JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Hivi, mbona watu wa mataifa mengine wanapiga huu moshi na hawana shida? Huenda madhara yake si makubwa kama inavyosemwa na wataalamu au mamlaka za serikali. Hata Waadzabe wanakula bangi kama maji lakini hatusikii wakibakana wala kukatana mapanga. Ninadhani uhalifu ni tabia zaidi na ukichaa ni matatizo mengine ya kimazingira ama jenetiki zaidi , bangi inasingiziwa tu.Kamishna wa Kinga na Tiba kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA), Dkt. Peter Mfisi amesema dawa ya kulevya inayoongoza kwa kutumiwa zaidi hapa Nchini ni bangi ikifuatiwa Heroin.
Amesema sehemu ya Heroin inayoingizwa Nchini Tanzania husafirishwa na kupelekwa kwenye masoko mengine Duniani ikiwemo China na Marekani.
Dkt. Mfisi anasema "Bangi inastawi mikoa mingi hapa Nchini hata katika udongo wa ajabuajabu, sijui kwanini lakini nafikiri ndiyo maana imekuwa ikipatikana maeneo mengi."
Source: EATV
Sahv na wewe umekua mvuta bangi😁😁Ila nilivokuaga dogo mtu akisema Bangi nikawa nachukulia kitu cha ajabu hafu watumiaji nawaona kama waharifu kinoma..
Ninaweza kuwa tofauti kimtazamo na wewe mkuu, kwa upande wanguNi wakati sasa umefika kuishusha Daraja au kuihalalisha na ilipiwe Tozo au Kodi stahiki.
Kwenye Bangi kemikali inayoleta Uchizi ni THC ni kuagiza mbegu ambayi imefanyiwa Modification na kutolewa hiyo THC.Ninaweza kuwa tofauti kimtazamo na wewe mkuu, kwa upande wangu
1. Kuna watu imeharibu maisha yao, mtu akishavuta bangi anasinzia kwenye couch, hata haendi kufanya mitikasi mingine ya kimaisha.
2. Wengine wenye vichwa panzi wamewehuka kabisa.
3. Pia kisaikolojia ina uraibu mkali sana, kuna wale wameteseka miaka na miaka wameshindwa kuacha baada ya kuwa wavutaji wa kila siku.
Bora waihalalishe kama zao la kibiashara kwenda nchi za nje, lakini siyo kutumika kama kiburudisho.
Niarifie nchukue resi mbili Babu
Mbona huku Tunavuta asili na tupo fresh Tuu ila ni KWA kiwango.Kwenye Bangi kemikali inayoleta Uchizi ni THC ni kuagiza mbegu ambayi imefanyiwa Modification na kutolewa hiyo THC.
Kuna Watu hiyo THC inawaletea mzinguo wanaanza kuwa wachafu na Wavivu.Mbona huku Tunavuta asili na tupo fresh Tuu ila ni KWA kiwango.
Fid q " Tunamoka Ili kusafiri kihisia"
Sumu
Hatuwezi ilaumu bangi KWA mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu.Kuna Watu hiyo THC inawaletea mzinguo wamaanza kuwa wachafu na Wavivu.