Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Ahsante pia sikufahamu lakini naona ni mtu mstaarabu the way unavyojibu watu wengine... Unajibu kihekima zaidi
Huyu dem Kabla ya kinje alikuwa na mzungu mmja mbulgaria mzungu huyo alikuwa na kampuni ya mambo ya bahati nasibu lotto OlympicKinje ndio alikuwa na bifu na Mengi baada ya kuchukuliwa mwanamke, Mengi hawezi kuwa na bifu na underdog kama kinje na hilo bifu lenyewe haliku materialize
Huyu dem Kabla ya kinje alikuwa na mzungu mmja mbulgaria mzungu huyo alikuwa na kampuni ya mambo ya bahati nasibu lotto Olympic
Hivi unakumbuka kile kisanga cha wadada kupelekwa dizonga wakafichwa huko ila walirudi kwa utata bongo?
Ova
Nimeipenda comment yako.Nitakwambia kitu hapa, humu ndani tulioko ndiyo tulio nje.
Ingawa wakati mwingine tunajificha kwa ID fake, lakini bado tuna wajibu wa kupeana heshima kama ilivyo nje.
Shukrani kwa compliment.
Tafuta pesa acha umbea kwa non nonsense, unamjadili negatively mtu kama Bahkresa, Mo, and a like inakusaidia nini? Hivi Mungu waswahili tulimkosea nini kutuumba na roho zinazopenda negativity kwa wengine?, Tena hasa waliofanikiwa!Haikuwa rahisi.. Ulikuwa ni ugomvi mzito.. Pesa ikashinda..
Kinje alimsaidia Jacky ku-maintain maisha classic ya mjini, career yake ya mitindo/music na kumpatia exposure..
Mengi alikuwa ana ofisi yake maalum ya kufanya mikutano na vijana waliokuwa wakihitaji 'kusapotiwa'. Wengi walipata msaada wake. Nilicheka nilivyosikia Jacky anasema walikutana kwenye ndege! Hassanali anajua zaidi..
Msimu huo ulikuwa ni vita pia kwa wadada wa mjini.. Wenyewe waliita mawindo.. Kila mmoja alitaka kupata a finer catch..
Zile nyimbo za K-Lyinn mostly zilimhusu Kinje na madongo kwa mashosti zake... Mambo ya kuporana wanaume..
Pale Makumbusho jirani na eagle wing kuna members only club.. MPs, Ministers, CEOs, Moguls, Dons na Diplomats wanaenda kurefresh.. VIPs only.. PIMPs wa enzi hizo wanajua zaidi... Da' Mange naye kachezea sana mikasi pale.. Niishie hapo. Sitaki kuharibu swaum za watu!
Bifu la Kinje na Mengi halikuwa la kibiashara!
Kinje hakua ametulia na Kiki Zimba pia alikua kwenye listMbona nilisikia kinje alikuwa hajatulia
Kuna wakati alikua ana hunt madanga enzi za Kilimanjaro Hotel.Huyu dem Kabla ya kinje alikuwa na mzungu mmja mbulgaria mzungu huyo alikuwa na kampuni ya mambo ya bahati nasibu lotto Olympic
Hivi unakumbuka kile kisanga cha wadada kupelekwa dizonga wakafichwa huko ila walirudi kwa utata bongo?
Ova
Nimeipenda comment yako.
Huyo mbulgaria alikuwa Mafia alafu bonge la mhuni wa madem,alishigi na mtu fulani nakumbka moroco palemrangi na mji wake na Mambo yake salute kwako
Si akawaga na hyo mbulgaria wenyw tulikuwa tnamuita Mr JohnKuna wakati alikua ana hunt madanga enzi za Kilimanjaro Hotel.
hapo kwa mzungu mbulgaria ndio yule ofisi zao zilikua sinza nnHuyu dem Kabla ya kinje alikuwa na mzungu mmja mbulgaria mzungu huyo alikuwa na kampuni ya mambo ya bahati nasibu lotto Olympic
Hivi unakumbuka kile kisanga cha wadada kupelekwa dizonga wakafichwa huko ila walirudi kwa utata bongo?
Ova
Mi na bifu na mleta uziHaikuwa rahisi.. Ulikuwa ni ugomvi mzito.. Pesa ikashinda..
Kinje alimsaidia Jacky ku-maintain maisha classic ya mjini, career yake ya mitindo/music na kumpatia exposure..
Mengi alikuwa ana ofisi yake maalum ya kufanya mikutano na vijana waliokuwa wakihitaji 'kusapotiwa'. Wengi walipata msaada wake. Nilicheka nilivyosikia Jacky anasema walikutana kwenye ndege! Hassanali anajua zaidi..
Msimu huo ulikuwa ni vita pia kwa wadada wa mjini.. Wenyewe waliita mawindo.. Kila mmoja alitaka kupata a finer catch..
Zile nyimbo za K-Lyinn mostly zilimhusu Kinje na madongo kwa mashosti zake... Mambo ya kuporana wanaume..
Pale Makumbusho jirani na eagle wing kuna members only club.. MPs, Ministers, CEOs, Moguls, Dons na Diplomats wanaenda kurefresh.. VIPs only.. PIMPs wa enzi hizo wanajua zaidi... Da' Mange naye kachezea sana mikasi pale.. Niishie hapo. Sitaki kuharibu swaum za watu!
Bifu la Kinje na Mengi halikuwa la kibiashara!
Awamu ya kwanza na ya pili hata ya tatu alikua Prince wa Dar untouchableKwa sisi wa vijijini Kinje hatumfaham