justinemour
Member
- Sep 11, 2018
- 25
- 29
UMESEMA?Mungu hatamsahdia
Misanya Bingi my school mate MUNGU AMPONYE DK. BINGIHivi jina lake sahihi ni Misanya Bingi au Msa Nyabingi?
God prevail his health... Praying for himWadau za Jioni, Aliyewahi kuwa Mtangazaji Maarufu wa Radio One enzi hizo. Misanya Bingi Anaumwa baada ya kupata na Stroke na kupelekea kulazwa katika Chumba cha uangalizi maalum Muhimbili. Wadau Tumuombee.
Kumbe Nina school mate mwingine humu.Tumuombe MUNGU AMPONYE Rafiki yetu.Dr BingiDahh Misanya my school mate! Wishing you a quick recovery mate!
Ndiyo hujakosea mkuuKama sijakosea ni Misanya Dismas Bingi.
babu wa kimanzichana alikua anajiita pia, maLegend wanazidi kuondoka tu.Ilikua raha sana,saa 2 asubuhi marehemu J Nyaisanga habari nyepesi