Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Aliyekuwa mbunge wa Chadema kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa Chadema walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama Chadema wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!

Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.

Chanzo: Mpekuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
The question: Where do they publish their dissertations is very valid! Dr MD or PhD??
 
Wanaoshabikia upuuzi huu wa Mollel naomba Mungu kati yao wajeruhiwe kwa risasi hata kwenye kidole kama wataipenda hii nchi yenye udharimu mkubwa.Nashukuru Mungu hakuna ambaye hajawahi kupata madhara na serilikali hii.
 
Kuna muongo muongo mwingine anazunguka kwenye vyombo vya habari huko ulaya anadanganya danganya tu kuvuta huruma za wazungu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ww ulivo muongo hapa jibun madai ya Huyo anaye zunguka huko lasihivo anawavua nguo hana Cha kupoteza Kama ni kifo amekinusa Mungu akamwambia muda wako Bado rudi ukawaumbue hao Wahuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekuwa mbunge wa Chadema kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa Chadema walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama Chadema wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!

Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.

Chanzo: Mpekuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Si amini mungu amekuumba na ubongo kama wa watu wegine....kama ni wa sungura.......... nakuombea akurejeshee wa binadamu... Sioni namna nyingine.. Tuedelee kumuomba Mungu!!!!!!
 
Molel anataka kutuambia kuwa Ulinzi siku iyo apo pia uliomdolewa na Chadema pia CCTV camera zilitolewa na Chadema!? Basi kama ni ivo Wabunge wetu na mawaziri hawako salama kama tu waharifu wanakuwa Granted na sensitive area kama Maeneo hayo tena wanaenda beyond mpaka kungoa cameras na kuondoa ulinzi
 
Acha kukalilishwa na mbowe, ewe nyumbu tumia ubongo wako vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ni vema tukawa tunajadili kauli za watu ambao wana akili timamu.

Mole sidhani kama ni mzima. Mtu yeyote anayeweza kukubali kununuliwa lazima awe na upunguani wa aina fulani. Huyu definately ni punguani.

Hata serikali yenyewe inajua kuwa kauli hii imetoka kwa punguani ndiyo maana hakuna atakayeifanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hai wana hasara kubwa kuwakilishwa bungeni na mtu wa aina hii.
 
Mollel akili zake keshamkabidhi polepole ni wa kumuhurumia tu..kawaida ukiwa ccm hata ukiwa Phd unatakiwa utumie akili za sdt 7
 
Back
Top Bottom