Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Klyn ajiandae kisaikolojia, wale wengi walio kuwa wanampa heshima kama mke wa Mengi stashangaa kuona wanampita bila salamu.

Pesa atakua nayo lakini asishangae kuona anaumia Kwenye mapenzi. Kumpata mwanaume atakaempenda kama babu haitakuwa rahisi.
 
Uzi wa vijana wa Dar haswaa ya enzi za Makamba vijana wa Enzi hizi hawa oni ndani
 
Ila mzee baba nae inaonesha alipenda sana nyapu jamani.....na ukute alifia kifuani au katika harakati za kupiga bao ndo akadondoka halafu wanatuficha.
 
Back
Top Bottom