Dkt. Mollel amjibu Lema kibabe kuhusu suala la ubora wa huduma za afya nchini

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Your browser is not able to display this video.
Hayo yametokea Februari 11, 2025 wakati wa ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, Derick Magoma, ambapo Naibu Waziri wa Afya, Dr. Godwin Mollel alipojibu hoja za Godbles Lema wa CHADEMA kuhusu suala la afya, akigusia pia katika Magoma alipokuwa akiugua.



Chanzo: Tourch
 

..Dr.Ndugulile kafia India.

..Lawrence Mafuru kafia India.

..jiulize kwanini hawakuchagua kutibiwa Tanzania?
 
Mollel Ni Waziri Mzigo, Nawakumbusha Alifika Bei Apate Chance Hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…