Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

m
Mange akili ipo kweli sema mdomo unamkwamisha. Sio mtu anaejua kunyenyekea atimize shida yake.
Mwamvita kwa yote Mange amemfanyia sidhani kama ataweza kukaa nae meza moja labda Mange amuombe msamaha. Na yule mpare alivyo kiburi sidhabi kama ataweza
Mtoto wa kipare mwenye exposure anyenyekee mtu? We uliskia wapi??? Vibinti vya kipare kiburi kiko kwenye DNA.
 
Duh kumbe kudanga imeanza zamani

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ulichoandika hapa nikilinganisha na povu flani la Mange nililowahi kulisoma enzi zile, napata picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…