Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Tafuta pesa acha umbea kwa non nonsense, unamjadili negatively mtu kama Bahkresa, Mo, and a like inakusaidia nini? Hivi Mungu waswahili tulimkosea nini kutuumba na roho zinazopenda negativity kwa wengine?, Tena hasa waliofanikiwa!
Kichwa maji , hujaelewa kitu ila unakimbia kureply ushuzi tu , unajua Kinje ni nani ?
 
Irene yuko makini kutakmaisha ya juu, sasa hivi katulia kwa sababu amepata bwana mwenye hela ya ufusadi wa baba ake, wale hawataki maisha ya kupima mkaa kwa Dula, wala kwenda gengeni kwa mama Juma mkuu, Irene nadhani kapita mlimani chuo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa mabinti pia niliwaona kwenye list ililetwa humu ya mabinti waliohongwa pesa na kupitiwa na mzee mmoja aliwa mkurugenzi wa utawala na utumishi Benk kuu.Hili lina ukweli au walizushiwa tu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa mabinti pia niliwaona kwenye list ililetwa humu ya mabinti waliohongwa pesa na kupitiwa na mzee mmoja aliwa mkurugenzi wa utawala na utumishi Benk kuu.Hili lina ukweli au walizushiwa tu?
Mzee yule nae alikuwa mtata, sina uhakika kama alipita ilikuwa fyaaaaa....hakuweka kambi hata ya wiki.
 
Sawa...lakini nini kinamfanya ye kuwa maarufu kiwango hiko

May be ni msanii, o mfanyabiashara mkubwa, au kiongozi wa serikali au CEO wa likampuni flani likubwa
Alikuwa ana pesa sana, mfanyabiashara maarufu, ( biashara) ilikuwa haijulikanai ila ilikuja julikana baadae kuwa ni semba, alkikuwa na hela ya kustarehe popote anapotaka, alikuwa mjeuri na kibri mbaya..
 
Sio pale karibia na Orthodox church maeneo ya red cross? Pale ilikuwa hatariiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…