Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
The question: Where do they publish their dissertations is very valid! Dr MD or PhD??Aliyekuwa mbunge wa Chadema kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa Chadema walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama Chadema wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!
Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.
Chanzo: Mpekuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ww ulivo muongo hapa jibun madai ya Huyo anaye zunguka huko lasihivo anawavua nguo hana Cha kupoteza Kama ni kifo amekinusa Mungu akamwambia muda wako Bado rudi ukawaumbue hao WahuniKuna muongo muongo mwingine anazunguka kwenye vyombo vya habari huko ulaya anadanganya danganya tu kuvuta huruma za wazungu..
Sent using Jamii Forums mobile app
The question: Where do they publish their dissertations is very valid! Dr MD or PhD??
Si amini mungu amekuumba na ubongo kama wa watu wegine....kama ni wa sungura.......... nakuombea akurejeshee wa binadamu... Sioni namna nyingine.. Tuedelee kumuomba Mungu!!!!!!Aliyekuwa mbunge wa Chadema kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa Chadema walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama Chadema wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!
Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.
Chanzo: Mpekuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaAlaa...! Kumbe na Molel ni kama alivyonunuliwa Nyalanduu na nduguye Lowasaa na Sumayee...basi kama mtindo ndio huo basi wacha mwenye kisu kikali ndie ale nyama..msilalamike..
Mbunge wa hovyo ni Lisu aliyekimbia jimbo lake na kwenda kuwa shoga Ulaya
Alipokuwa Chadema alikuwa hajadesa.!![emoji23][emoji23][emoji23] subiri yule katibu wenu naye atoke huko sijui mtamuitaje..Yule alidesa hiyo MD yake alikua pale selian akazuiliwa mshahara akakimbilia siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukalilishwa na mbowe, ewe nyumbu tumia ubongo wako vizuriMolel anataka kutuambia kuwa Ulinzi siku iyo apo pia uliomdolewa na Chadema pia CCTV camera zilitolewa na Chadema!? Basi kama ni ivo Wabunge wetu na mawaziri hawako salama kama tu waharifu wanakuwa Granted na sensitive area kama Maeneo hayo tena wanaenda beyond mpaka kungoa cameras na kuondoa ulinzi
Nadhani ni vema tukawa tunajadili kauli za watu ambao wana akili timamu.
Mole sidhani kama ni mzima. Mtu yeyote anayeweza kukubali kununuliwa lazima awe na upunguani wa aina fulani. Huyu definately ni punguani.
Hata serikali yenyewe inajua kuwa kauli hii imetoka kwa punguani ndiyo maana hakuna atakayeifanyia kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote wenye 'USHAHIDI' wapeleke polisi badala kuimba nyimbo za watoto wa chekechea.
Pole.kwani huyo bwabwa mwenzako lisu hajui polisi mpaka akasemee kwenyw midia za nje