Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Tatizo hauishii hapo unaposema unaishia badala yake unaendelea mbele mrangi
 
Kuna mmoja jina limenitoka kabisa, alikuwa 2003 au 2004, alikuwa mweupe halafu mnene, sijawahi kumsikia baada ya hapo.

Nilikuwa namwona chuo miaka hiyo, ila baada ya kumaliza sikumsikia tena.

Ni either before au after Happiness Magesa.
Sylvia Bahame 2003, kuna kipindi nilisikia ni mwanasheria wa kijitegemea ila kwasasa sijui Zaid.

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Kuna haja ya hata wakat wa kunya ukahakikisha umelock vzur sio kwa kujuana huku. Mi naomba tu kujua yule mrembo sn alo act zari la mentali cjui ....mohamed yuko wap kwa sasa. Na kwanini hakupewa umiss. Anayejua acc yake insta anipe
 
Halafu anakuja mtu mmoja anasema uchumi wa Tanzania haukui.

Laiti kama uchumi ungekuwa haukui watu wasingepata muda wa kuwa meddlesome hapa.
Waliolike wote hao ni kijani...ogopa hiyo kitu.
 
Huyu marian ndo yule wa mitaa ya lembachia? mikocheni.
 
Kuna haja ya hata wakat wa kunya ukahakikisha umelock vzur sio kwa kujuana huku. Mi naomba tu kujua yule mrembo sn alo act zari la mentali cjui ....mohamed yuko wap kwa sasa. Na kwanini hakupewa umiss. Anayejua acc yake insta anipe
Nrgs yupo
Alishatokaga Masoud kimice wkt fulani
Sema mm namuonaga kama ana mguu mmja mrefu mwngne mfpi
Nakajuaga tangia knakaa blck 41 enzi hzo knasoma esacs

Ova
 
Nrgs yupo
Alishatokaga Masoud kimice wkt fulani
Sema mm namuonaga kama ana mguu mmja mrefu mwngne mfpi
Nakajuaga tangia knakaa blck 41 enzi hzo knasoma esacs

Ova

IGP wa kino [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…