa sasa wao ndio wasimamizi wakuu wa business empire zilizoanzishwa na baba zao.

hawa jamaa wanakula bata sana, ila kutokana na kwamba wengi wao wamelelewa katika misingi ya imani ya kidini, huwezi kuona wakifanya show off kwenye mitandao ya kijamii. wana hofu ya kuharibu reputation ya majina ya wazazi wao.

bata zao hawazifanyii maeneo ya mijini, bali wanazifanyia kweye vitalu vya uwindaji wanavyovimiliki huko selous game reserve na maeneo mengine nchini.

halafu ni nadra sana kuwakuta wakila bata na wadada maarufu wa mujini. wao huwa wana-import makahaba wa kimataifa toka morocco, brazil, spain na kujificha nao huko maporini mbugani wakila raha za dunia.

NB: awamu ya kwanza sina taarifa nayo.
 
Mbona kama ulichojibu ni tofauti na alichouliza?
 
Kwa kweli, kuna kesi moja aligonga gari, alipokamatwa na traffic alipiga simu akaambiwa nipe huyo askari niongee nae.

Masikini yule Askari sijui aliambiwa nini, lakini alivyofika nyumbani alijiua.
Seriously

Basi dude was untouchable
Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…