Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Weeee. Mange katikisa sana. Na wao walikua na kundi lao kama walivyo kina Jack na Faraja sasa hivi.
Na kundi lake karibu wote sasa hivi akijiskia kuwachamba anawachambaaaaaa maana sio mashoga zake tena alishagombana nao
Mmoja tu hakugombana nae.yule alieolewa na mzungu mzee. Kibabu kishajifia. Nakumbuka enzi za u turn mange aliweka picha ya shost wake na kibabu chake. Kwenye comment watu wakawa wana guna tu
 
Hivi kabla ya kuolewa na mzungu mange alikuwa na ishu gani ya maana ya kumpa umaarufu
Mange ni born town wa ushuani ambaye alikuwa sana kwenye showbiz ya bongo haswa kutengeneza shows. Kingine alikuwa ana influence kwenye miss Tanzania na ndio maana Nancy Sumari na Wema sepetu ni product zake.
Kuwa kwake kwenye showbiz kulimpelekea ku hangout na mastar wengi wa enzi hizo na ndio maana hata baba wa mwanae ni Frank Koga (muuza sura wa kideo cha machozi by jide). Usisahau alikuwa katika kampani ya wadada classic kama mwamvita na ile blog yake ya U-turn ambayo ilikuwa maarufu kipindi cha blogs kabla ya hizi social medias.

Duuhh na mimi leo nimekuwa mdaku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mmoja tu hakugombana nae.yule alieolewa na mzungu mzee. Kibabu kishajifia. Nakumbuka enzi za u turn mange aliweka picha ya shost wake na kibabu chake. Kwenye comment watu wakawa wana guna tu
Killy J, now kapata kibabu kingine, nae akatoa darasa watu wakitaka mzungu waende hotel kubwa" even for break fast' kudanga kupo locay na internationally..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa mabinti pia niliwaona kwenye list ililetwa humu ya mabinti waliohongwa pesa na kupitiwa na mzee mmoja aliwa mkurugenzi wa utawala na utumishi Benk kuu.Hili lina ukweli au walizushiwa tu?
Late gavana
 
Mmoja tu hakugombana nae.yule alieolewa na mzungu mzee. Kibabu kishajifia. Nakumbuka enzi za u turn mange aliweka picha ya shost wake na kibabu chake. Kwenye comment watu wakawa wana guna tu
Nishammanya.. sema nimemsahau jina. Na anapenda kumsifia sana. Somebody Adeline sijui yule
 
acha nikuibie siri.
hii ni zamu ya kikundi kidogo cha watoto wa matajiri wa kiarabu(siwezi kuwataja).

hawa jamaa baba zao walishatengeneza pesa toka enzi za utawala wa mzee ruksa. kwa sasa wao ndio wasimamizi wakuu wa business empire zilizoanzishwa na baba zao.

hawa jamaa wanakula bata sana, ila kutokana na kwamba wengi wao wamelelewa katika misingi ya imani ya kidini, huwezi kuona wakifanya show off kwenye kurasa zao za kijamii. wana hofu ya kuharibu reputation ya majina ya wazazi wao.

bata zao hawazifanyii maeneo ya mijini, bali wanazifanyia kweye vitalu vya uwandaji wanavyovimiliki huko selous game reserve na maeneo mengine nchini.

halafu ni nadra sana kuwakuta wakila bata na wadada maarufuku wa mujini. wao huwa wanawa-import makahaba wa kimataifa toka nchi kama morocco, brazil, spain na kujificha nao huko maporini mbugani wakila raha za dunia.

NB: awamu ya kwanza sina taarifa nayo.
Mmojawapo ni yusuphu bakhresa
 
fact!!!
 
Mange ni born town wa ushuani ambaye alikuwa sana kwenye showbiz ya bongo haswa kutengeneza shows. Kingine alikuwa ana influence kwenye miss Tanzania na ndio maana Nancy Sumari na Wema sepetu ni product zake.
Kuwa kwake kwenye showbiz kulimpelekea ku hangout na mastar wengi wa enzi hizo na ndio maana hata baba wa mwanae ni Frank Koga (muuza sura wa kideo cha machozi by jide). Usisahau alikuwa katika kampani ya wadada classic kama mwamvita na ile blog yake ya U-turn ambayo ilikuwa maarufu kipindi cha blogs kabla ya hizi social medias.

Duuhh na mimi leo nimekuwa mdaku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3] ahsante kwa kunijuza
 
Back
Top Bottom